fiesta

 1. mike2k

  Ni jambo gani linakukera kwenye Redio za Tanzania?

  Mimi naanza na hawa Clouds Media Group Clouds FM mnazingua sana kwa jinsi mnavyoi promo hiyo show ya fiesta mnakera sana tangazo kila baada ya dakika nne. Hakuna cha maana mnazungumza ni fiesta tu. Yaani radio yenu haina maana yoyote ni issues za fiesta muda wote. Mnaboa sana. Njia pekee ya...
 2. I

  Mkubwa fella: WCB wanaweza kufanya show Fiesta

  Mkubwa fella ambaye ni mmoja wa manager wa diamond ameulizwa swali wakati akifanyiwa mahojiano na bongo5 akaulizwa mkialikwa mfanye show ya fiesta mtaenda mkubwa fella akamjibu mwandishi " si tunaweza kufanya show yoyote hapa nyumbani hata iwe fiesta Wala hatuna tatizo Kama tutakubaliana mpunga...
 3. I

  Fiesta Ina hali mbaya

  Baada ya Wasafi festival kuiteka Dar, Jumamosi kwa tamasha lililofanikiwa kwa kiasi kikubwa na kuwa gumzo kila kona. clouds ikimtumia soudy brown akiwa na matarumbeta wanawashawishi watu maeneo ya kijimboni kusikiliza clouds. Ukiachana na Hilo clouds wameanzisha slogani ya Kupinga 100% mziki wa...
 4. F

  Waziri Kigwangala alituambia huduma za afya huwa hazitangazwi, mbona hopitali hii inatangaza huduma zake kupitia Fiesta 2019?

  Wakati Dr. Kigwangala akiwa Naibu Waziri wa Afya alituambia ni mwiko kutangaza huduma za afya kupitia vyombo vya habari. Akamfungia Dr. Mwaka kwa sababu hizo hizo za kutangaza huduma za afya ambazo ni mwiko kutangaza sio Tanzania tu bali duniani kote huwa iko hivyo. Cha kushangaza kuna...
Top