Mamaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 5,020
- 4,250
wadau naomba msaada kwenu,simu yangu aina ya lumia 640 ilitaka ni update whatsapp, nilijaribu ku update ikataka niwe na Wi fi, nikajaribu kutoa version iliyokuwepo ili nidownload upya lakini bado imeshindikana inataka ni download kwa connection ya Wi fi , naomba alternative ways maana nilipo hamna wifi nanimejaribu kudowloda kwa pC lakini hiyo software wameniambia mpaka nitumie simu