Msaada: Komputa yangu inasumbua kuwaka

Mamaya

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
5,021
4,256
Msaada wakuu, computer inazingua, haitaki kuwaka, inaniletea maandishi,
ATTEMPTING BOOT FRON CD- ROM
ATTEMPTING BOOT FROM HARD DRIVE

BOOTMRG IS MISSING
PRESS CTRL * ALT* DEL to restart
Ninejaribu kupress hicho keys kwa pamoja lakini inagoma,
nifanye nini wakuu
 
kwanza hakikisha hakuna CD ndani ya drive au kama umechomeka Flash au external uitoe
 
kwanza hakikisha hakuna CD ndani ya drive au kama umechomeka Flash au external uitoe
Hakuna cd mkuu, ni comp mpya, nimefunga vizuri, nikaiwasha, kishA nikaizim kwa utaratibu unatakiwa. Nilopokua naiwashAkwa mara ya pili ndio imezinguay
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom