Search results

  1. Faith Luvanga

    SoC01 Njombe: Jinsi wananchi wanavyochagiza Maendeleo katika kata ya Makowo

    Kwa zaidi ya miaka kumi wananchi wa kata ya Makowo iliyopo Mkoani Njombe, wamekuwa wakiishi bila kupata huduma stahiki za Afya kutokana na kukosekana kwa miundombinu rafiki katika kata hiyo. Hapo awali wagonjwa hasa akina mama wajawazito na watoto wachanga walikuwa wakifariki kutokana na...
  2. Faith Luvanga

    SoC01 Fahamu kuhusu Nyayo za Kidigitali

    [emoji625]Mtu yeyote anapokuwa kwenye mitandao ya kijamii hufanya shughuli mbalimbali ikiwemo kutafuta, (Search) kupenda (like) au kusambaza (Share or Repost) kupakia ( upload) taarifa mbalimbali mtandaoni, ifahamike kuwa vitendo vyote hivyo hurekodiwa na vinaweza kutumika kukutathimini na...
  3. Faith Luvanga

    Ludewa, Njombe: Mwandishi amezuiliwa kuhudhuria kikao cha baraza la Kata ya Mavanga

    Mwandishi wa Habari wa #kingsfmradio (Jina limehifadhiwa) amezuiliwa kuhudhuria kikao cha baraza la Kata ya Mavanga wilayani Ludewa mkoani #Njombe kwa sababu ambayo haikuwekwa wazi. Mtendaji wa kata ya Mavanga wilayani Ludewa mkoani humo, Hakimu Katabazi,alimzuia mwandishi huyo licha ya kuwa...
  4. Faith Luvanga

    SoC01 Kisa cha Kweli: Mtoto Aliyebakwa na Baba yake kwa Mwaka Mzima

    Jioni baada ya kutoka shule, Faraja* aliingia ndani na kuona jinsi vyombo vilivyokuwa vimevurugwa na kuvunjwa. Maumivu ya kumbukumbu za ugomvi wa wazazi wake usiku kucha wa jana yalimfanya ashindwe kuvumilia na kuangua kilio. Kwa bahati mbaya, mama yake hakuwepo nyumbani kumfariji, kwani alikuwa...
  5. Faith Luvanga

    Gigy Money afungiwa miezi 6 na BASATA

    Baraza la Sanaa nchini Tanzania (BASATA) limemfungia kwa muda wa miezi sita (6) msanii wa Muziki wa Bongo Flava Gift Stanford Joshua maarufu kama Gigy Money, kwa kile kinachodaiwa kuwa msanii huyo alipanda jukwaani kutumbuiza katika tamasha la Wasafi Tumewasha Tour lililofanyika Jijini Dodoma...
  6. Faith Luvanga

    Fedha zilizotengwa kwaajili ya maadhimisho ya siku ya Uhuru, kutumika kununua vifaa vya Hospitali ya Uhuru Jijini Dodoma

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameagiza shilingi milioni 835,498,700 zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya shamrashamra za sherehe za maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Tanzania Bara, Desemba 9, 2020 zitumike katika kununulia vifaa mbalimbali kwa ajili ya Hospitali...
  7. Faith Luvanga

    Serikali: Tumeboresha sekta ya Afya kwa kipindi cha miaka mitano

    Ripoti iliyotolewa na Wizara ya Fedha na Mipango juu ya matokeo ya utekelezaji wa Serikali ya awamu ya Tano(2015-2020) katika sekta mbalimbali imeangazia Sekta ya Afya ambapo Ripoti hiyo imelinganisha hali ilivokuwa mwaka 2015 na mabadiliko yaliyofanyika ndani ya miaka mitano ya Serikali ya Rais...
  8. Faith Luvanga

    Serikali: Hali ya Umasikini imepungua nchini

    Ripoti ya Wizara ya Fedha na Mipango ya mwaka 2020 inayoangazia hali ya utekelezaji wa Serikali ya awamu ya tano(2015-2020) katika sekta mbalimbali, Imeangazia hali ya Umasikini nchini Tanzania kuanzia mwaka 1991-2020, ambapo imeainisha hali umasikini wa mahitaji ya msingi kwa kupangilia...
  9. Faith Luvanga

    Uchaguzi 2020 Twalib Kadege: Suala la unyanyasaji kwa Wanawake, adhabu ni Jela Miaka 25

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha UPDP amesema kuwa Serikali yake itaandaa Muswada punde baada ya kuingia Bungeni kwa ajili ya unyanyasaji na udhalilishaji wa Wanawake ambapo Mahakama itatoa adhabu ya miaka 25 jela ili kutoa funzo kwa wengine. "Tumejipanga...
  10. Faith Luvanga

    Uchaguzi 2020 Twalib Kadege: Nitaanzisha Wizara ya Mikopo itakayokopesha fedha kwa Wanawake na Vijana

    Akizungumza katika Mahojiano Maalum na JamiiForums, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha UPDP, Twalib Kadege amesema iwapo Watanzania watampa ridhaa ya kuongoza, Serikali yake itahakikisha Watanzania wote wanakuwa na hali nzuri kimaisha. Ataanzisha Wizara ya Mikopo...
  11. Faith Luvanga

    Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia UPDP, Twalib Kadege aahidi kutoa Ruzuku kwa Vyama vyote vitakavyoshiriki Uchaguzi hata kama havina Wabunge

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha UPDP, Twalib Kadege, amesema kuwa ikiwa Watanzania watampa ridhaa ya kuongoza nchi watahakikisha vyama vyote vinapata ruzuku kipindi cha Kampeni ili waweze kuendesha shughuli za Kampeni, pasipo kujali kama Vyama hivyo vitakuwa na...
  12. Faith Luvanga

    Mji wa Florida waondoa katazo la kuvaa 'mlegezo'

    Baada ya miaka 13 mji wa florida nchini Marekani umeondoa katazo la kuvaa milegezo kwa jinsia zote ambayo ilikua inazuia watu kuvaa nguo zinazoonesha nguo za ndani. Mamlaka ya mji wa Opa-loka ilipiga kura ili kurudisha sheria ya mwaka 2007 na agizo la 2013 lilikua linawataka wanaume na...
  13. Faith Luvanga

    Mwanajeshi mstaafu wa Marekani aliyeishi na VVU kwa miaka 20 bila kufahamu

    Mwanajeshi wa majini wa Jeshi la Marekani amekuwa akiishi na Virusi vya Ukimwi kwa zaidi miongo miwili bila kujijua kutokana na kile anachodai kuwa wafanyakazi afya wa serikali hawakumpa majibu baada ya kumfanyia vipimo mnamo katikati ya mwaka 1995 ambapo wanajeshi wote wa jeshi la majini...
  14. Faith Luvanga

    Rais Trump: Tiktok haitaongezewa muda Marekani

    Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa tarehe ya mwisho iliyopagwa kwajili ya kampuni ByateDace ya China kuuza programu nukushi ya Tiktok nchini humo haitaongezwa. Trump ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari kabla hajaondoka kwenda Michigan kuendelea na kampeni yake na...
Back
Top Bottom