Kabinti ka ludilo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 409
- 468
Wakuu shkanooni!!
Mimi ni muhitimu kidato cha nne mwaka 2012 niwe muwazi matokeo yangu hayakuwa mazuri sana Nina C mbili na D kadhaa...... nilikwenda kusoma Sheria UDSM ambapo nilifaulu vizuri.... nikafanya foundation course open university pia performance yangu ni nzuri.... ninapenda kuendelea open lakini masuala ya ada nimeamua kufanya plan B. Nataka kusoma vyuo vya kawaida kwa course ya Education, kwani hata chuoni wametuarifu kuwa Foundation course iko recognized under TCU. Maswali yangu ninayoomba msaada wenu
1. Nifanyeje kuapply bodi ya mkopo? maana nasikia qualifications ni kuanzia C tatu za kidato cha nne
2. Niaply chuo kupitia Nacte au TCU?
Wapendwa nashukuru kwa msaada.