Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kauli uliyoitoa jana mkuu wa nchi yetu inatia moyo, maana umetambua wazi kuwa wateule wako wengi hawaendani na kasi yako. Mbali na hilo wengi ni wacheza maigizo kwenye luninga ya taiifa yaani TBC...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Mimi binasfi kama Mtanzania ambaye ni mtu wa kawaida naaza kupata tashwishwi juu ya Chadema, maana sasa mmebakiza unafiki wa kisiasa. Kama huyu mama mrembo ambae alikuwa mbunge na sasa bado ni...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
A. UTANGULIZI Rais wa Tanzania, John Magufuli alikuwa Mkoani Kagera kwa ziara ya kikazi wilayani Karagwe na baadaye Wilayani Bukoba tangu tarehe 18 Januari 2020. Inaonekana kuwa, siku hiyo...
5 Reactions
35 Replies
7K Views
Na: Norbert Mporoto Tanzania. Katika karne ya leo kuna michezo ukichezewa hata kama ni ya kuudhi au kuumiza bado inatia hamasa kuendelea kuchezewa, kwani maumivu yake kwa asilimia tisini huja kwa...
0 Reactions
0 Replies
820 Views
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) afariki dunia Thursday January 21 2021 Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Manyara, Martha Umbulla amefariki dunia Januari 21, 2021 katika Hospitali ya HCG Mumbai...
7 Reactions
80 Replies
15K Views
Taarifa zinaonesha kwamba Mh Mtendaji anaitwa Adella na ni Mtendaji wa kijiji cha Hydom kilichopo Mbulu , mkoani Manyara. Cha kushangaza ni kwamba Mwananchi aliyedundwa ndiye ameshtakiwa...
13 Reactions
69 Replies
10K Views
Chama Cha Mapinduzi kimewaalika wanachama wake wenye sifa stahiki kuomba nafasi za Spika na Naibu Spika wa Bunge, Meya wa Majiji, Manispaa na Wenyeviti wa Halmashauri ya Wilaya. Taarifa ya CCM...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimekemea tabia ya baadhi ya viongozi kujichukulia sheria mkononi ikiwamo kuwapiga wananchi wanaotuhumiwa kwa makosa mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Closed
Kwa mujibu wa mbunge Godbles Lema na Waziri Kigwangalla ni kuwa mbunge wa Sumve Richard Ndassa amefariki dunia mapema leo. Aidha taarifa zinasema kuwa Ndassa amefikwa na umauti baada ya kuanguka...
50 Reactions
570 Replies
115K Views
Rais mpya wa Marekani akiapishwa mabalozi wengi huwa pressure zinawapanda sababu kila Rais akiingia huwafungasha virago mabalozi na kuchangua wapya Balozi aliyepo na akina Pompeo Secretary of...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Mh. Magufuli ameanza mizunguko yake kote nchini, na kama kawaida viongozi wengine wamekuwa wakipata shida kwa maswala anuwai, lakini zaidi ni uzembe. Na kama kawaida, watu wamekuwa wakilalamika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watanzania wenzangu heri ya Mwaka Mpya 2021. Nimewiwa kutoa mawazo yangu kufuatia kelele nyingi za " kijinga" zinazopigwa kuhusu maendeleo makubwa na ya haraka zinazopigwa Wilayani CHATO katika...
8 Reactions
88 Replies
12K Views
On the last day of the Trump Administration and the eve of the Biden's, the US has sent clear and unmistakeable warning to dictators who stole elections in Tanzania and Uganda: No impunity for...
22 Reactions
106 Replies
11K Views
Nauliza tu kwa wataalamu wa masuala ya Katiba. Ninavyofahamu mgombea urais hupendekezwa na Chama cha Siasa na kuchaguliwa na Wananchi. Kwa mfano Katiba ikibadilishwa na CCM wakamsimamisha tena...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Magufuli awataka wakulima wa taifa hilo kulisha dunia baada ya corona Rais Magufuli wa Tanzania. Rais wa Tanzania John Magufuli, amesihi wakulima nchini humo kuongeza kiwango cha uzalishaji wa...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
WAZIRI KALEMANI APONGEZWA NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI KWA KASI YA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI KASI YAKE YAKISIWA KUWA NAMBA MOJA AFRIKA. Na Dorina G. Makaya, Dodoma Kamati ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Zitto kanyang’anywa chama angali anakiona sasa maamuzi yote lazima yatoke Vuga sio Kijitonyama, badala ya Seif kuwa ceremonial chairman Zitto ndio amekuwa celemonial Party Leader. Wazanzibari...
2 Reactions
7 Replies
953 Views
Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amewaambia viongozi wa wilaya ya Arusha na mkurugenzi wa jiji la Arusha(DED) kuwa hatakubali kukwamishwa na viongozi wa jiji la Arusha wakati akitekeleza...
6 Reactions
170 Replies
22K Views
Tumefika mahali sasa CCM tuongoze nchi bila figisu. Si tulishinda uchaguzi, shehmu nyingine tena bila kupingwa. Tuna Bunge sasa CCM ndio tupo wengi Bungeni toka kuanza siasa za vyama vingi...
-2 Reactions
34 Replies
4K Views
Kupata permanent residence Marekani unatikwa kununua municipal bonds za dola kadhaa. Serikali itoe uraia wa nchi mbili kwa yeyote atakayenunua long-term bond za serikali za dola milioni moja...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom