Sauc
Member
- Oct 12, 2018
- 79
- 125
Habari wana ndugu, Kama nilivyojieleza hapo mwanzo
Nilipenda kujifunza web design kutoka kwa ndugu yeyote mwenye uelewa na maswala ya computer na jinsi ya kutumia Excel kwa ufasaha
Kwa Sasa napatikana Geita. pia nipotayari kufundishwa kwa njia ya mtandao. (Kuhusu vifaa
⌨ vya kujifunzia
kwangu sio tatzo🖊🖋✏.