Search results

  1. FOX21

    Ndio nimefika Musoma Mjini ila nimehuzunika sana

    Ndugu zangu mnaoishi Musoma kwanza niwape pongezi kwa jinsi mnavyo pambana kupata mkate wenu wa kila siku. Mkoa huu wa MARA japo una wakazi wengi wenye elimu ya sekondari na kuendelea ila nahuzunika kusema kundi kubwa la vijana wanahangaika mitaani kwa kukoswa ajira za kueleweka na kujikuta...
  2. FOX21

    Ushuhuda: Raha ya Mahusiano na visa vya Mashangazi

    Heri ya uzima ndugu zangu! Nimelazimika kufungua huu uzi baada ya kushuhudia katika nyuzi tofauti tofauti watu wakitoa na kusimulia mahusiano waliyo pitia na wanawake walio wazidi umri (MASHANGAZI) nafasi hii adimu inawaangukia wachache sana japo mwengi hutamani sana iwatokee.😅 Kwanza...
  3. FOX21

    TANESCO haina mipango mizuri na sisi

    Ndugu zangu watanzania kwanza hiwapongeza kwa uvumilivu mlio nao na matarajio ya kuuona mwaka mpya🎇🎇🎆. Nasikitika kuwambia ndugu zangu kuna huyu nyang'au anaejiita TANESKO hana mipango mizuri na sisi. Wote tunatamani kuupokea mwaka miji yote ikiwa imechangamka kwa burudani za kila aina. Ila...
  4. FOX21

    Sina ubishi

  5. FOX21

    Vipi kuhusu mpenzi wa shujaa Majaliwa?

    Ndugu zangu tangu ajali ya ndege iliyo tokea hapa majuzi ni mengi yamejadiliwa, bla !bla ! Ni nyingi Hadi muda huu. Ok let's get to the point! Leo nikiwa nimetulia Kuna wazo limenijia, kuhusu mchumba wa huyu shujaa wa Tz( Majaliwa). Vipi kuhusu shemeji yetu yupo anamsaidia kuzitafuna noti...
  6. FOX21

    Tunamiss uwepo wako ndugu Lwanda Magere

    Salam zangu ziwafikie popote mlipo ndugu zangu!. Nisiwachoshe sana, kwanza nitoe heshima zangu kwa huyu ndugu yetu LWANDA MAGERE. Kwa wale wasio mfahamu huyu jamaa au niseme ndugu yetu aliwahi kutuletea simulizi inayohusu maisha yake na changamoto alizopitia katika swalazima la utaftaji wa...
  7. FOX21

    Phone repair (programs & ma file ya kutengeneza simu)

    Salamu zangu ziwafikie wote walio jaliwa afya njema na pole kwa ndugu zangu wanao pitia wakati mgumu kiafya hasa wenye homa kali na mafua. Niende kwenye mada nisiwachoshe Sana ndugu zangu. Nimeamua rasmi kufanya kazi ya ufundi simu hii ni kutokana na hali ya kiuchumi kuwa tete kwa upande...
  8. FOX21

    Je, unaweza kushika ujauzito baada ya kujifungua (kipindi cha kunyonyesha)?

    Kweli wanawake wengi wanadhani kuwa hawawezi kupata ujauzito kipindi wananyonyesha hasa kutokana na kutopata hedhi au kupata hedhi kidogo katika miezi ya awali tangu wajifungue. Kitabibu ni sahihi kunyonyesha na ni mojawapo ya njia ya asili ya uzazi wa mpango ambayo watu wenye imani za kidini...
  9. FOX21

    Madini gani hutumika kutengeza vifaa hivi?

    Naomba twenda direct kwenye point. Ningependa kufahamu aina ya madini yanayo tunika katika vifaa vya electronic hasa saket za simu, tv,remote control, computers...nk. 👇👇👇
  10. FOX21

    Tatizo la Subwoofer

    Hamjambo humu ndani, naomba kuelimishwa tatzo lililo nipata ili nijue pakuanzia . Subwoofer yangu aina ya AILIPU tangu ninunue ina miaka 4 ila tangu wiki ilio pita imenza tatzo la kupoteza bass hadi niwe Kama naongeza au kupunguza sauti kwenye button sio kwa njia ya remote ndio ina shituka na...
  11. FOX21

    Naomba kuelimishwa ndugu zangu

    Habari za jioni ndugu zangu, >straight to the point" majuzi nili mtembelea rafiki yang aliye kuwa anapata matibab kwa mganga wa kienyeji ambapo alikaa ndani ya wiki 2. Na Hali yake nilikuta inaendelea vizur tu ila nikiwa pale Kuna tukio nilishuhudia likanipa mawazo Sana. Kulikuwa na jamaa...
  12. FOX21

    Je, kichuguu hutumika kishirikina?

    Heri ya uzima ndugu zangu! Leo ningependa kujifunza mengii kama sio machache kutoka kwenu ndugu zangu. Nimekuwa nikisikia baadhi ya story pembeni ila sio kwa kina zaidi, ya kwamba vichuguu hivi vinavyokuwa makazi ya mchwa, hutumika kwa njia za kishirikina kwa namna tofauti tofauti. Pia huweza...
  13. FOX21

    Watalamu wa IT, msaada wenu

    Heri ya uzima ndugu zangu!!! Naomba kujuzwa ni app gani ya computer naweza kutumia kucopy\kuhamisha mafile nikiwa nimeconnect USB kutoka kwenye simu na laptop. Nikafanikisha kucopy {from smartphone to pc💻} bila kutoka lock ya simu📲. 🙏🙏🙏🙏
  14. FOX21

    Msaada: Nahitaji mwalimu wa kujitolea upande wa Computer Web Design

    Habari wana ndugu, Kama nilivyojieleza hapo mwanzo Nilipenda kujifunza web design kutoka kwa ndugu yeyote mwenye uelewa na maswala ya computer na jinsi ya kutumia Excel kwa ufasaha Kwa Sasa napatikana Geita. pia nipotayari kufundishwa kwa njia ya mtandao. (Kuhusu vifaa💻⌨ vya kujifunzia📖...
  15. FOX21

    Nahitaji laptop

    Habr ya uzima ndugu zng! kama kichwa kinavyo jieleza. Nipo Mwanza nahitaji laptop used either DELL,TOSHIBA ASAS,INOVO etc ila isiwe HP. Isiyo zidi Ts150,000 kwa matumizi ya kawaida tu. kwa yeyote anae uza tuwasiliane... #+255755860264.
  16. FOX21

    Kuna tatizo hapa..!!?

    Heri ya uzima ndugu zangu!. Niend tu kwnye point, nimekuwa nikishuhudua takriban wiki 2 sasa matangazo mengi ya wa2 kwnye mitandao wanauza viwanja na gari zao na sio kwmba wamefunguw viwanda au show-room. Bali ni private car. Naomba kujuw hizi gari mnauza kwa7b ya hali na majukum ya kulipia...
  17. FOX21

    AJIRA

    Heri ya uzima ndug zang.. Kwa jina naitwa SAUC (age24), nina elimu ya chuo ngazi ya cheti nimesomea madini{certificate in mining enginering}& safty, sikufanikiwa kuendelea na elimu yng baada ya wazazi kufariki mwk.2018 Mm ni mkazi wa Mwanza ila kwa sasa nipo Geita-nyargusu, nilkuja kutafta...
  18. FOX21

    Tetesi: ZIWAFIKIE..!!

    Natanguliza salamu zangu na shukran kwa ndugu jamaa na marafi ndani ya hili jahazi, ni muda mrefu nimejarb sana kuweza kujiunga pamoja nanyi ila sio mgeni sana nilikuw nikpta 2 na kuzisoma post nying na kujifunza meng kutka kwa ndugu #Mshana jr, na wengineo. ...¤1 LOVE¤...
Back
Top Bottom