Mawaziri Simbachawene, Mchengerwa, Jenister Mhagama, Ummy na Mkuchika kushiriki mkutano wa Wadau wa siasa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,777
141,645
Mawaziri watano Simbachawene, Mchengerwa, Mhagama, Ummy na Mkuchika wamethibitisha kushiriki mkutano wa wadau wa siasa nchini utakaowashirikisha pia Msajiri wa vyama vya siasa jaji Mutungi na IGP Sirro.

Vyama vya siasa vikiongozwa na chama kikuu cha upinzani Chadema vinatarajiwa kushiriki bila kukosa.

Source: ITV habari
 
Rubbish!
 
UPUUZI MTUPU!

Kumbe ITV wamekuwa ni waongo
 
Back
Top Bottom