Salaam wakuu,
Rais Magufuli afanya ziara ya Kikazi Mkoani Kagera huko mpakani mwa Tanzania. Itamchukua Siku tatu kuuzunguka Mkoa huo
Pamoja na mambo mengine Keshokutwa kusainiwa mkataba mkubwa...
Napenda kumtia moyo Mama Dorothy Gwajima kwani wachache wa namna hii ni adimu kuwapata.
Mungu ampe nguvu Dkt. John Pombe Magufuli ili kuendelea kuibua na kuzilinda hizi hazina ambazo kutokana na...
Mlipokuwa mnaambiwa kwamba wapinzani wanachelewesha maendeleo haikuwa masihara, yale yalikuwa ni magunzi katikati ya betri za tochi.
Huko jimbo la Kalenga mbunge Kiswaga ametimiza ahadi yake ya...
Tundu Antiphas Lissu
Mbunge kutoka Jimbo la Singida mashariki.ameonesha uwezo usio na Mashaka katika siasa za Kupambana na Utawala uliojaa Chuki, Visasi, Dharau, kejeli na ubabe wa Rais aliyeko...
DART BRT aka Mradi wa mabasi yaendayo kasi “ A failure before start project “.
Niiloandika haya 2016 wakati wa kuanza tu kwa mradi huo Na kweli imekuwa kweli BRT umefeli kabla ya kuanza Na...
Wengi waliosoma nje ya nchi kwa kulipiwa na bodi ya mikopo (HESLB) wanadaiwa fedha nyingi kulinganisha na waliosoma nchini. Nimeona jamaa ana mshahara 900K but anadaiwa 47M. Kwa mwezi atakatwa...
Utafiti wa haraka haraka usiohitaji utaalamu utakuonyesha kuwa katika nchi nyingi meya wa mji au jiji ni mtu mwenye madaraka na majukumu yanayofahamika na kuonekana wazi. Haya ni pamoja na masuala...
*MAUAJI YA JANUARI 26/27 NA MADAI YA KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI
CUF- Chama Cha Wananchi kinaendelea na Maandalizi ya Maadhimisho ya Mashujaa wa Chama waliouawa kinyama Januari 26 na 27...
Grace Tendega, mmoja wa Wasaliti waliojiteua na kuapishwa na Ndugai kuwa wabunge wa viti maalum kutoka Chadema, leo ametunukiwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa ( LAAC )...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo ameliagiza Jiji la Dodoma chini ya Mkurugenzi wake Joseph Mafuru kuifanyia ukarabati Shule ya Msingi Nkuhungu pamoja na kuhakikisha inafikisha...
Lissu ametweet na kuitaka jumuia ya kimataifa kumuwekea Magufuli na genge lake vikwazo vya kiuchumi.
Ameomba hao watu wazuiwe kusafiri na kuingia kwenye nchi za watu (travel ban), assets zao...
Falsafa wanzilishi ya Tanzania, Ujamaa, ilielewa uhusiano kati ya rangi ya ngozi, ukoloni, na ukandamizaji.
Hivyo ilikuwa na lengo la kuondoa dhana ya kudharilishwaji wa ngozi Nyeusi kwa...
Kumbukumbu zinaonyesha kuwa ACT Wazalendo ina Wabunge wanne wa kuchaguliwa wote wakiwa wanaume, CUF ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa ambaye ni mwanamama na Chadema ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa...
RAIS MAGUFULI ATUA KENYA, ALAKIWA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE BI. AMINA MOHAMMED
Rais John Pombe Magufuli, akilakiwa na Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Kenya, Bi. Amina Mohammed kwenye uwanja wa...
Rais wa Tanzania ndugu John Pombe Magufuli amemtaka Balozi wa Uingereza hapa nchini akawaeleze mabalozi wenziye hasa wanaopenda ku-tweet tweet kwamba Tanzania ni nchi huru na inayojiamulia mambo...
Mabibi na mabwana tunapita katika kipindi kigumu. Haki imepotea na manyanyaso tokea katika mamlaka yametamalaki.
Angalia TRA angalia polisi.
Biashara zinalazimika kufungwa kwa sababu ya maonevu...
Mahospitalini Kuna ubadhirifu wa fedha za umma kupitia WIZI wa MADAWA, kuchukua rushwa kwa Wagonjwa, kufanya uharibifu wa makusudi wa vifaa tiba ili visiwe vinafanya kazi na kisha wagonjwa...
Nimepita mkoani Iringa na sasa niko Mbeya, kiukweli Chadema bado wapo tena bado ni " jeuri" zaidi ya vilevile.
Mtazamo wangu hiki chama kinaweza kufufuka au kuzaliwa upya na safari hii kikiwa na...
Naangalia ziara ya kikazi ya Rais mkoani Kagera katika hafla ya utiaji saini mkataba kati ya serikali ya JMT na kampuni ya LZ nickel Limited.
Wahudhuriaji katika hafla hii ni wengi wakiwemo...
"Katika miaka hii mitano nitakuwa mkali ninyi, kwa sababu sihitaji kupigiwa kura wala sigombei tena Urais. Katika miaka hii watakoma wasaidizi wangu. Ambao hawahitaji kuwa mawaziri au wakuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.