Ukweli usemwe CHADEMA haitimizi majukumu yake kama chama kikuu cha upinzani nchini. Je, msaada wetu utatoka wapi?

Kabinti ka ludilo

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
409
461
Niliwahi kuandika uzi tishio sana humu ndani kuhusu uwepo wa uhaini nyanda za juu kusini. Leo sitasema chochote ili uzi huu usifutwe kama ule nilikuwa nakumbusha tuu.

Ilipo itishwa kura ya maoni watanzania wengi walichagua kuendelea kuwa na chama kimoja chama changu chama pinduzi CCM. Lakini mwalimu nyerere alitumia kura ya turufu kupinga ridhaa ya wengi... hivi sasa tupo katika mfumo wa vyama vingi.

Kazi ya chama Tawala ni kuendesha serikali. Serikali isiyo na chama pinzani haina macho ni serikali kipofu inakosa kuambiwa unapo kwenda ni njiani ama porini inakwenda mzobe mzobe. CCM wanatimiza majukumu yao vizuri... wamegawa mashirika ya umma ughaibuni, wametengeneza mtaala wa kuwafanya wajinga watanzania na mengine mengi hivi sasa wanafanya harakati ya kugawa rasilimali zetu kwa mabedui. Walianza na kuondoa wamaasai wale masikini ngorongoro baadae wakulima mbarali na sasa moyo wa taifa bandari.

Kwa muktadha huu Nyerere alidhani ameiacha CCM katika mikono salama ya vyama vya upinzani lakini sivyo ilivyo. CDM wamekuwa watchdog wenye kazi ya kubweka tuu na hawana meno yenye makali. Wao wamekalia maridhiano na kufanya kalamu za fitna na waovu wanao litafuna taifa.

Ukitazama nchi mbalimbali wakati huu chama tawala kinavunja sheria za nchi na kuliendesha taifa mzobe mzobe ilikuwa ni wakati wa Jungle rule yaani kanuni ya mabavu.
Chadema mnasubiri nani atuingize barabarani ikiwa nyie ndio Unit pekee yenye nguvu?

Mnasubiri CCM wafanye ovu gani ili mjue kuwa wanavunja katiba na ustaarabu wa taifa letu?
Au nyie ndio ule ule mvinyo tofauti ni rangi katika chupa ile kijani hii buluu...
Taifa hili lina kera sana ..
Tumekuwa kama kuku tuu anakamatwa mmoja mmoja anachinjwa mbele yetu nasi hatuna la kusema tunaangalia tuu.

Nasikia Kibatala ameongezeka kwenye timu ya kumtetea Mwabukusi ... jambo jema je ni kwenye mahakama hizi hizi za Rostamu?

Ingekuwa kenya kesi hii wangekabidhiwa BAVICHA !!
Tujitafakari
 
Unataka CHADEMA wafanye nini?

Ni mara ngapi Tundu Lissu ameshaitisha maandamano halafu watu hawajitokezi?

Tatizo la Watanzania ni unafiki na uoga. Hata hivi CHADEMA wanapambana sana. Mimi ningependa wakae tu kimya ili wananchi wanyoroshwe sawa sawa mpaka wafike mahali waseme enough is enough. Na hiyo siku ndiyo ukombozi wa kweli wa Mtanzania - na hasa Mtanganyika - utapatikana!
 
Jamani
 
Si utimize wewe
Watu mpaka wanapewa Jedi za uhaini na ugaidi kwaajili ya kutetea wapumbavu kama wewe
Umekalisha matako huko unabana pia hapa,we umefanya Jambo gani la kujitetea mpaka usubiri CHADEMA Ikutetee
 
Niliwahi kuandika uzi tishio sana humu ndani kuhusu uwepo wa uhaini nyanda za juu kusini. Leo sitasema chochote ili uzi huu usifutwe kama ule nilikuwa nakumbusha tuu.

Ilipo itishwa kura ya maoni watanzania wengi walichagua kuendelea kuwa na chama kimoja chama changu chama pinduzi CCM. Lakini mwalimu nyerere alitumia kura ya turufu kupinga ridhaa ya wengi... hivi sasa tupo katika mfumo wa vyama vingi.

Kazi ya chama Tawala ni kuendesha serikali. Serikali isiyo na chama pinzani haina macho ni serikali kipofu inakosa kuambiwa unapo kwenda ni njiani ama porini inakwenda mzobe mzobe. CCM wanatimiza majukumu yao vizuri... wamegawa mashirika ya umma ughaibuni, wametengeneza mtaala wa kuwafanya wajinga watanzania na mengine mengi hivi sasa wanafanya harakati ya kugawa rasilimali zetu kwa mabedui. Walianza na kuondoa wamaasai wale masikini ngorongoro baadae wakulima mbarali na sasa moyo wa taifa bandari.

Kwa muktadha huu Nyerere alidhani ameiacha CCM katika mikono salama ya vyama vya upinzani lakini sivyo ilivyo. CDM wamekuwa watchdog wenye kazi ya kubweka tuu na hawana meno yenye makali. Wao wamekalia maridhiano na kufanya kalamu za fitna na waovu wanao litafuna taifa.

Ukitazama nchi mbalimbali wakati huu chama tawala kinavunja sheria za nchi na kuliendesha taifa mzobe mzobe ilikuwa ni wakati wa Jungle rule yaani kanuni ya mabavu.
Chadema mnasubiri nani atuingize barabarani ikiwa nyie ndio Unit pekee yenye nguvu?

Mnasubiri CCM wafanye ovu gani ili mjue kuwa wanavunja katiba na ustaarabu wa taifa letu?
Au nyie ndio ule ule mvinyo tofauti ni rangi katika chupa ile kijani hii buluu...
Taifa hili lina kera sana ..
Tumekuwa kama kuku tuu anakamatwa mmoja mmoja anachinjwa mbele yetu nasi hatuna la kusema tunaangalia tuu.

Nasikia Kibatala ameongezeka kwenye timu ya kumtetea Mwabukusi ... jambo jema je ni kwenye mahakama hizi hizi za Rostamu?

Ingekuwa kenya kesi hii wangekabidhiwa BAVICHA !!
Tujitafakari
Waambie Wana Ccm wenzako muandamane
 
CCM
 
Yaani hii nchi tuna safari ndefu sana.
 
Wameshindwa hata kutetea Malipo ya Kikokotoo Kwa Wazee Wastaafu. Heche alianza Ghafla kaacha🙆🙆
 
Siku zote Chadema wanakwenda kwa mahesabu hawakurupuki.
 
Back
Top Bottom