Search results

  1. Mamaya

    INAUZWA Powerful Harman Kardon Ts 11, powered subwoofer fore sale

    Kwa wale mnaopenda mziki mzito, nauza Subwoofer tajwa hapo juu, haina shida yoyote, kwa wale mnaohitaji real punch with pure bass inayikita kifuani ,mashine hiyo hapo 200watts rms ,ina coil ya 4ohm, ikiilinnganisha na sub za sea piano zilizozoeleka za 80w @2ohm ,hii ni sawa na 400watts @2ohms...
  2. Mamaya

    Volkwagen Gof Touran

    By Dominique Kaguhwa fb. VOLKSWAGEN GOLF TOURAN Hii Volkswagen golf hii ni Moja ya l hatchbacks inayofanya vizuri sana Africa mashariki ,Kutokana na uimara wa bodi ,nguvu ya engine , lkn bila kusahau viwango vya vifaa vya usalama katika gari hii ni vya hali ya juuu . VW Golf touran competes...
  3. Mamaya

    Xiaomi vs Oppo nichukue ipi?

    Wakuu habari, Naombeni ushauri wenu,ninataka kushift kutoka oppo A52 ninayotumia sasa kwenda Redmi Note 12, nimepitia review zake GSM Arena, nineona wadau wanaiponda sana, nafikiria pengine nibaki kwenye brand ya oppo, lakini bado sijui ipi itanifaa ,au niende kwa redmi tu, bajeti yangu ni...
  4. Mamaya

    Kampuni ya Mabasi Dar Express inakwama wapi?

    Hii kampuni ina jina kubwa kutokana na Ubora wa huduma ambazo iliwahi kuzitoa hapo siku za nyuma ikambatana na kuwa na mabasi mazuri yenye kiwango, ofisi nzuri na wahudumu wanaojali wateja. Kwa sasa sijui ni kitu gani kimewakumba hawa jamaa, kwanza kabisa utunzaji wao wa magari umekuwa ni wa...
  5. Mamaya

    Mwenye uzoefu na Honda Stream

    namba mwenye uzoef na hii gari, naona inafafana na toyota wish, nimeiwazia toyota wish, ila sijaipend pua yake/face, naona honda stream inavutia zaidi. Naomba mwenye uzoefu atiririke hapa, ili yafanyike maamuzi sahihi
  6. Mamaya

    Naombeni uzoefu wa induction cooker: Je ni kweli linatumia umeme kidogo? Je lina unafuu wa gharama kuliko gesi?

    Salamu wadau!ambao mmewahi au mnatumia aina hii ya jiko naombeni uzoefu wenu, maana gesi ulimepanda sana bei, ninekuta muuzaji mmoja ameniambia linautumia umeme kidogo sana, 1unit per hour. Sasa nikasema za kuambiwa changanya na za kwako. Nawasilisha
  7. Mamaya

    Ni wapi nitapata AVR amplifier used kwa bei nafuu??

    wakuu babari, nikipita kwenye maduka ya bongo ya electronics naona zimejaa subwoofer za mchina tu na hometheter za mchina na sio malysia wala japan. kwa sisi wanazi wa.mziki ningependa nipate walau mashine ya avr amplifier 7.2 channel yenye bluetooth,usb na walau inasukuma kuanzia 150watts...
  8. Mamaya

    Ulimaji wa zao La Mkonge. Naomba kujua gharama za kilimo na soko

    Heshima kwenu wadau, katika harakati za mawazo yanuwekezaji, kuna mdau alinidokeza juu ya kilimo cha mkonge, ila kwa kuwa sijawahi waza, wala kupata mtu ambaye amewahi kufanya hiki kilimo. Naomba kupata details za: 1. Upatikanaji wa mbegu/ miche 2. Uhakika wa soko 3. Muda wa kuanza kuvuna...
  9. Mamaya

    JE WINDOW OS KWENYE SMAT PHONES NDIO IMESHINDWA KABISA KATIKA SOKO LA SIMU JANJA?

    Heshima kwenu wana nzengo! Hii os ya window iliyokuwa inatumika kwenye simu za microsoft/ nokia na baadhi ya simu ndio imeshindwa katika soko? Nilitumia microsoft, ilikuwa smooth sana, ila niliamua kuicha kwa sababu ilikuwa na mapungufu mengi sana ambayo yanatokana na jinsi hiyo os...
  10. Mamaya

    Laptop inahitajika

    Nahitaji laptop core i7 , yenye screen resolution ya 1080p , brand hp, lenovo au dell, my offer ni kilo tano
  11. Mamaya

    Msaada: Komputa yangu inasumbua kuwaka

    Msaada wakuu, computer inazingua, haitaki kuwaka, inaniletea maandishi, ATTEMPTING BOOT FRON CD- ROM ATTEMPTING BOOT FROM HARD DRIVE BOOTMRG IS MISSING PRESS CTRL * ALT* DEL to restart Ninejaribu kupress hicho keys kwa pamoja lakini inagoma, nifanye nini wakuu
  12. Mamaya

    toyota noah vs toyota voxy

    Wadau kila,nikiangalia hizi gari naona zina ufanano wa kiasi kikubwa, utofauti upo mdogo kwenye show ya mbele na dash board Tu, je Ni nini hasa tofauti ya hizi gari mbili? Nawasilisha
  13. Mamaya

    msaada wa kudowload whatsapp kwenye Lumia

    wadau naomba msaada kwenu,simu yangu aina ya lumia 640 ilitaka ni update whatsapp, nilijaribu ku update ikataka niwe na Wi fi, nikajaribu kutoa version iliyokuwepo ili nidownload upya lakini bado imeshindikana inataka ni download kwa connection ya Wi fi , naomba alternative ways maana nilipo...
  14. Mamaya

    MSAADA; Mwenye Public holidays Act

    Wadau naombeni mwenye soft copy ya public holidays act, nimeitafuta mitandaoni bila mafanikio,webu ya bunge,na utumishi nimekosa
  15. Mamaya

    Naomba kujua kazi ya Cortana katika window phones

    Natumia simu yenye window8.1 with demin. Ina software apl inaitwa cortana sijajua matumizi yake ni nini, na inafnyaje kazi. Natumia miscrosoft 640.
  16. Mamaya

    Lumia 535 inahitajika

    nokia lumia 535 inahitajika,inaweza kuwa mpya ua used, mpunga nilionao ni kati ya 200k na 250k
  17. Mamaya

    Nokia Lumia 535 Dual Inahitajika

    Simu Tajwa Hapo Juu Lumia 535 Dual Sim Inahitajika,dau Ni Kilo 230
  18. Mamaya

    Wapi nitapata display screen Ya Nokia Lumia 520?

    Wakuu Heshima Mbele. Naomba Kujua Wapi Naweza Kupata Kioo Cha Nokia 520 Na Gharama Zake Zinaweza Kuwa Kiasi Gani,
  19. Mamaya

    MSAADA WA HUU WARAKA .Government Circular Na. CAC. 45/257/01/D/140 dated 30th November, 2010

    Wakuu heshima mbele; Naomba msaada wa mweye huu waraka atuwekee hapa au anayeufahamu unaeleza nini atusaidie, maana naona kila tangazo la ajira serikalini linalotoka linataka mtumishi amabye tayari ameajiriwa na serikali asiombe nafasi hiyo ya kazi bali alizingatie huo waraka. Nataka kujua wakuu...
  20. Mamaya

    EFD: Wafanyabiashara Njombe wagoma kufungua maduka!

    wadau njombe kuna mgomo umeitishwa na wafanyabiashara, umeanza asubuhi hata wale waliokaidi mgono wakafungua maduka wamelazikishwa kufunga ili kuleta umoja. ishu ni kuhusu matumizi ya efd za tra. mkuu wa mkoa atakutana na wafanyabiashara saa 6 mchana ukumbi wa turbo, tayari maandalizi ya mkutano...
Back
Top Bottom