Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"Kura hukomesha mashindano; Hukata maneno ya wakuu" Mithali 18:18 Mara nyingi kumekuwa na kawaida kwa vyama vikuu vya pinzani na Chama kinachotawala kuvutana na kutokukubaliana kabla au baada ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nawasalimia kwa jina la JMT wanajukwaa. Ndugu zangu hasa Makada wa CCM mliopo humu msinihukumu kua natumikia kundi au mlengo flani ndani ya chama. Niwe muwazi ni kwamba kwa sasa binafsi...
14 Reactions
57 Replies
5K Views
Wakuu nawasalimu. Ninapendekezo, ili tuweze kujua uhalisia wa idadi ya wananchi wanaojishughulisha na biashara zisizo rasmi,Ninashauri madodoso ya sensa mwaka 2022 Tufanye marekebisho kidogo...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilikuwa nafuatilia huko Ulaya kuhusu namna wanafamilia wa watuhumiwa na hata wafungwa wanavyosaidiwa kuepusha adhabu ya makosa ya wazazi kwenda kuwaumiza watoto wasio na hatia. Mara nyingi watoto...
8 Reactions
11 Replies
2K Views
Tazama clip/video kuhusu Nyumba ya Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Maweni, Kata ya Nguvumoja Wilaya ya Igunga. Inadaiwa kuna ukosefu wa nyumba za Walimu katika shule ya msingi Maweni na kuwafanya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo nimepumzika nyumbani mara watu wanabisha hodi natoka nafungua mlango nakutana na katibu wa kata (WEO) ameongozana na watu wanne akiwepo mgambo mmoja. Wananiambia wamekuja kutoza kodi ya...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam kupitia kwa Kamanda wake, ACP Jumanne Murilo limekiri kuwashikilia wanachama wa BAWACHA waliokuwa wanafanya mazoezi ya viungo(jogging) na mwanahabari...
2 Reactions
83 Replies
8K Views
Serikali imesema kwamba kuanzia Oktoba 1, 2021 itaanza kampeni ya chanjo ya UVIKO kwa watumishi wote wa serikali wakianza na sekta ya afya yenyewe
5 Reactions
36 Replies
5K Views
Nipo katika hatua ya mwisho sasa kufanya maamuzi magumu kama hamtaniunga mkono basi nitaandamana peke angu potelea pote. Ninafadhaika sana kuona nchi yenye maliasili zakutosha lakini tangu uhuru...
6 Reactions
7 Replies
2K Views
Baada ya kuishinda CCM katika kura na matokeo kuwa mazuri kwa upinzani na yaliyojaa ushindi,bado CCM wametumia uchaguzi huo huo kujitangaza washindi? Je, kuna ushauri wowote ,maana uchaguzi...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
"Kura hukomesha mashindano; Hukata maneno ya wakuu" Mithali 18:18 Mara nyingi kumekuwa na kawaida kwa vyama vikuu vya pinzani na Chama kinachotawala kuvutana na kutokukubaliana kabla au baada ya...
0 Reactions
0 Replies
864 Views
09 September 2021 SABAYA ASOMEWA MAKOSA MAPYA MATANO "ALICHUKUA MILIONI 90 KWA MFANYABIASHARA" Aliyekuwa mkuuu wa wilaya ya hai Lengai Ole Sabaya na wenzake sita wamesomewa shtaka la uhujumu...
13 Reactions
105 Replies
14K Views
Kuna mambo lazima tuseme ukweli, hata kama ni ukata lakini si kwa hali hii. Mitandao yote ya simu wamepandisha gharama za bando za internet bila hata kujulisha wateja wake, nini kimetokea ikiwa ni...
23 Reactions
68 Replies
5K Views
Mkuu wa Mkoa wa Mara ( Musoma ) Ally Hapi anatoa Ahadi za Tsh Milioni 10 na Kuzigawa hovyo kwa Wachezaji Wapuuzi wa Biashara United FC ili waifunge Simba SC wakati pale pale Mjini tena Jirani na...
11 Reactions
52 Replies
4K Views
Makamanda, tukubali ukweli kuwa pamoja na wito wa kuandamana kutolewa mara nyingi na viongozi wa CHADEMA, hakuna iliyofanikiwa. Tunajilisha upepo kufikiri kuwa tarehe 5 Agosti itakuwa tofauti. Ni...
8 Reactions
28 Replies
3K Views
Kama hapo juu panavyo jieleza. Nawashauri Chadema wawe Kama Chama Afrika Kusini kilipo weka kambi hapa Tanzania kupambana na Makaburu. Pia nawao watafute nje ya NCHI mahali kupambana na madhalimu...
0 Reactions
2 Replies
606 Views
Amesikika Profesa maarufu wa Chuo Kikuu cha Dar Issa Shivji akiongelea namna wafanyabiashara wakishakuwa wametajirika wanavyovyamia masuala ya kisiasa na kitaalam. Labda ni baada ya kusoma majina...
5 Reactions
72 Replies
5K Views
Hongera waziri wa nishati Mh. January Makamba kwa kuanza kuifufua sekta ya gesi asilia Tanzania. Kwani tumeanza kuona jitihada zako za kuirudisha kwenye mstari sekta hii. Umeanza kufanya...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Habarini Bavicha na Chadema kwa Ujumla Leo napenda kuwashauri jambo la kuwasaidia kutokana na trend yenu ya kuanzisha vi thread humu kuongelea kesi ya Mbowe na kuleta nadharia zenu kuhusu watu...
16 Reactions
94 Replies
6K Views
Hili kundi ni wanaCcm ambao wanajifanya wanaakili nyingi za kutuibia watanzania. Huko nyuma wametuibaia sana kwa kila namna, kwa kukwepa kodi, kukwapua pesa za umma na kujilimbikizia mali. Hawa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom