Abiria wakwama Kiteto kutokana na ubovu wa Barabara

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
3,389
2,000
Abiria wanaotumia barabara ya Kiteto kwenda Dar es Salaam, Kondoa- Babati na Kondoa kwenda Tanga, wamekwama kwa muda katika eneo la Mrijo kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha kuharibu miundombinu ya barabara huku wakilalamikia eneo hilo kuwapa usumbufu kila mwaka na kuiomba serikali kuangalia namna ya kuboresha eneo hilo.

Chanzo:
EATV

20210119_110322.jpg
 
stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
11,504
2,000
Lakini nadhani iko kwenye zile njia zitakazojengwa kwa kiwango cha lami maana hili boda ni shortcut nzuri sana...
 
Kihava

JF-Expert Member
May 23, 2016
3,933
2,000
Abiria wanaotumia barabara ya Kiteto kwenda Dar es Salaam, Kondoa- Babati na Kondoa kwenda Tanga, wamekwama kwa muda katika eneo la Mrijo kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha kuharibu miundombinu ya barabara huku wakilalamikia eneo hilo kuwapa usumbufu kila mwaka na kuiomba serikali kuangalia namna ya kuboresha eneo hilo.

Chanzo: EATV

Hawa wana Kiteto kwa nini wasiungane na Chattle na kuitwa Kiteto-Chattle ili wafaidi kutengenezewa barabara? Vinginevyo wahamie Chattle, wilaya ya maziwa na asali Tanzania
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
98,052
2,000
Abiria wanaotumia barabara ya Kiteto kwenda Dar es Salaam, Kondoa- Babati na Kondoa kwenda Tanga, wamekwama kwa muda katika eneo la Mrijo kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha kuharibu miundombinu ya barabara huku wakilalamikia eneo hilo kuwapa usumbufu kila mwaka na kuiomba serikali kuangalia namna ya kuboresha eneo hilo.

Chanzo:
EATV

Kwani yale madege siyaende kuwachukua?
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
52,727
2,000
Lakini nadhani iko kwenye zile njia zitakazojengwa kwa kiwango cha lami maana hili boda ni shortcut nzuri sana...
Kiteto-matui unakwenda mpaka kuna junction moja unaingia njia ya kutokea izava hapo unakutana na njia ya kwenda aneti to arusha
Ukionganisha hiyo njia kiteto vilevile unakwenda mpk soya

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Intelligence Justice

JF-Expert Member
Oct 23, 2020
338
500
Abiria wanaotumia barabara ya Kiteto kwenda Dar es Salaam, Kondoa- Babati na Kondoa kwenda Tanga, wamekwama kwa muda katika eneo la Mrijo kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha kuharibu miundombinu ya barabara huku wakilalamikia eneo hilo kuwapa usumbufu kila mwaka na kuiomba serikali kuangalia namna ya kuboresha eneo hilo.

Chanzo: EATV

Mkuu,

Laiti kama halmashauri za wilaya za Kiteto (Kibaya) na Simanjiro zingehamishiwa mkoa wa Kilimanjaro hali isingekuwa hivyo. Hiyo barabara tangu enzi za mabasi ya Kamata miaka ya 1980s ni mbovu hadi leo.

Ili maendeleo ya watu yafane ni sharti maendeleo ya vitu vyenye tija yatamalaki kila eneo lenye mahitaji hayo. Kwa kuwa jamii kubwa inayoishi huko usafiri wao ni kuswaga mifugo kutoka eneo moja kwenda jingine ndio maana hakuna kiongozi yeyote anayesimamia hilo litokee kwa manufaa ya wananchi.

Barabara ya Moshi kwenda Dodoma kupitia Arusha chini TPC, Msitu wa tembo, Simanjiro, Kiteto na Kondoa hadi Dom ni ya muhimu sana hasa kipindi hiki wakati serikali kuu imehamia Dodoma.

Wawakilishi wa wananchi maeneo husika simamieni hili ili kila mtu ajisikie unafuu na gharama hizi.
 
Freiston

Member
Oct 25, 2020
46
125
Kwani si ilishauriwa tuachane na maendeleo ya vitu na badala yake tuendeleze watu ili waje kujenga wenyewe... nadhani tuendelee kuwa wavumilivu kidogo. Natumai hao watu watakuja tu kujenga tu. Maendeleo ya vitu si muhimu saaana... iwe tope au maji tutapita tu... tukilala njiani si ni hela zetu...
 
Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
8,295
2,000
Abiria wanaotumia barabara ya Kiteto kwenda Dar es Salaam, Kondoa- Babati na Kondoa kwenda Tanga, wamekwama kwa muda katika eneo la Mrijo kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha kuharibu miundombinu ya barabara huku wakilalamikia eneo hilo kuwapa usumbufu kila mwaka na kuiomba serikali kuangalia namna ya kuboresha eneo hilo.

Chanzo: EATV

Acha utani.
Dereva learner?
Anakwama hapo?
Msimsumbue Magufuli!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom