toyota noah vs toyota voxy

Mamaya

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
5,021
4,256
Wadau kila,nikiangalia hizi gari naona zina ufanano wa kiasi kikubwa, utofauti upo mdogo kwenye show ya mbele na dash board Tu,
je Ni nini hasa tofauti ya hizi gari mbili?
Nawasilisha
 
Kuna tofauti kubwa kati ya Voxy na Noah za kawaida na hasa TownAce au LiteAce
auto001px.jpg

Home
bread_sep.png
Business
bread_sep.png
Auto
bread_end.jpg

Auto

Why do mechanics dislike D-4 engines, Toyota Voxy?
ico_plus.png
Share
ico_bookmark.png
Bookmark
ico_print.png
Print Rating
auto001px.jpg

The Toyota Voxy and Noah are twin vans and share a lot, apart from the Voxy having a lower ground clearance. Some models have D-4 engines.
Voxy ukifanya kazi haipiti miezi 6 anaipanga juu ya mawe na kuna tofauti nyingi
ingia Google au hata hapa Why do mechanics dislike D-4 engines, Toyota Voxy?
 
Thx mkuu, sio kama mpuuzi mmoja kakurupuka hapo juu
 
Back
Top Bottom