Kabinti ka ludilo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 409
- 461
Ndauli..
Mbunge mmoja aliuliza bungeni kuhusiana na mgogoro wa ardhi huko tarime.
Mh mmoja akasema hakuna fidia huko Tarime... wananchi wame "tegesha"
Wenyeviti Tarime wakajiuzuru nguvu ya umma! Madiwani wakatishia kujiuzuru.
PM akatoa kauli kinyume na waziri wake. Akasema mazungumzo yafanywe na wananchi ili kujua mpaka wa hifadhi na makazi.
Jibu: Taifa likajua hakuna Tegesha maana kungekuwa na Tegesha ni hatua tuu zingechukuliwa.
BWANA mmoja mkinga ameuliza leo vipi kariakoo kulikoni mbona kuna mgomo.
Mama mmoja mngayasida tena kwa madaha amejibu ni baadhi tuu wamejisikia kufunga na wengine wengi tuu wanauza huko.
Dada mmoja kakanusha kasema montress wetu tujadili basi hii mada.
Yule mngayasida kasisitiza hakuna mgomo jameni sa mnabisha? Wachache tuu wamefunga kwa uhuru wao.
mngayasida frani hivi mwenye matingo
Montress maarufu kwa jina la Bi Kidude kasema hakuna cha kujadili hapa
Januari akazima umeme hoja ikafa.
PM akajibeba mzega mzega Kaliakoo kusitisha kile alichokiita mgomo. Kitendo cha kiongozi huyu watatu kwa ukubwa kutinga kariakoo kwa dharula huku akisitisha shughuli zote za kitaifa zinaonyesha kariakoo kuna balaa.
JIBU: Kumbe yule mngayasida mh madaha alikuwa anaongopa mjengoni.
Tufanyeje watanzania na hawa mawaziri wanaoongopa kwenye kamera?
Hivi kama hadharani wanafanya hayo vipi huko gizani?
Hivi tufanyeje na haya majizi ya CAG jamani mbona hii nchi inakera sasa?
Au tuhamie Burundi????
Mawazo yangu. Tutumie mbinu frani ilitumika wakati ule waheshimiwa wanatukana bungeni. Mbinu huu iliasisiwa na bi mkora miaka ile imeleta heshima kwa bunge wakati wotee