Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,471
- 23,744
Ndani ya miezi yake michache ameendelea kunyonya watu wenye kipato cha chini na kufaidisha Matajiri.
Kodi iliyooongezeka kwenye mafuta si rafiki kwa maskini. Ni kodi ya kinyonyaji,wizi na ulaghai mkubwa.
Kodi kwenye miamala ni kodi hiyo hiyo endelevu ya kunyonya watanzania maskini.
Bado kodi ya kuongeza salio. Serikali inaonekana imekosa ubunifu na inaamini katika kuendelea kuwanyonya wananchi hawa maskini.
Tulikuwa tunasema tumpe muda na tumempa muda wa kuwa nyonya maskin damu. Hii ni moja ya Serikali ambazo zitaumiza sana watu wa kipato cha chini. Anyway kwa sisi wafanya biashara tunashukuru maana tutarudisha kile ambacho kilipotea wakati wa Magufuli akiwapendelea wa kipato cha chini.