Wanabodi,
Sisi waandishi wa habari, na watangazaji tuna specialization zetu kutokana na vipaji tofauti na uwezo tofauti tofauti, ndio maana wengine wanasoma habari, wengine wanatangaza mpira...
Mkuu wa wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha ,Frank Mwaisumbe amemsimamisha kazi mwenyekiti wa Kijiji cha Engaroji ,Ngarama Mapema Kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo kuhamasisha wananchi kushambulia Kwa...
Humphrey polepole na King msukuma hakuna asiyejua kuwa nyie ni miongoni mwa waliokuwa wanufaika wakuu wa utawala wa hayati Magufuli.
Ni katika kipindi hicho ambapo vijana tulipokuwa tukihoji...
Asalam-alaikhoom Wana-JF!
ANGALIZO kwa Mods na msomaji:
Mods wana tabia ya kupotezea threads zangu mapema sana. Huu si uungwana jamani! Tuvumiliane!
Kwanza kabisa lazima nikiri kwamba kutokana...
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ameweza kujipambanua kwa hatua mbalimbali nyingi zikikinzana na za mtangulizi wake.
Ninaamini atakuwa alijiwekea lengo la kuibuka mshindi siku zijazo za hii tuzo...
Awali ya yote napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwako Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan kwa kumbadilisha waziri wa ujenzi na uchukuzi, Waziri Chamriho, ambaye kwa mtanzamo wa wengi hatukuona...
Msomi wa kiwango cha kimataifa wa Tanzania, Profesa Shivji ameshangazwa na kitendo cha wafanya biashara kuchaguliwa kuongoza taasisi za umma.
Shivji anasema sekta ya umma haiwezi kuchangamana na...
Kwa matukio kadha wa kadha ya kesi za kubumba ambazo Mahakama imezituma, ambazo mama Samia amezikemea; Kwa ambacho kinaendelea sasa juu ya ushahidi wa makomandoo wa jeshi letu katika kesi ya...
Ndugu wanabodi mimi sio mjuzi sana wa sheria, ila kwa ninavyosikia ni kwamba mtuhumiwa yeyote anao uhuru wa kutafuta mwanasheria au wakili wa kumtetea katika kesi inayomkabili.
Ndipo swali langu...
Mabadiliko hayo ya kupigiwa mfano yametokana na nguvu kubwa ya wananchi kuchangia ujenzi wa ofisi hizo ili kuziboresha .
Tunawashukuru Wananchi wote waliojitolea kwa hali na mali kufanikisha...
Lissu ni defence lawyer mzuri anajua njama zote za polisi na waendesha mashitaka.
Lissu angewapiga maswali mazito mawakili wa serikali wasiojitambua na mashahidi wa uongo na Jamhuri ingeumbuka...
Wana Jf,
Ukisikia kila mkoa una majeshi ya serikali, lakini jeshi butu lisilo na siraha wala chombo chochote hatarishi, jeshi la machinga lilijijengea nguvu za kutisha kiasi kwamba linaogopeka...
Tanesco katika maeneo Mbalimbali Hasa Jiji la Mwanza imeshangaza wananchi zaidi 2000 katika eneo la Nyakato kushindwa kuunganishia watu umeme, Hali hiyo inafanya baadhi ya watu kupitia njia za...
Benki kuu ya Tanzania BOT imezifungia kwa muda wa mwezi mmoja benki kubwa tano nchini kutojihusisha na ubadilishaji wa fedha za kigeni kutokana na kukiuka kanuni zinazoongoza biashara hiyo.
Benki...
Serikali inajitaihdi sana kutoa mafungu mbalimbali ya fedha kwa ajiri ya maendeleo vijijini. Bahati mbaya zile hela mara nyingi vijiji huingiziwa na serikali bila ya kutoa muongozo wa matumizi...
Ni wazi kwamba ili ushike dola na kuongoza bila wasiwasi unahitaji kuwa na rasilimali watu ya kutosha.
Ila kwa upande wa wapinzani naona Wana watu wachache wenye uwezo wa kiuongozi kuliko CCM...
Foreign Affairs and International Cooperation minister Francis Katsaira said Tanzania has released a new Lake Malawi map which shows the east African country has taken a chunk of Lake Malawi...
30 September 2021
Kasumbalesa
Mpakani mwa DR Congo na Zambia
na Nakonde Zambia
Zaidi wa malori 150 ya Tanzania pamoja na madereva wake wazuiwa kuendelea na safari yao baada ya kuvuka mpaka na...
Napendekeza serikali iweke kipengele cha cheti cha JKT kwenye matangazo yote ya kazi katika Taasisi za kiserikali na utumishi.
Hii italeta maana ya vijana wetu kupitia, mafunzo haya ya JKT. Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.