Search results

  1. Kabinti ka ludilo

    Ukweli usemwe CHADEMA haitimizi majukumu yake kama chama kikuu cha upinzani nchini. Je, msaada wetu utatoka wapi?

    Niliwahi kuandika uzi tishio sana humu ndani kuhusu uwepo wa uhaini nyanda za juu kusini. Leo sitasema chochote ili uzi huu usifutwe kama ule nilikuwa nakumbusha tuu. Ilipo itishwa kura ya maoni watanzania wengi walichagua kuendelea kuwa na chama kimoja chama changu chama pinduzi CCM. Lakini...
  2. Kabinti ka ludilo

    Siku chache baada ya Ripoti ya CAG wananchi nchini India wampiga Risasi Mbunge na kaka yake mtaani

    Ndauli. Basi baada ya ile ripoti ya kuonyeshwa mapesa yamechotwa ovyo. Basi yule montress akasema mada hiyo itajadiliwa mwezi wa saba huko. Wananchi huko india wamempiga risasi mbele ya TV mbunge mmoja kwa madai ya kupora mali na tabia za ubabe ubabe. Tukio hilo lilirushwa mubashara kwenye...
  3. Kabinti ka ludilo

    Tufanye nini kama taifa na hawa mawaziri wanao ongopa bungeni?

    Ndauli.. Mbunge mmoja aliuliza bungeni kuhusiana na mgogoro wa ardhi huko tarime. Mh mmoja akasema hakuna fidia huko Tarime... wananchi wame "tegesha" Wenyeviti Tarime wakajiuzuru nguvu ya umma! Madiwani wakatishia kujiuzuru. PM akatoa kauli kinyume na waziri wake. Akasema mazungumzo...
  4. Kabinti ka ludilo

    Maofisa ustawi wa Jamii 268 ngazi ya kata, wapo katika kata gani?

    Wakuu, Mimi nauliza hao maafisa ustawi wapo katika kata ipi. Maana nina uzoefu wa wilaya kama Kyela, Ludewa, Njombe, na Mufindi, zote hazina Afisa ustawi wa jamii hata mmoja ngazi ya kata. Je wapo wapi hao maafisa ustawi ngazi ya kata?
  5. Kabinti ka ludilo

    Lion King

    Basi aliondokea Mfalme Simba mtawala wa tano Umofia aliekuwa Hodari kweli kweli. Basi katika mkoa wa kijani aliweka fedha nyingi akajenga meli kubwa, nayo ilikuwa kwa Lengo la kuabili abilia na mizigo Basi fundi wa meli hiyo ya mabilioni alitengeneza meli kwa ustadi kweli kweli maana mfalme...
  6. Kabinti ka ludilo

    Uchaguzi 2020 Katibu wa CCM Wilaya Kyela anadaiwa kumwaga dawa ukumbini muda huu

    Wakuu, habari nyeti kutoka kwenye ukumbi mkubwa zaidi jijini kyela zinadai Lukas Mwanyanda katibu wa CCM wilaya, ameonekana akimwaga madawa ukumbi utakaotumika kwa uchaguzi kesho. Vyanzo viwili nyeti vinakiri kushuhudia tukio hilo ambalo limefanyika wazi dakika chache zilizopita. "Tulimuona...
  7. Kabinti ka ludilo

    Kyela mafuta hakuna wiki tatu sasa

    Wakuu heshima kwenu, Nasikitika kuwatangazia kuwa, eneo la Kyela halina mafuta kwa wiki ya tatu sasa. Inasemekana depo ya kutunzia mafuta huko Dar es Salaam wauzaji mafuta wamegoma kuaupply mafuta sheli ndogo za mikoani. Kinachoshangaza Ni kuwa sheli za eneo la boda na Tukuyu hata mbeya jiji...
  8. Kabinti ka ludilo

    Kujeni huku wahusika Nina kikao Cha Dharula na Nyie

    Wakuu heshima kwenu! Leo Nina kikao Cha dharula na ofisi ya wizara ya Elimu. Hivyo waziri na watumishi wote fungeni ofisi mje hapa. Wakati nawasubiri mfanye maandalizi ninasalamu kwa Chadema na viongozi wake. Naombeni leo mnitajie kamanda mmoja tuu ukiondoa Mbowe ambaye Ni muaminifu kwenye...
  9. Kabinti ka ludilo

    Mubashara: Kutoka Kwazulu-Natal-- Kwaheri Mtwa Mkulu

    Wakuu sanibonani! Wakuu hakuna mtu anae hofia kufa, yanayotukuta huku Ni magumu... Kikao Cha wabongo Leo kimeamua kuwa tuwe watulivu Ila matumaini ya kurudi bongo kwa msaada wa serikali Ni madogo. Leo tumeamua kuunda makundi kwaajili ya kujitetea kipigo kwa kipigo. Sijui kitakachotukuta najua...
  10. Kabinti ka ludilo

    Tetesi: : Oparasheni Mpunguti yatangazwa Kyela ,sasa ni kichapo kisicho na kikomo

    Wakuu! Heshima kwenu Kyela tetesi nilizo nazo ni barua rasmi kutangaza oparation mpunguti. Barua itakayomfikia mkurugenzi huyo inataka halmashauri kugharamia Askari kwa chakula na malazi mpaka mwisho wa oparation. Jana oparation hiyo ilitanua mipaka yake ambapo wakazi wa Kijiji cha ipinda nusu...
  11. Kabinti ka ludilo

    Wafanyakazi tulie kwa pamoja kuikataa Bayport

    Ifike wakati tupaze sauti moja kuwakataa Bayport na manyanyaso yao yote kwa watumishi wa umma. Tumelia saana humu lakini hakuna anae jali Tujeni kwa Pamoja mpaka serikali itakapo sikia
  12. Kabinti ka ludilo

    Uchunguzi namna ambavyo wafanyakazi wa Serikali wanaumia katika Serikali hii

    Wakuu! Heshima kwenu, Kwa wale wapenzi wa RICH DAD watakumbuka wosia wake kwa mtoto kuwa soma sana uje umiliki kampuni yako. Kinyume na poor dady aliyesema kuwa soma kwa bidii uje kuwa na kazi ya serikali Yenye mshahara na marupurupu. Ajira ya serikali awamu ya tano imekuwa babeli. Naandika...
  13. Kabinti ka ludilo

    Mh Rais unabana mjini wanakuibia vijijini shuhudia huu mpigo harafu uwaze wanakupigaje sehemu nyingine?

    Wakuu nilipita barabara mbovu kuwahi kushuhudiwa duniani huku kyela nilienda kwenye msiba furani pale Tenende. Katika maongezi ya hapa na pale nilisikia habari za ujenzi wa ukingo wa mto Mbaka katika kijiji cha Ndola ujenzi ulio tekelezwa na Tarula. Baada ya kupata habari hizi niliamua kwenda...
  14. Kabinti ka ludilo

    Msaada wenu nahitaji kufahamishwa kuhusu bodi ya mkopo

    Wakuu shkanooni!! Mimi ni muhitimu kidato cha nne mwaka 2012 niwe muwazi matokeo yangu hayakuwa mazuri sana Nina C mbili na D kadhaa...... nilikwenda kusoma Sheria UDSM ambapo nilifaulu vizuri.... nikafanya foundation course open university pia performance yangu ni nzuri.... ninapenda kuendelea...
  15. Kabinti ka ludilo

    Kutana hapa na vijana wa JamiiForums tulioamua kutatua tatizo la ajira nchini

    Wakuu heshima kwenu, Ilikuwa tarehe 25 December mwaka ulopita Mtwa Mkulu aliweka Tangazo akituhamasisha vijana tuungane tuache kuzunguka huku na huko kwani kwa sasa serikali imeshindwa. Haiwezi kutuajiri. Tumekutana Mara nyingi na kufanya vikao mbalimbali, ni kwa mwezi mmoja tu tumepiga hatua...
  16. Kabinti ka ludilo

    Pita hapa kutana na vijana wa Jamiiforums wanaokuhitaji kiuchumi

    Wakuu ni idea iliyoletwa humu na mtwa mkulu kwamba vijana wa kitanzania wasio na ajira wasimame kupoteza muda kwa kujitembeza huku na huko kwa kutafuta ajira, badala yake tuunde organisation itakayo tuajiri mbali na kuwaajiri wengine Pia. Heshima kwako Mtwa, tumefanikisha kuungana na...
  17. Kabinti ka ludilo

    Wahehe: Uwene Waulige sefu

    wakuu Kamwene, Muheshimiwa Mtwa mkulu, silasuga mahinyila, ndugu jamaa na wahehe wote mlioko JF KAMWENE! Nawaulizeni wandugu. Hivi kwanini iringa wali mnautambua kwa jina hilo? Ulimfanya nini SEFU? Sefu alikuwaga ni nani? KARIBUNI kumgati Wakuu tangazo kutoka kwa Mtwa Mkulu. Kani PM...
  18. Kabinti ka ludilo

    kabinti ka ludilo online!

    jamani nipeni nafasi jamvini hodiiiiiii
Back
Top Bottom