Ushuhuda: Raha ya Mahusiano na visa vya Mashangazi

FOX21

JF-Expert Member
Oct 12, 2018
425
781
Heri ya uzima ndugu zangu!

Nimelazimika kufungua huu uzi baada ya kushuhudia katika nyuzi tofauti tofauti watu wakitoa na kusimulia mahusiano waliyo pitia na wanawake walio wazidi umri (MASHANGAZI) nafasi hii adimu inawaangukia wachache sana japo mwengi hutamani sana iwatokee.😅

Kwanza ningependa kuwataarifu, linapokuja suaa la kuwa kimapenzi na mwanamke aliyekuzidi umri (Shangazi) haya mahusiano ndugu zangu huja automatic yani taratiibu mwenyewe unajikuta unafaidi keki.

Lakini ni mara chache sana ukauvaa ujasiri wakumtokea au kumsimamisha na kuanza kumtongoza na ukategemea positive response, usipokutana na kejeli na matusi basi utakuwa na wewe unakitu anategea akifaidi zaidi.

Mwaka jana nilijikuta nimeanzisha mazoe na lishangazi maeneo ya kazini na likawa linapenda kuniita mume hadi mbele ya wafanyakazi wenzangu, hili suala likadumu kwa kipindi cha muda wa mwaka mzima.

Maranyingi alipokuwa akija kwenye bishara zake za dhahabu basi taratibu kiutani ananitambulisha kwa wanunuzi wenzie hadi kufikia hatua na kunikutanisha na baadhi ya wanadungu na kuwatania mimi ni baba yao. Hali hii nilifikia hatuwa ikabidi nimuulize. "Vipi mwenzangu maana sikuelewi kila sehemu unakuwa unanitambulisha hivyo, inamaana hujui nina mke na watoto? Au mwenzangu una mpango gani ?"

Yaani swali niliuliza ili ajiongeze kama ni mazoea tuyapunguze ila sasa ndio nikawa kama nimepigilia msumari. Siku moja nimetulia ghafla ikaingia text ametuma analaumu sana, like anaumwa almost mwezi mzima, simpigii simu wala sijali hata kwenda kumwona tu!! Ilibidi kesho yake nikamwone. Nilipita sokoni na kuchukuwa baadhi ya matunda kwajili ya mgonjwa ila weee, sikujuwa kumbe ndio natafutiwa mbinu.

Baada ya kupona sikumoja akanialika dinner tukatoka out tukajichimbia hoteli fulani maeneo ya Geita na kila kitu aligharamia yeye sio siri mashangazi kwenye swala la kuhandle 🔥🔥

Sikutaka kumpa nafasi kwa kiwango kikubwa na aliponiambia nimsindikize room kwa kisingizio alikuwa ana mzigo aliuacha pale tangu jana nikamsaidie kuutoa nikajuwa hapa kazi ninayo!

Jamani usiombe lishangazi ukalipata bado hujaoa kwasababu anaweza akakuteka hadi akili na kujikuta unazidi kupoteza tu muda wako. Ila kudate nao ni raha sana hawanaga usumbufu wa kitoto au uwe umekubaliana jambo lolote alafu abadilike ni marachache sana ahadi zake kuvunjika.
 
Back
Top Bottom