Faith Luvanga
Member
- Aug 21, 2018
- 14
- 15
Ripoti ya Wizara ya Fedha na Mipango ya mwaka 2020 inayoangazia hali ya utekelezaji wa Serikali ya awamu ya tano(2015-2020) katika sekta mbalimbali, Imeangazia hali ya Umasikini nchini Tanzania kuanzia mwaka 1991-2020, ambapo imeainisha hali umasikini wa mahitaji ya msingi kwa kupangilia kulingana na awamu tano za marais walioongoza nchi kuanzia mwaka 1964 -2020.
Awamu ya kwanza (1964-1985) Chini ya utawala wa Mwal.Julius Kambarage Nyerere, hakukua na Takwimu zozote, mwaka (1985-1995) chini ya utawala wa Rais Benjamin Mkapa umaskini wa mahitaji ya msingi ulikua 39%, huku awamu ya tatu (1995-2005) hali hiyo ilikua 36%, sawa na kusema kwamba kiwango cha umasikini wa mahitaji ya msingi ilipungua kwa 3%.
Awamu ya nne(2005-2015) chini ya Rais Jakaya Kikwete umaskini wa mahitaji ya msingi ulikua 28% ambapo hali hii ilipungua kwa 8% ukilinganisha na awamu ya tatu. Awamu ya tano (2015-2020), umaskini wa mahitaji ya msingi ni 26.4% ambapo hali hii imeshuka kwa 1.6% ukilinganisha na ile ya awamu ya nne.
Aidha ripoti hiyo imeangazia hali ya umasikini wa kipato kwa baadhi ya nchi za Afrika kuanzia mwaka 2015-2018 kwa mujibu wa makadirio ya Benki ya Dunia, ambapo hali ya umasikini wa kipato kwa nchi ya Tanzania imeonekana kuwa chini ukilinganisha na nchi nyingine zilizopo kwenye orodha, huku zimbabwe ikiongoza kwa 72.3%
Ripoti hiyo inaonesha hali ya umasikini wa kipato nchini Tanzania ni 26.4%, ikifuatiwa na kenya 36.8%,Rwanda 38.2%Africa kusini 55.5%,Zambia 54.4%, na Zimbabwe 72 3%.