oppo

Guangdong OPPO Mobile Telecommunications Corp., Ltd, commonly referred to as OPPO, is a Chinese consumer electronics and mobile communications company headquartered in Dongguan, Guangdong, in China, and known for its smartphones, Blu-ray players and other electronic devices. A leading manufacturer of smartphones, OPPO was the top smartphone brand in China in 2019 and was ranked No. 5 worldwide. It is a subsidiary of BBK Electronics. It is a part of BBK Electronics Corporation along with Vivo, Realme and OnePlus.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa oppo a3x inazidi Samsung a16 ubora wa picha why

    Aya nipeni maneno nje ya mada pia kwanini Samsung nyingi karibu zote picha zake mbovu zinapauka mno s23 picha insonekana vizuri ila rangi mbaya
  2. KiparaJ

    JamiiForums Tanzania Motorola G6 Power vs Oppo Reno

    Habari wakuu? Nahitaji smartphone nzuri affordable isiyozidi laki Tano inayoweza kutunza charge angalau kwa saa 30 au zaidi Nimeambiwa simu zenue betri ya 7000mHA zinakaa na charge ikiwepo Motorola G6 Power na Oppo Reno. Naomba ushauri wenu kwa mwenye uzoefu. Budget yangu ni 500,000/
  3. S

    JamiiForums Tanzania MSAADA OPPO A83 HAISUPPORT WHATSAPP NA YOUTUBE

    HABARI WADAU, Kichwa kinajieleza, nimejaribu kutafiti nikabaini Google inc ambao ndio wamiliki wa Android wameblock whatsapp na Youtube kwenye Android 7 kushuka chini, japokuwa whatsapp wenyewe hawana tatizo na device zenye matoleo hayo. sasa kama kuna maujanja ya kufanya naomba kuelekezwa...
  4. kyesha

    JamiiForums Tanzania Oppo A16K nipeni hela

    Oppo A16K Ram 3 Storage 32gb Nipo Mbeya Nicheki Kwa namba 0756424685 Haina tatizo lolote 90,000 Tunazungumuza
  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Smartphone za Oppo na Vivo zipo underrated sana. Wana vyuma vina camera iPhone yoyote haiweki mguu!

    Tuache Xiaomi na Huawei, hao habari nyingine kabisa. Yaani sio Samsung wala Apple apo atasogeza flagship yake. Tuongelee hawa wawili, Oppo na Vivo. Ukiwachukulia poa utasema ni garbage nyingine kutoka kwa Mchina, ila aisee hawa jamaa wana flagship kali sana. Mfano: Vivo X100 Ultra, na Oppo...
  6. Kilangi masanja

    JamiiForums Tanzania Oppo Reno 7 Chinese version

    Habari wadau humu jukwaaani, Kama pengine kuna member ana simu tajwa hapo juu maybe imekufa mashine au shida ingine. Mimi mdau mwenzake nina uhitaji wa kioo cha simu kama hiyo, kama yupo anicheki inbox au anijibu post yangu kisha tuone namna ya kuweza kufanya biashara nae. Sihitaji kuingia...
  7. Rumi96

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nahitaji simu second hand, Vivo, Oppo au Sony.

    Wakuu, hoping mko salama. Nahitaji simu second hand, isiwe ya wizi, ikiwa na receipt au used toka nje itakua vema zaidi. Iwe miongoni mwa brands tajwa hapo juu. Specs 1. Resolution iwe na 1080x2400 au zaidi 2. RAM 6 au above storage 128. 3. Battery 4000 au above 4. Dual simu (ikiwa na esim)...
  8. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu za aina mbalimbali

    VIVO Y71 RAM 6 STORAGE 128 Moja tsh 100000 Jumla kuanzia tatu 92000 tu Pia unaweza kuagiza china kwa bei za viwandani Tupo kariakoo karibu dukani pia mkoani unatumiwa Call/whatsap +255713861567
  9. Lil Sanguine

    JamiiForums Tanzania Simu za oppo kuuzwa kwa bei chini

    Kwa miezi takribani mitatu iliopita tumeshuhudia simu za oppo zikianza kuuzwa kwa bei ndogo kuliko kawaida kwenu wataalamu wa simu mnafikiri inatokana na nini?
  10. KingsStore

    JamiiForums Tanzania Karibu ujipatie Bidhaa za kielectronic simu, PC, Tablet, Fridge, Sabufa na Tv kwa uaminifu mkubwa

    Bidhaa zote za kielectronic Simu, Pc, Tablet, Sabufa, Tv na Fridge vinapatikana kwa bei rahisi sana, simu zetu zipo used from Dubai na Full boxed mpya kabisa tunauza Iphone, Samsung, Google pixel, Sony, Oppo na Infinix warranty ni uhakika Tv pia zipo Hisense, Samsung ukubwa tofauti tofauti...
  11. Mamaya

    JamiiForums Tanzania Xiaomi vs Oppo nichukue ipi?

    Wakuu habari, Naombeni ushauri wenu,ninataka kushift kutoka oppo A52 ninayotumia sasa kwenda Redmi Note 12, nimepitia review zake GSM Arena, nineona wadau wanaiponda sana, nafikiria pengine nibaki kwenye brand ya oppo, lakini bado sijui ipi itanifaa ,au niende kwa redmi tu, bajeti yangu ni...
  12. DEICHMANN

    JamiiForums Tanzania Natafuta App inaitwa dexcon tun 8

    Habarini Naomba mwenye link ya App inaitwa dexcon tun 8 nimeitafuta sijaipata bila mafanikio.
  13. Msokwa1

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale NAUZA SMARTPHONE OPPO R7 PLUS

    nina smartphone aina ya oppo r7 plus yenye sifa zifuatazo:- 64GB storage 4GB ram 6.6 inches display size aina ya omoled yenye graphic kali sana 13mp back camera yenye kuonyesha kitu katika ubora wa hali ya juu. napatikana bagamoyo pwani kwa simu nambari 0748106950 nahitaji 130k kwa hii simu...
  14. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Mwanza: Oppo A93, ram 8Gb rom 128 Gb inauzwa

    Habari waungwana. Simu tajwa hapo juu inauzwa Ipo mabatinj Mwanza unapewa na risiti * box used for 36 weeks only 290,000 Tu 0744 033 555
  15. Burnaboy

    JamiiForums Tanzania Msaada ninunue sm gani kama upgrade ya Oppo A93?

    Solved
  16. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu kuhusu hizi simu za Oppo ,A57 hebu tujuzane, nimezikuta Dubai nataka nizizowe ila sina ufahamu nazo.

    Wakuu kwenye misele yangu Dubai Mimi sio mfanyabiashara wa simu ila nimezikuta hizi simu OPPO A 57 bei zake imenivutia nizibebe kadhaa kupatia uchakavu bongo, je ubora wa hizi simu ukoje? Nisije kwenda kuwauzia watu simu Bomu nikaitwa tapeli, binafsi Mimi sizijui simu hizi.
  17. Ok9

    JamiiForums Tanzania Ipi imekaa njema oppo a16 na Redmi 10c

    Simu tajwa hapo juu zimenivutia maana naona kama zina spec sawa ila zinaachana padogo dogo Redmi nimeipendea camera 50mp oppo 16 Oppo tena nimeipendea yeye ana finger sensor ya pembeni Redmi nyuma... Nichambulieni ipi itakuwa zaidi ya mwenzake
  18. mbinda_smartphones

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Tunauza simu aina mbalimbali

    Sony Xperia XZ1 || 4GB RAM || 64GB Storage || Free Cover & USB || Used From Dubai || Price 220,000/= Call: 0765 683 574 Instagram mbinda_smartphones
  19. J

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa jinsi ya kuweka global rom kwenye oppo a57

    Naomba msaada oppo yangu a57 ina chinnes rom nahitaji kuweka global rom, nipatieni maelekezo zaidi
  20. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Apple kawashinda Xiomk, Oppo na Vivo kwenye uwanja wa nyumbani

    Kwakweli Apple na product yake ya iPhone ni kama vile ni unstoppable, iPhone 13 imefanya vizuri sana na kuirudisha apple kwenye nafasi ya 1 kwa mauzo na mapato nchini China. Kama mnakumbuka kuna kipindi ilifanyika kampeni ya kushusha mauzo ya iPhone China ili kupandisha mauzo ya simu...
Back
Top Bottom