Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

PAMOJA na mmiliki wa sasa wa mgodi wa dhahabu wa Buzwagi, kampuni ya Acacia Mining, kutangaza kutaka kufunga mgodi wake, serikali ya Tanzania imesema, mgodi huo, uatendelea kufanya kazi. Anaripoti...
2 Reactions
40 Replies
8K Views
Sitaki kuongea mengi kuhusu suala la watu wengi hapa Tanzania sasa kutamani kufanya kazi ya siasa na hasa kuwa Mbunge. Na ukitazama vizuri utagundua kuwa hii ndo siri kubwa ya kujitokeza kwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Muda anaoutumia kuhangaika masuala ya Klabu yake anayoipenda pengine hata kuliko Wapiga Kura wake wa Dodoma Mjini na Watanzania kiujumla ya Yanga SC ni mkubwa sana hadi najiuliza Majukumu mazito...
7 Reactions
80 Replies
11K Views
Amani iwe nanyi wadau!! Leo naomba niulize hili swali kwenu wanajamvi maana kwa kweli mie nimetafakari hadi nimeshindwa kupata majibu. kuna shida gani kwa Chama cha Mapinduzi juu ya Mipango...
10 Reactions
72 Replies
8K Views
Tahadhima kwenu wajumbe wa bodi huru! Kwa muda sasa nimekuwa nikimfuatilia kwa karibu Waziri huyu toka alipoteuliwa na Rais Magufuli kuwa Waziri wa Afya. Namzungumzia Dk. Dorothy Gwajima. Kila...
105 Reactions
517 Replies
50K Views
Salaam JF, Baada ya Rais Biden kuapa Jana Ikulu ya Marekani imetangaza kuwa mawasiliano ya kwanza ya simu yatakayofanywa na Rais Biden ni kati yake na Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau, bila...
8 Reactions
84 Replies
10K Views
Siku moja baada ya kuapishwa Joe Biden aondoa Visa Ban iliyowekwa kwa Tanzania...
8 Reactions
113 Replies
13K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAMKO LA MADIWANI NA VIONGOZI WA MILA (ILAIGWANAK) WA ENEO LA HIFADHI YA NGORONGORO (TARAFA YA NGORONGORO) JUU YA UHIFADHI NA JAMII Sisi, Madiwani na Viongozi wa...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Hawa wabunge wangu wa Tanzania nilikuwa nawasubiri kwa hamu kila kikao cha bunge angalau mmoja atapaza sauti juu ya hiki kilio cha watanzania juu ya asilimia 6 inayojulikana kama retention fee...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Serikali inarealize upotevu mkubwa wa mapato kwa sababu yakutumia mkono wa chuma kukusanya Kodi. Kodi nzuri Ni ile inayokusanywa kwa mujibu wa sheria, kwa masikilizano na kwa gharama ndogo. Leo...
18 Reactions
61 Replies
9K Views
Naona Kama nchi Sasa inakopelekwa si kuzuri, kila Jambo analoona Waziri au kiongozi wa chama linakuwa sheria. Nimemsikia polepole na Waziri chanel ten wakitoa maelekezo kwa mabasi yote kukaa stand...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brig. Jen Mstaafu Emmanuel Maganga amefariki Dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Milambo Mkoani Tabora usiku huu. Brigedia Jenerali Mstaafu...
5 Reactions
116 Replies
22K Views
Mabibi na mabwana hii imekaa je. Pana habari tokea pande za wilaya ya Ngara kuwa wanakamatwa watu hovyo kisa 10,000/= michango ya ujenzi wa shule hasa pande za kule Rusumo. Sheria zipi...
8 Reactions
34 Replies
4K Views
Moja kwa moja kwenye mada. Nashauri Baraza la Taifa la usimamizi wa Mazingira NEMC na Tume ya Taifa ya uchaguzi NEC kuweka muda maalumu kwa vyama kuondoa mabango na matangazo yote ya kampeni...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Hii siyo haki na kamwe siyo halali hata kidogo. Sisemi kwamba madereva hawafanyi makosa ya usalama barabarani, yanafanyika lakini hata hivyo siku hizi kwa kiasi kikubwa madereva wengi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WAZIRI Mkuu Mstaafu wa Awamu ya Pili, John Malecela, ni miongoni mwa viongozi wachache nchini waliobahatika kufanya kazi kwa muda mrefu na Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere. Wakati...
8 Reactions
210 Replies
24K Views
Mkazi mmoja wa kata ya Osunyai ,katika jiji la Arusha , Gloria Laizer ambaye ni mama mjane, amelazimika kuangua kilio hadharani kumlalamikia mpangaji wake ambaye ni chama Cha Mapinduzi CCM kata...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Wanabodi wa JF hili ni bandiko linalohitaji majibu chanya kwa mustakabali wa taifa letu. Maana kila kukicha wanasiasa wa upinzani wamekuwa na munkari wa kutaka nchi yetu iwekewe vikwazo hasa na...
4 Reactions
59 Replies
4K Views
Nchi ya Afrika Kusini imeanza kupitishia mizigo yake katika bandari ya Dar es salaam baada ya ufanisi kuongezeka bandarini hapo. Msemaji wa TPA amesema jambo kama hili zamani lisingewezekana...
9 Reactions
173 Replies
19K Views
Wiki hii, Mwandishi mmoja kutoka Chombo kimoja cha Habari maarufu katika nchi za Afrika Mashariki alimhoji Askofu Mwamakula kuhusiana na "Matembezi ya Hiyari"! Ufuatao ni muhutasari (paraphrased)...
15 Reactions
38 Replies
4K Views
Back
Top Bottom