Watanzania kabla ya kuanza mradi wa Bandari ya Bagamoyo tafuteni Articles za 'Lesson from Sri Lanka Hambantota Port'

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,318
8,229
Watanzania kabla ya kuanza huo mradi wa Bandari ya Bagamoyo naomba tafuteni Articles za LESSON FROM SRI LANKA Hambantota port.

Kama hizo article umezipata please tunaomba uzishare ndani ya huu uzi.

Wabongo mnataka mjidai mnawazidi akili wa Sri Lanka ninyi.

Tunataka siku mkianza kulia tulie sote.

Tafuteni Articles tuanze kusoma
 
Naona wewe bado upo nyuma mbali sana na taarifa hizi.

Kuna 'articles' chungu nzima hata humu JF kuhusu hiyo bandari ya Sri Lanka. Tafuta mada ya 'Chige' humu humu jukwaani miezi michache iliyopita.

Wewe uliisikia wapi. Si kama uliisoma ungeileta moja kwa moja hapa?
 
Mimi nimeshaisoma tayari
 
Mradi wa Hambatota ni mkopo tofauti namradi wa Bagamoyo Special Economic Zone ambao ni uwekezaji wa pamoja kati ya China, Oman na Tanzania ambapo sisi tunatoa ardhi. Kwa vyovyote vile hata mradi ukiwa na hasara sisi hatuhusiki kwenye hiyo hasara.

Mada kama hizi ndio zinasababisha wengine tuamini mnaopinga mradi huu hamna akili ya kuchanganua mambo makubwa kama haya ila mnalazimisha msikilizwe japo hamna nguvu ya hoja.
 
Mradi wa Hambatota ni mkopo tofauti na Bagamoyo Special Economic Zone ni uwekezaji wa pamoja kati ya China, Oman na Tanzania ambapo sisi tunatoa ardhi. Kwa vyovyote vile hata mradi ukiwa na hasara sisi haruhusiwi. Mada kama hizi ndio zinasababisha wengine tuamini mnaopinga mradi huu hamna akili ya kuchanganua mambo makubwa kama haya
Wewe ni mjinga kabisa. Wewe unadhani kuwapa watu lango la kuingia nyumbani kwako walijenge halafu walimiki na kuliendesha ndiyo bora? Si bora hata hao walichokuwa mkopo? Wewe unafikiri mchina ni mjinga awekeze matrilioni ya fedha wakati anaona kutakuwa na hasara?
 
Ata wale waliopo bungeni wanaushadsdia kwasababu walienda ziara siku 21 huko nje na wapo kwenye kamati ya miundombinu wakalishwa presentation ya nusu saa hivi then wakapitishiwa mlungula ndiyo waliporudi kila mtu anantaka uendelee ule mradi alafu wanasema Wachina wanataka kuisadia nchi yetu...!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyu anajisifia kwamba wachina wamemuona ni unique na wamempenda tutamwamini vipi kama hakupewa mlungura? Isitoshe hata kujieleza kwake ni kwa kibabaishaji anajiita Prof. Mbona yuko shallow katika kujieleza, amemsifia Mwendazake wakati Mwendazake mwenyewe alisema bandari ya Bagamoyo ina harufu ya dhuruma.
 
Ata wale waliopo bungeni wanaushadsdia kwasababu walienda ziara siku 21 huko nje na wapo kwenye kamati ya miundombinu wakalishwa presentation ya nusu saa hivi then wakapitishiwa mlungula ndiyo waliporudi kila mtu anantaka uendelee ule mradi alafu wanasema Wachina wanataka kuisadia nchi yetu...!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Yeye Ndugu Yai alipata nini chuo maana anawakandia wenzake hajisemi yeye alipata makarai mangapi
 
Kuna watu ambao mpaka muda huu wanapambana kumiliki vyoo wanajifanya kushindana na macho madogo.

Hakuna watu corrupt kama macho madogo.

Imetuchukua muda kupambana nao kwenye tenda za ujenzi wa barabara sidhani kama tuna personell competent kuchuana na hawa jamaa.
Shauri zao
Badaye wakataoumia wala siyo hao
Wanaoipigia debe

Ova
 
Back
Top Bottom