Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dr. Hussein Ali Mwinyi leo ameongoza mazishi ya Jaji Haji Omar Haji huko mkoa wa Mjini Magharib Unguja Zanzibar. Jaji Omar Haji Mazishi...
3 Reactions
12 Replies
5K Views
Imeandikwa kwenye Biblia, kitabu cha Mithali 14:34 "Haki huinua Taifa bali dhambi ni aibu ya watu wote" mwisho wa kunukuu. Kwa huu mwendelezo unaoendelea kutolewa mahakamani Katika kesi ya ugaidi...
19 Reactions
24 Replies
4K Views
Biashara ya nyumba ni moja kati ya biashara kubwa Duniani, biashara namba tatu duniani kwa faida na wepesi wa kuiendesha ukilinganisha na biashara nyingine hii inahitaji uangalizi mdogo lakini...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais Samia: Nakushukuru Waziri wa Maendeleo ya Afya, Jinsia, Wazee na Watoto pamoja na Uongozi wa baraza la Mashirika yasiyo ya kiserikali kwa kunialika kwenye mkutano huu wa mwaka wa Mashirika...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania aliyoitoa Septemba 23 kwenye Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) huko New York, imetajwa kuwa miongoni mwa hotuba saba muhimu...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Anaandika mwandishi wa habari wa wapo Radio. Hapo wakati Tuna chati na Dc . Kama Alikuwa Hataki mimi niende katika Ziara yake Ni Vema Angesema kwamba Sitaki Mwandishi Namimi nisingepoteza...
5 Reactions
39 Replies
5K Views
Ni jambo lisilo na shaka kwamba kwa yanayo endelea mahakamani kuhusu kesi ya Mbowe na wenzake kuna jambo nyuma ya pazia. Niseme kwa mtiririko wa ushahidi wa upande wa utetezi, polisi hawakutumia...
11 Reactions
41 Replies
3K Views
Mgogoro wa Ardhi kati ya matajiri na uma wa Eng'arooji ulianza mwaka 2016 kutokana na watu wachache matajiri kujitwalia Ardhi ya uma kinyume na sheria. Baadae kutokana na mgogoro huo, watu hao...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Jana tarehe 29/10/2021 mashahidi wa pande mbili wamemaliza kutoa ushahidi wao katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi ya tuhuma za ugaidi inayomkabili m/kiti wa CHADEMA taifa Mh. Freeman Aikael...
3 Reactions
8 Replies
4K Views
Tarehe 18/10/2015 niliitaka serikali au Mkuu wa majeshi ajitokeze hadharani vinginevyo baada ya siku 7 ningeanzisha kampeni ya "Bring Back Our General". Nampongeza mkuu wa majeshi kwa busara...
9 Reactions
78 Replies
15K Views
Wizara ya Fedha na Mipango inatarajia kufanya uhakiki kwa wastaafu wanaolipwa pensheni na Hazina kwa lengo la kuhuisha taarifa zao. Uhakiki huu utafanyika katika wilaya zote Tanzania bara na...
7 Reactions
111 Replies
24K Views
WALIMU SITA, WANAFUNZI MIA SABA Mwabusalu Sekondari, Meatu Simiyu (Miaka 3, DIV I-0, II-7, III-14, IV-74, O-9) Habari Gani Tanzania? Shule ya Serikali ya Upili ya Mwabusalu (SLP 232) iliyopo...
8 Reactions
24 Replies
4K Views
Ndugu yangu January, Pamoja na mengi yaliyosemwa ila kuna mgongano mkubwa wa maslahi kati ya MD mpya wa TANESCO Ndg.Chande na Mjumbe wa bodi Ndg.Zawadia Nanyaro. Hawa wawili ni wakurugenzi wa...
13 Reactions
56 Replies
7K Views
Kwa Mlolongo wa kesi ya Mbowe na wenzake jinsi ambavyo imeibua hisia za watanzania kua iko siasa na chuki ndani yake, nimelazimika kuuliza maswali haya kwa sababu kadha wa kadha ikiwemo kuwapiga...
20 Reactions
34 Replies
3K Views
Nimeingia ofisi nyingi za ma-RPC na OCD hapa nchini, kitu utakachokiona kwa haraka na uwazi kabisa juu ya meza zao ni Ilani ya CCM. PGO ambayo ndiyo inayotoa mwongozo wa utendaji wao wa kazi za...
3 Reactions
29 Replies
5K Views
Mashahidi wa mwisho walikuwa wake wa watuhumiwa, kubwa lililoonekana kwenye kesi ni polisi kuchukua pesa na vitu ambavyo havihusiani na kesi kwani havikuwasilishwa mahakamani kama ushahidi. Maadam...
15 Reactions
56 Replies
5K Views
Na Mwandishi wetu Mihambwe Wakazi Tarafa ya Mihambwe wamehasika vilivyo kwa hiyari yao kupata chanjo ya Uviko 19 (Corona) mara baada ya kuelimishwa na huduma kusogezwa jirani na Wananchi...
0 Reactions
1 Replies
885 Views
Wilaya ya Buchosa ipo Mwanza, Ila sasa ni rasmi inahamishiwa Mkoa wa Geita. Sababu zilizotolewa ni kuwa kutoka Buchosa kwenda mwanza ni km 110 , wakati kutoka Buchosa kwenda Geita ni km 58. Hivyo...
4 Reactions
41 Replies
9K Views
Huu ndo uongozi thabiti usio na mbwembwe wala majigambo lakini mambo yanatrndeka kwa kasi. Nakumbuka kipindi cha jpm zilikuwa ni kelele ndo kwa runinga na kuteka watu tu. Angalia mama anavyomwaga...
12 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom