TAARIFA KWA UMMA
MISIMAMO YA MAREKANI NA UINGEREZA DHIDI YA WATANZANIA KUKANYAGA ARDHI ZA MATAIFA HAYO:
CUF- Chama Cha Wananchi kimepokea Matamko ya Mataifa makubwa ya Marekani na Uingereza kwa...
Habari za majukumu wakuu.
Nilikuwa nangalia Azam TV asubuhi hii. Mtangazaji alikwenda stand ya Segerea kuwahoji watumishi wa stand ile.
Miongoni Mwao ni mfanyabiashara mdogo. Kwa mujibu wa...
Kumekuwa na malalamiko mengi sana ya wawekezaji wa Tanzania kukwamishwa na TRA ktk kukokotoa makadirio ya kodi, na malimbikizo ya kod. Na gharama za kuagiza bidhaa yoyote nje ya nchi ni kubwa...
Walimu wahamishwa kwa nguvu Mwanza
-
Halmshauri ya Jiji la Mwanza imewahamisha kwa nguvu kwenye nyumba walizokuwa wanakaa walimu wanne wa shule za sekondari Mlimani, Mapango na Pamba za Jiji hilo...
Waziri wa foreign affairs Prof Kabudi na watendaji wakuu wa wizara yake wamekutana na makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar maalim Seif na kukubaliana kuchapa kazi kwa pamoja.
Maalim Seif amesema...
Kuelekea tarehe ya uchaguzi mkuu hapo October 28, ratiba ya Rais Magufuli inaonyesha atamalizia kampeni zake mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga ambako taarifa hizi zimezua gumzo kubwa...
Hatunao tena wapendwa wetu
Ni Dorcas na Doreen Lemshungu waliozaliwa Julai 2020 na kisha kukabidhiwa kwa Masista wa Theresia wa kituo cha kulelea watoto Tosamaganga Mkoani Iringa.
Wendazake...
Juzi Alhamis nilialikwa ITV, Malumbano ya Hoja kuhusu Mfumo wetu wa elimu.
Ukweli ni kwamba nchi yetu tuna sera nzuri sana ya 2014 na ilizinduliwa na Kikwete kwa Shamrashamra watu wakisifu sasa...
JE, NI SHERIA BUTU, UZEMBE AU NI MAZOEA?
Na Elius Ndabila
0768239284
Nikitazama mchakamchaka wa watumishi pale tu Mkuu wa nchi anapotoa maagizo ninabaki kujiuliza je ni sheria zetu butu, je ni...
Wizara ya Fedha na Mipango inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa iliyoandikwa kwenye gazeti la Mtanzania toleo la tarehe 18/12/2019 yenye kichwa cha habari “Wastaafu EAC waibuka na mafao yao”...
Nani asiye wajua jinsi mlivyo na shobo za kisiasa? Jinsi mnavyojua kuyavalia bango makosa ya CCM na serikali yake.
Eti mnazuga mmeamua kukaa kimya baada ya kuona mlidhurumiwa uchaguzi mkuu...
Mheshimiwa Dkt. John Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Amani iwe kwako!
Mheshimiwa Rais! Mimi Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula, nisimamaye katika zamu yangu kama Mtumishi wa...
VIONGOZI WA DINI WATUMIA TBC KUTOA MAONI YAO KUMSIFIA RAIS MAGUFULI.
Tarehe 9 Desemba 2020 majira ya Saa 9 asubuhi. Nipo katika runinga nikitazama na kuangalia kipindi maalum katika TBC. Kuna...
Ni wazi kuwa baada ya CHADEMA kubakiwa na wabunge 20 tu uwanja wa bunge hautakuwa rafiki sana kwao kutupasha taarifa "nzito nzito" kama ilivyozoeleka.
Hivyo nawashauri CHADEMA kwa haraka watafute...
Kwa ukweli bila ushabiki wa kisiasa au kejeli, nchi hii imemkosa Rais ambaye alikuwa na fikra chanya nafasi ilipo patikana ya kufanya hivyo Oktoba 2020.
Ukimsikiliza Lissu alivyozungumzia huo...
Wapo waliotembea kwa miguu, baadhi yao walitumia baiskeli, wengine walitumia bodaboda, wachache walitumia Ubber na taxi huku wengi walitumia daladala. Lakini wote walishangaa wakitekwa nyara na...
TANZANIA! TANZANIA! TANZANIA! SIKIA SAUTI YA ASKOFU!
Askofu Mkuu Oscar Romero wa Kanisa [Roman] Katoliki nchini El Salvador alipokuwa akitetea haki hakuwa na nia ya kugombea nafasi za kisiasa...
Nathan Peter (pichani) au Padre Haule ambaye ni Kasisi wa Kanisa Anglikana Tanzania ameamua kujilipua kwa kuandika yafuatayo katika kuchangia andiko langu katika ukurasa wangu:
"Kama unatumwa na...
Hii habari nimesoma twitter, habari inayosema watoto wadogo wanapimwa uzito kwa kuning'inizwa kwenye mti huko wilayni Tarime mkoa wa Mara(kuna picha ikionyesha tukio hilo).
Hakika nimeshangazwa...
Mwaka 2025 kiuhalisia sio mbali sana.
Uchaguzi wa Viongozi kwenye mfumo wa kisiasa nimchakato wa kudumu unaohitaji maandalizi ya kina.
Najiuliza wenzetu wa upande wa 2 wamejiandaaje na awamu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.