Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Niliandika tarehe 13/09/2021 nayo itapita wamachinga watakuwapo, Leo tarehe 13/09/2021 Rais akiongelea kuhusu wamachinga alisema hataki kuona nguvu yoyote ikitumika kuwaondoa wamachinga, kauli hii...
4 Reactions
114 Replies
13K Views
RAIS SAMIA, ACHANA NA HOJA YA HAKI SAWA. INAKUPOTEZEA USHAWISHI NDANI YA JAMII. Na, Robert Heriel. Kwa maoni na mtazamo wangu ambao kimsingi nauamini, ninaona mbele zaidi miaka kadhaa ijayo...
44 Reactions
123 Replies
9K Views
Utoaji wa kafara ni sawala la kiasili tangia jadi na jadi, limekuwa likifanyika katika kila aina ya jambo linapoanzishwa au kipindi kipya, hakuna jambo lolote linaanzishwaga bila kafara. Hata...
3 Reactions
3 Replies
6K Views
RC MAKALLA AWATAKA WANANCHI KULIPA FEDHA KUEPUKA UTEKELEZAJI WA HUKUMU YA MAHAKAMA ARDHI KIWANDA CHA WAZO. - Asema serikali haitoendelea kuwatetea Watakaokaidi kulipa Na hukumu ya mahakama Kuu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
kwa mara ya kwanza nilitambua uwepo wa dhana hii baada ya kusoma riwaya mbalimbali zinazohusu mambo ya kijasusi yaliyorandana na vita baridi kati ya mataifa ya magharibi na dola ya USSR.mimi...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Mwaka 1995 kama asingekuwa Nyerere boys to men walikuwa tayari wamechukua nchi. Akawapiga chini ila Kuna mambo mengi yaliendelea mpaka kifo chake mwaka 1999 hapo ndio lobbying ilifanyika...
35 Reactions
80 Replies
8K Views
Tuna viongozi wasio na sifa ya kuongoza WEDNESDAY SEPTEMBER 29 2021 Summary Dunia ina njaa na kiu ya viongozi bora. Iwe ni katika siasa au serikalini, njaa yetu ya kupata viongozi bora ni...
5 Reactions
0 Replies
1K Views
Mawaziri watano Simbachawene, Mchengerwa, Mhagama, Ummy na Mkuchika wamethibitisha kushiriki mkutano wa wadau wa siasa nchini utakaowashirikisha pia Msajiri wa vyama vya siasa jaji Mutungi na IGP...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Ili nchi iendelee inahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu na uthubutu. Maamuzi ambayo muda mwingine hayatapendwa na wananchi. Mambo kama haya hayawezekani chini ya demokrasia. Hata...
28 Reactions
210 Replies
10K Views
Hivi hii imekaaje unakuta mtu ni waziri ama mbunge anakuwa na maendeleo makubwa kwelikweli kuliko hata nchi yake Hebu tazama watu kama Lowassa jinsi walivyo mabilionea wakati maskini wanazidi...
0 Reactions
0 Replies
552 Views
Watanzania kabla ya kuanza huo mradi wa Bandari ya Bagamoyo naomba tafuteni Articles za LESSON FROM SRI LANKA Hambantota port. Kama hizo article umezipata please tunaomba uzishare ndani ya huu...
30 Reactions
305 Replies
19K Views
Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), umesema ujenzi wa barabara njia nane kutoka Kimara jijini Dar es Salaam hadi Kibaha mkoani Pwani, unaendelea vizuri na utakamilika kama ulivyopangwa. Pia...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Hali ni mbaya sana mitaani na anayebisha akapimwe akili, kwa sasa, wapo wananchi wanaoshindia mkate wa bakhalesa, wapo ambao siku inaweza kupita bila kula kabisa, nina uhakika na hilo, na katika...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Kiuhalisia ni kuwa ushahidi lazima uwe na relevant fact juu tuhuma husika. Kwamba shahidi wa kwanza na wa pili wameonyesha kuchemka kwa kutokuwa na relevent facts, hii bado ni mbichi sana. Tuache...
-1 Reactions
43 Replies
4K Views
Ndani ya miezi yake michache ameendelea kunyonya watu wenye kipato cha chini na kufaidisha Matajiri. Kodi iliyooongezeka kwenye mafuta si rafiki kwa maskini. Ni kodi ya kinyonyaji,wizi na ulaghai...
7 Reactions
30 Replies
3K Views
Wamachinga ni watoto wetu, wajukuu zetu, wapwa zetu, kaka, dada zetu, na jamaa zetu, wanatoka makabila yote na mikoa yote nchini Tanganyika na Zanzibar, hivyo hakuna mwenye chuki nao binafsi...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa sheria ya afya jamii ya mwaka 2009 (Public Health Act, 2009) kifungu cha 24, imeeleza kuwa ni lazima kuchanjwa wala sio hiari. Na kila aliyechanjwa anapaswa kuwa na kadi/cheti...
4 Reactions
110 Replies
6K Views
Wanabodi, Sisi waandishi wa habari, na watangazaji tuna specialization zetu kutokana na vipaji tofauti na uwezo tofauti tofauti, ndio maana wengine wanasoma habari, wengine wanatangaza mpira...
5 Reactions
52 Replies
4K Views
Mkuu wa wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha ,Frank Mwaisumbe amemsimamisha kazi mwenyekiti wa Kijiji cha Engaroji ,Ngarama Mapema Kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo kuhamasisha wananchi kushambulia Kwa...
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Humphrey polepole na King msukuma hakuna asiyejua kuwa nyie ni miongoni mwa waliokuwa wanufaika wakuu wa utawala wa hayati Magufuli. Ni katika kipindi hicho ambapo vijana tulipokuwa tukihoji...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom