Mamaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 4,796
- 3,728
Wakuu habari,
Naombeni ushauri wenu,ninataka kushift kutoka oppo A52 ninayotumia sasa kwenda Redmi Note 12, nimepitia review zake GSM Arena, nineona wadau wanaiponda sana, nafikiria pengine nibaki kwenye brand ya oppo, lakini bado sijui ipi itanifaa ,au niende kwa redmi tu, bajeti yangu ni 420,000.
Je, ni simu gani midrange itanifaa kwa hiyo hela?
Naombeni ushauri.