AJIRA

S

Sauc

Member
Joined
Oct 12, 2018
Messages
14
Points
45
S

Sauc

Member
Joined Oct 12, 2018
14 45
Heri ya uzima ndug zang..
Kwa jina naitwa SAUC (age24), nina elimu ya chuo ngazi ya cheti nimesomea madini{certificate in mining enginering}& safty, sikufanikiwa kuendelea na elimu yng baada ya wazazi kufariki mwk.2018
Mm ni mkazi wa Mwanza ila kwa sasa nipo Geita-nyargusu, nilkuja kutafta ajira nimetafta hapa na pale ila cjafanikisha kila nikijarb ndugu zang mambo yana kuwa magumu kwa upande wng.
Nimejitokeza mbele yenu kama mwanafamilia naomba msaada wenu kwa yeyte anaefahamu au anasehemu na anahitaji mfanyakazi, nipo tayar kufanya kazi yyte hata kusaidia kuuza duka (kazi yyte ya halali). Nina uwezo wa kuandka na kzungmza englsh & kswhl kwa ufasaha bila shaka na ni mwenye afya njema.
Nipo tayar kujfunza na kufundshwa kazi kwan nina uwezo wa kuelewa ndani ya muda mfupi na kutoa ushirkiano.

#Mwenyez Mungu awabarik
 

Forum statistics

Threads 1,313,882
Members 504,678
Posts 31,807,180
Top