#COVID19 Matumizi ya sheria yatasaidia kuhakikisha Watanzania wote wanaostahili kuchanjwa chanjo ya COVID – 19 wanachanjwa kwa wakati, hakuna kubembelezana

Landson Tz

JF-Expert Member
May 8, 2011
245
250
Kwa mujibu wa sheria ya afya jamii ya mwaka 2009 (Public Health Act, 2009) kifungu cha 24, imeeleza kuwa ni lazima kuchanjwa wala sio hiari.

Na kila aliyechanjwa anapaswa kuwa na kadi/cheti. Vilevile, kifungu hicho cha 24 (2) kinatoa adhabu ya shilingi laki moja au kifungo cha miezi mitatu au vyote kwa pamoja kwa yeyote atakayekaidi.

Hakuna haja ya kubembelezana wakati sheria iko wazi.
 
Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
10,408
2,000
Hivi wewe, nikuulize kwanza, una akili sawa sawa?!

Yaani uwalazimishe watu kuchanjwa kwa tatizo ambalo wao hawalioni na ni la kusadikika?!

Utata mwingi umejaa juu tu ya report ya uwepo wa hayo maradhi na madhara yake.
Sasa hivi watu wakifa tunaambiwa ni COVID-19, so magonjwa mengine kama kisukari, ukimwi, maralia, presha, ajali, kipindupindu, pumu, magonjwa ya figo, TB na mengineyo hatarishi yamekwenda wapi au yameacha kuua?!

Nyie msitufanye sisi ni watoto.

Wewe na wapuuzi wenzako kama mnajua sana sheria andae document ya kusaini kila mtu atakae chomwa chanjo kuwa kama kutatokea madhara ya kiafya yatayosababishwa na muingiliano wa hiyo chanjo na damu then serikali itatoa fidia ya papo kwa papo bila kunigotiate Chochote na kama ittashindwa ikubali kushitakiwa mahakama ya kimataifa.

Msituletee ufala hapa. Chomeni ninyi na familia zenu. Kama ni madhara kila mtu abakie na yake, ninyi mliochoma mnawasiwasi gani na mshachoma kinga why mnaogopa maambukizi.

Yaani mtu una blaketi unaogopa baridi?!
 
Jmc06

JF-Expert Member
May 11, 2016
1,945
2,000
Kwa mujibu wa sheria ya afya jamii ya mwaka 2009 (Public Health Act, 2009) kifungu cha 24, imeeleza kuwa ni lazima kuchanjwa wala sio hiari. Na kila aliyechanjwa anapaswa kuwa na kadi/cheti. Vilevile, kifungu hicho cha 24 (2) kinatoa adhabu ya shilingi laki moja au kifungo cha miezi mitatu au vyote kwa pamoja kwa yeyote atakayekaidi.

Hakuna haja ya kubembelezana wakati sheria iko wazi.
Baada ya kuchanjwa mnaanza kusikia shoti za umeme mwilini, wengine wamekufa wengine hoi ICU mnatamani kila mtu akachanjwe. Machanjo yenyewe mliyochanjwa batch yake haitambuliki ulimwenguni na tuliwaambia mkawa wabishi. Ngoja tuendelee kuwaangalia chanjo zitawaathiri vipi.. Ila mimi hata uje na AK47 hunichanji labda niwe hoi sina fahamu.
 
Landson Tz

JF-Expert Member
May 8, 2011
245
250
Hivi wewe, nikuulize kwanza, una akili sawa sawa?!

Yaani uwalazimishe watu kuchanjwa kwa tatizo ambalo wao hawalioni na ni la kusadikika?!

Utata mwingi umejaa juu tu ya report ya uwepo wa hayo maradhi na madhara yake.
Sasa hivi watu wakifa tunaambiwa ni COVID-19, so magonjwa mengine kama kisukari, ukimwi, maralia, presha, ajali, kipindupindu, pumu, magonjwa ya figo, TB na mengineyo hatarishi yamekwenda wapi au yameacha kuua?!

Nyie msitufanye sisi ni watoto.

Wewe na wapuuzi wenzako kama mnajua sana sheria andae document ya kusaini kila mtu atakae chomwa chanjo kuwa kama kutatokea madhara ya kiafya yatayosababishwa na muingiliano wa hiyo chanjo na damu then serikali itatoa fidia ya papo kwa papo bila kunigotiate Chochote na kama ittashindwa ikubali kushitakiwa mahakama ya kimataifa.

Msituletee ufala hapa. Chomeni ninyi na familia zenu. Kama ni madhara kila mtu abakie na yake, ninyi mliochoma mnawasiwasi gani na mshachoma kinga why mnaogopa maambukizi.

Yaani mtu una blaketi unaogopa baridi?!
Woga wa nini, dunia nzima wanachanja wewe unagoma kwa nini kama sio ujuaji tu
 
Intelligence Justice

JF-Expert Member
Oct 23, 2020
1,479
2,000
Kwa mujibu wa sheria ya afya jamii ya mwaka 2009 (Public Health Act, 2009) kifungu cha 24, imeeleza kuwa ni lazima kuchanjwa wala sio hiari. Na kila aliyechanjwa anapaswa kuwa na kadi/cheti. Vilevile, kifungu hicho cha 24 (2) kinatoa adhabu ya shilingi laki moja au kifungo cha miezi mitatu au vyote kwa pamoja kwa yeyote atakayekaidi.

Hakuna haja ya kubembelezana wakati sheria iko wazi.
Naona sasa mnataka kutumia mabavu kwa kinga ya hiyo sheria ya JK ya mwaka 2009.

Mpaka sasa Tanzania haijatoa tangazo la dharura ya tishio la kiafya kama ilivyoainishwa kwenye sheria husika; lakini katikati ya hapo mamlaka ya nchi iliunda tume na kuja majibu ya kwamba chanjo dhidi ya UVIKO-19 Tanzania itekelezwe kwa hiari kwa mantiki hiyo ukinzani wa vitu viwili vyenye hadhi sawa sheria kuu hutizamwa ambayo ni Katiba ambayo kimsingi haisemi chochote popote kuhusu ulazima.

Mwenye mamlaka ya kutangaza dharura ya majanga ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye hajatangaza hivyo leo hii wewe unatoka huko unakojua kwa sababu zako bianafsi unataka kuharakisha utekeleza kwa lazima ya sheria ya kishenzi isiyozingatia 'consent' ya mtu ambaye ni 'victim' wa matokeo yoyote yanayojitokeza dhidi yake.

Kwanini serikali inajitoa kuwajibika kwa madhara yanayojitokeza kwa muhanga wa chanjo kuyabeba?

Quote of the clause

24.--(1) The Authority or any authorized officer may, in any occurrence
Emergency of of infectious diseases
in any area - infectious disease and (a) require any person within that area, who has or is suspected vaccination to have been exposed to infectious diseases, to attend at health for risk care facilities and undergo medical examination, vaccination population or re-vaccination as circumstances may require, (b) by a notice in respect of infectious diseases, publish in the local newspaper widely circulating in such area or posted in public places or as may be deemed proper; or (c) require any person in that area to furnish satisfactory proof, including the exhibition of vaccination scars or certificate of vaccination, that he has been successfully vaccinated within the specified period immediately preceding the date of that requirement.
(2) Any person who fails to comply with the provisions of subsection (1) as regards to furnishing of proof for himself or any child whom he is the parent or guardian or refuses to allow himself or that child to be vaccinated, commits an offence and upon conviction is liable to a fine not exceeding one hundred thousand shillings or to imprisonment for a term of three months or to both.
 
Stefano Mtangoo

JF-Expert Member
Oct 25, 2012
5,160

Dikteta uchwara wewe!
Iambie serikali ibebe pia liability ya madhara yote ya chanjo, leo na baadaye.

Unaona gere sana wengine hawajachanjwa eeh?
Poleee!
 
Intelligence Justice

JF-Expert Member
Oct 23, 2020
1,479
2,000
Kwa mujibu wa sheria ya afya jamii ya mwaka 2009 (Public Health Act, 2009) kifungu cha 24, imeeleza kuwa ni lazima kuchanjwa wala sio hiari. Na kila aliyechanjwa anapaswa kuwa na kadi/cheti. Vilevile, kifungu hicho cha 24 (2) kinatoa adhabu ya shilingi laki moja au kifungo cha miezi mitatu au vyote kwa pamoja kwa yeyote atakayekaidi.

Hakuna haja ya kubembelezana wakati sheria iko wazi.
Sheria inatumia neno 'may' na hakuna mahali popote kwenye hicho kifungu kinatumia neno 'shall' kuhimiza utekelezaji wake kwa hiyo sheria hiyo imekuwa 'outsmarted' na matokeo ya uchunguzi wa tume ya rais iliyosema ni 'HIARI' kwa hiyo acha kuendelea kutishia watu watakugawana kama nyama ya swala.
 
Landson Tz

JF-Expert Member
May 8, 2011
245
250
Naona sasa mnataka kutumia mabavu kwa kinga ya hiyo sheria ya JK ya mwaka 2009.

Mpaka sasa Tanzania haijatoa tangazo la dharura ya tishio la kiafya kama ilivyoainishwa kwenye sheria husika; lakini katikati ya hapo mamlaka ya nchi iliunda tume na kuja majibu ya kwamba chanjo dhidi ya UVIKO-19 Tanzania itekelezwe kwa hiari kwa mantiki hiyo ukinzani wa vitu viwili vyenye hadhi sawa sheria kuu hutizamwa ambayo ni Katiba ambayo kimsingi haisemi chochote popote kuhusu ulazima.

Mwenye mamlaka ya kutangaza dharura ya majanga ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye hajatangaza hivyo leo hii wewe unatoka huko unakojua kwa sababu zako bianafsi unataka kuharakisha utekeleza kwa lazima ya sheria ya kishenzi isiyozingatia 'consent' ya mtu ambaye ni 'victim' wa matokeo yoyote yanayojitokeza dhidi yake.

Kwanini serikali inajitoa kuwajibika kwa madhara yanayojitokeza kwa muhanga wa chanjo kuyabeba?

Quote of the clause

24.--(1) The Authority or any authorized officer may, in any occurrence
Emergency of of infectious diseases
in any area - infectious disease and (a) require any person within that area, who has or is suspected vaccination to have been exposed to infectious diseases, to attend at health for risk care facilities and undergo medical examination, vaccination population or re-vaccination as circumstances may require, (b) by a notice in respect of infectious diseases, publish in the local newspaper widely circulating in such area or posted in public places or as may be deemed proper; or (c) require any person in that area to furnish satisfactory proof, including the exhibition of vaccination scars or certificate of vaccination, that he has been successfully vaccinated within the specified period immediately preceding the date of that requirement.
(2) Any person who fails to comply with the provisions of subsection (1) as regards to furnishing of proof for himself or any child whom he is the parent or guardian or refuses to allow himself or that child to be vaccinated, commits an offence and upon conviction is liable to a fine not exceeding one hundred thousand shillings or to imprisonment for a term of three months or to both.
Emergence kwenye afya haitafsiriwe kama hali ya hatari inayohitaji tamko rais. Tafsiri ya emergence kwa afya dharula tu ya kawaida hivyo utekelezaji wa sheria hii hauhitaji matamko. Kaeni tayari kwa kutekeleza wajibu wenu kisheria kuchanjwa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom