Naomba kuelimishwa ndugu zangu

FOX21

JF-Expert Member
Oct 12, 2018
422
772
Habari za jioni ndugu zangu, >straight to the point" majuzi nili mtembelea rafiki yang aliye kuwa anapata matibab kwa mganga wa kienyeji ambapo alikaa ndani ya wiki 2. Na Hali yake nilikuta inaendelea vizur tu ila nikiwa pale Kuna tukio nilishuhudia likanipa mawazo Sana.

Kulikuwa na jamaa anafanyiwa tiba yaani nilishangaa kapewa WEMBE mbili akazitafuna akameza na kunywa soda, baada ya hapo jamaa alipigwa chale mwili mzima Hadi nikamwonea huruma. Ndipo nikachukuwa jukumu la kumuuliza jamaa yang akaniambia ni kinga ya mwili anatengenezwa ila hakuwa na maelezo yoyote zaidi na hayo.

Wakuu naomba kupewa elimu hapa mwenzenu 🤔ni ainagani ya tiba hii aliyopewa Hadi kulishwa viwembe?

#Je hizo wembe zina madhara yoyote kiafya kwa muhusika labda kwa hapo baadae pia zina kazi gani kwenye mwili wa muhusika?

...🙏🙏🙏🙏
 
Mbona mambo ya kawaida hayo..hapo awezi dhurika kirahisi na siraha kama panga, visu, risasi(inategemea) yani hapo kitu kinakuwa kina dunda kama vile unachapa gozi na fimbo.

Madhara yake: unaweza shindwa kupata matibabu hospital hasa matibabu yanayoitaji kuchomwa sindano au kufanyiwa upasuaji maana ngozi inakuwa hairuhusu chuma chochote kupita.
 
Wapo watakaonasa huu uzi.
Nduki🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️💨

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Habari za jioni ndugu zangu, >straight to the point" majuzi nili mtembelea rafiki yang aliye kuwa anapata matibab kwa mganga wa kienyeji ambapo alikaa ndani ya wiki 2. Na Hali yake nilikuta inaendelea vizur tu ila nikiwa pale Kuna tukio nilishuhudia likanipa mawazo Sana.

Kulikuwa na jamaa anafanyiwa tiba yaani nilishangaa kapewa WEMBE mbili akazitafuna akameza na kunywa soda, baada ya hapo jamaa alipigwa chale mwili mzima Hadi nikamwonea huruma. Ndipo nikachukuwa jukumu la kumuuliza jamaa yang akaniambia ni kinga ya mwili anatengenezwa ila hakuwa na maelezo yoyote zaidi na hayo.

Wakuu naomba kupewa elimu hapa mwenzenu ni ainagani ya tiba hii aliyopewa Hadi kulishwa viwembe?

#Je hizo wembe zina madhara yoyote kiafya kwa muhusika labda kwa hapo baadae pia zina kazi gani kwenye mwili wa muhusika?

...
WARNING: Don't try this at home!¡!! Yale ni mazingaombwe hakuna nyembe halisi pale... Narudia tena.. Usijaribu kuiga hiyo michezo
 
Tuliokuwa tukiona entertainment za mazingaombwe, kupasuliwa tumbo, sijui kunya hela, kutapika pin, kutoa handkerchief ndefu mdomoni, au kugongewa kijiti utosini mpaka kinazama, tunaelewa maana ya mazingaombwe.

Sasa kuna kizazi hakijapitia hayo. Kwakweli they should never try this at home!

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Mbona mambo ya kawaida hayo..hapo awezi dhurika kirahisi na siraha kama panga, visu, risasi(inategemea) yani hapo kitu kinakuwa kina dunda kama vile unachapa gozi na fimbo.

Madhara yake: unaweza shindwa kupata matibabu hospital hasa matibabu yanayoitaji kuchomwa sindano au kufanyiwa upasuaji maana ngozi inakuwa hairuhusu chuma chochote kupita.
Mkuu inamaana hayo Mambo yapo kweli na sio stori😲😮😮 kwani Yana faida gani hayo matiba?
 
WARNING: Don't try this at home!¡!! Yale ni mazingaombwe hakuna nyembe halisi pale... Narudia tena.. Usijaribu kuiga hiyo michezo
Kiongozi sio utani Wala sijasimuliwa nilishuhudia kwa macho yangu jamaa alipewa akazitafuna kisha akameza, I was surprised 😲😲!! Ndio nikataka kujuwa ni kinga au tiba ya aina gani hiyo
 
Tuliokuwa tukiona entertainment za mazingaombwe, kupasuliwa tumbo, sijui kunya hela, kutapika pin, kutoa handkerchief ndefu mdomoni, au kugongewa kijiti utosini mpaka kinazama, tunaelewa maana ya mazingaombwe.

Sasa kuna kizazi hakijapitia hayo. Kwakweli they should never try this at home!

Everyday is Saturday............................... :cool:
Very sad aisee ..natamani ile enzi ingerudi
 
Hata kakulwa katafuna nyembe tatu ili awe na vyeo vitatu kwa mpigo vya katibu mwenezi,katibu kiongozi na Rais mpakwa mafuta ajae ila ameishia kuwa mbunge wa kuteuliwa peke yake.Usiwaamini kabisa waganga.
 
Back
Top Bottom