Wapi nitapata display screen Ya Nokia Lumia 520?

Wapi nitapata display screen Ya Nokia Lumia 520?

Mamaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
5,298
Reaction score
4,861
Wakuu Heshima Mbele.
Naomba Kujua Wapi Naweza Kupata Kioo Cha Nokia 520 Na Gharama Zake Zinaweza Kuwa Kiasi Gani,
 
Nenda Midcom, mi nilinunua cha 620 kwa tsh 120000, sasa hicho cha 520 sijui Ni bei gani, ila vyote Ni original
 
...ipo mikocheni dsm, wale ndo wakala wa Nokia Lumia kwa asilimia kubwa Na wana service centre pale
 
...ipo mikocheni dsm, wale ndo wakala wa Nokia Lumia kwa asilimia kubwa Na wana service centre pale

Mangi Sory Naendelea Kukusumbua,mikochen Sehemu Gan. Nikipanda Dalalada Nishukie Wapi,mi Mtu Wa Mkoa Kaka Dar Nimehama Kitambo,nina Kamba Mguuni Ka Jogoo Wa Shamba
 
...somewhere kwa mwinyi, alafu ulizia ofisi ya zantel upo Kama unaelekea TMJ hospital ukiwa unatokea kawe, ukifanikiwa kufika kwenye hizo ofisi za zantel, basi next building ndo midcom. Ukifika mikocheni just let me know ntakupa namba yangu then nikuelekeze Tu.
 
Back
Top Bottom