Natafakari tu.
Iwapo makao makuu ya CHADEMA bado yapo Dar es salaam hadi leo yawezekana chama hicho hakikubaliani na sera ya kuhamishia makao makuu ya serikali Dodoma.
Je, unadhani ni nini Tundu...
Kutoheshimu katiba ya nchi unayo apa kuifuata na kuilinda ni kosa kubwa la pili baada ya uhaini na mauaji.
Spika wa Bunge Job Ndugai na Katibu wa Bunge wanapaswa kupelekwa mahakamani kama sio leo...
Jana na leo kumetrend ' habari na picha ya Waziri Mkuu akitoa msaada kwa binti mwenye Ulemavu.
Habari hiyo imenogeshwa na baadhi ya vyombo vya habari kwa kumuonesha Waziri Mkuu akilia kwa namna...
TAARIFA KWA UMMA
JANUARI 22, 2021
TAARIFA YA UTENDAJI KAZI WA TAKUKURU (M) ARUSHA KWA KIPINDI CHA MWEZI OKTOBA HADI DESEMBA 2020
Ndg. Wanahabari,
Kwa kuwa leo ndio mara ya kwanza kukutana nanyi...
Kumkubali mtu kuwa yupo vizuri sio mpaka utamke maneno, uweza kukubali hata kwa kutikisa kichwa au kukaa kimya.
Tujihoji kwa umakini, kama Chama cha Upinzani makini hapa nchini utakaa kimya kama...
Ngome ya vijana Act-Wazalendo tumeendelea kuchukua hatua kadhaa wa kadhaa juu ya changamoto iliyopo katika marejesho ya mikopo elimu ya juu pamoja na sheria yake kuhusu viwango na masharti ya...
Ukifuatilia mazungumzo, mijadala, mawazo na taarifa mbalimbali kutoka kwa viongozi wa kisiasa, wafanyakazi, wakulima, wanahabari, wanafunzi, na kwa usahihi zaidi tuseme wananchi wa kawaida kwa...
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Katika kutekeleza kauli mbiu ya Mkuu wa Mkoa Mtwara Mhe. Gelasius Gasper Byakanwa ya "Ondoa mapori, ongeza uzalishaji" Tarafa ya Mihambwe imeshiriki mafunzo ya kuondoa...
Tunawaambie nyie watu wenye primitive mentality kuwa hakuna maendeleo yanayoweza kuhalalisha ukatili, unyanyasji, mauji na utesaji wa raia hata siku moja.
Serikali yoyote duniani ambayo viongozi...
VIDEO YA MZEE WA ILEJE ASIYE TAKA KUMPELEKA MTOTO WAKE SHULE.
Na Elius Ndabila
0768239284
Mwanzoni mwa wiki hii kuna video moja imetrend sana ikimuonyesha Mkuu wa Wilaya ya ILEJE Mh Mkude...
Abiria wanaotumia barabara ya Kiteto kwenda Dar es Salaam, Kondoa- Babati na Kondoa kwenda Tanga, wamekwama kwa muda katika eneo la Mrijo kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha kuharibu...
Akihojiwa na Kituo cha Nungwi online Fm Mstahiki Meya Wa Manispaa Ya Moshi Juma Raibu amekanusha vikali uwepo Wa Mgonjwa wa corona katika manispaa hiyo.
Hii inakuja ikiwa ni Masaa machache Tu...
Tutafakari wizara ya TAMISEMI na usanii wake kwa uchache:
1. Waziri wa TAMISEMI ameishia wapi na Wakurugenzi walionununua magari ya bei kubwa kuliko?
2. Kwenye ajira za walimu 8000, usanii...
Katika tukio jingine, Dk Slaa jana alimkabidhi kadi ya uanachama wa Chadema aliyekuwa katibu wa itikadi na uenezi wa NCCR-Mageuzi, Joseph Selasini.
Akizungumza baada ya kukabidhiwa kadi hiyo...
Shule ya kimataifa ya UWCEA Kampasi ya Moshi, Kaskazini mwa #Tanzania imesitisha mafunzo ya ana kwa ana kwa Wanafunzi kwa madai ya mmoja wa Wanafunzi kuthibitishwa kuwa na maambukizi ya Corona...
Wiki mbili zilizopita nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mahubiri ya mchungaji Matsai wa KKKT kimara kuhusu viapo.
Uelewa wa mahubiri yale ukanivuta kujifunza namna viongozi mbalimbali wanavyokula...
Na Rayson Mwaisemba WAMJW- Dodoma
Msajili wa Baraza la Famasi nchini Bi Elizabeth Shekalaghe ametoa siku 14 kwa wafamasia wanaosimamia famasi ambazo hazipo katika maeneo yao ya kazi kujisalimisha...
Wamarekani ndio hujifanya vinara wa kufundisha demokrasia na mojawapo ya haki za kibinadamu na kidemokrasia ni kuandamana kwanini Jeshi la Marekani lilizuia watu wasiandamane kwenda Ikulu...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa ambaye pia ni Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema, Viongozi wa CCM ambao walishirikiana nao kuunda Serikali ya...
Tanzania ina mito mingi tu lakini cha ajabu hatuitumii kwa usafiri kama mito mingi ya nchi za wenzetu zikiwemo jirani zetu Congo ambako watanzania waweza pia wekeza huko kwenye usafiri wa mito...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.