Katika Wizara zote, TAMISEMI ni wizara inayoongoza kwa usanii

Samiaagain2025

JF-Expert Member
Dec 2, 2020
2,926
3,054
Tutafakari wizara ya TAMISEMI na usanii wake kwa uchache:

1. Waziri wa TAMISEMI ameishia wapi na Wakurugenzi walionununua magari ya bei kubwa kuliko?

2. Kwenye ajira za walimu 8000, usanii ulikuwa mwingi tu.

3. Na bado vijana wanaambiwa ajira 5000 zinakuja. Mpaka mheshimiwa rais amezitaja, Ila wao wapo kimya.

4. Kwenye ishu ya kuchapa viboko watumishi na raia hataa! wamekaa kimya tu.

5. Ujenzi wa madarasa wa kila mwaka kwa nini? Wangeweza kufanya estimation/prediction wakajenga madarasa ya kukidhi wanafunzi kwa miaka 5.

NB: Wizara hii imejaa wasanii na usanii.
 
Jafo ni msanii; ameshajua bosi wake anataka nini kwa hivo anachokifanya ni kupiga kelele hovyo na kutapatapa huku na kule aonekane kwa bosi.

kiuhalisia, hakuna kitu. Shule za serikali ziko hovyo sana.

hakuna kitu anafanya
 
Jafo ni msanii ameshajua bosi wake anataka nini kwa hivo anachokifanya ni kupiga kelele hovyo na kutapatapa huku na kule aonekane kwa bosi.

kiuhalisia, hakuna kitu shule za serikali ziko hovyo sana.

hakuna kitu anafanya
Lakini alionywa siku anateuliwa kwamba hakuna anachofanya, zaidi ya kujionesha kwenye camera na TV tu.
 
Back
Top Bottom