Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda amempatia kijana wa kiume mjasiriamali mwenye ulemavu kiasi cha Tsh Milioni 2 kama...
Wadau, amani iwe kwenu.
Upo msemo wa kiswahili kuwa ukienda Msituni kuwinda ukakosa mnyama mkubwa uliyemkusudia, hupaswi kurudi mikono mitupu. Unapaswa kuwinda hata ndege ili mradi tu uonekane...
Rais John Magufuli amemteua Innocent Bashungwa kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara akichukua nafasi ya Joseph Kakunda ambaye uteuzi wake umetenguliwa
> Edwin Mhede ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu TRA...
“Wanasema wakurugenzi wasisimamie uchaguzi. Sisi tunasema Mtanzania mwenye sifa Tume itampa nafasi ya kusimamia uchaguzi.” – Paul Makonda, Katibu wa Halmashauri Kuu CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo...
Leo nimeona nitoa maoni yangu kuhusu hali ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Ingawa upinzani (CHADEMA) kunachechemea lakini bado kuna wanasiasa wa upinzani wana nguvu kisiasa na wanaweza kuwa...
Usuli
Kwa mujibu wa Kanzidata ya Kimataifa kuhusu Majanga Asilia yaliyotokea tangu mwaka 1990, Tanzania inakabiliwa na hatari ya majanga asilia yafuatayo, frikwensi zake zikiwa zimeonyeshwa...
Nikiwa ninapata utambuzi wa akili Nimebahatika Kushuhudia Uongozi wa mwisho wa Mwalimu Nyerere, Uongozi wa Mwinyi, Uongozi wa Mkapa wote, Uongozi wa kikwete.
Katika Uongozi wote huo sikuwahi...
Tuliambiwa maji hakuna kwenye mabwawa tulikubali na mimi nimewahi kuwatetea pahala. Lakini kwa hali inavyokwenda hakuna nafuu.
Tunaamini mabwawa kina kimeongezeka hata kama si kujaa kabisa lakini...
Bwana atawafanya adui zako wainukao juu yako kupigwa mbele yako; watakutokea kwa njia moja, lakini watakimbia mbele yako kwa njia saba. hili ni andiko liko katika kitabu cha mhubiri 28:7...
Kati ya kundi zima la wana CCM mafisadi wa kizazi hiki ni wewe tu angalau umejitanabaisha kuwa MZALENDO WA KWELI, na unaehumizwa kwa wizi na ubadhirifu uliotamalaki katika awamu hii ya sita (IBA...
Yule 'Mwanaharakati' maarufu wa dini ya kiislamu Sheikh Ponda Issa Ponda amekamatwa na polisi usiku huu akiwa katika msikiti wa Temeke Tungi
UPDATES:
Ni taarifa za kweli na aliwindwa kwa siku...
Maneno ya Mwenyekiti CCM Taifa kuwa Watanzania wanapaswa kuelimishwa kuhusu Katiba ili ndo mchakato uanze ni kauli inayofanania na ile ya wakoloni walitaka uhuru ucheleweshwe kwa sababu...
Hili suala la jeshi kuamriwa kufanya usafi kila vyama vya upinzani vinapotangaza maandamano halikubaliki.
Wote tunalia hali ngumu ya maisha ikiwemo wanajeshi pamoja na familia zao na viongozi wa...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amekemea na kuonya tabia ya baadhi ya Wana CCM wanaovunja taratibu za Chama kwa kuendekeza makundi baada ya uchaguzi, akisema...
Wakuu,
Kama wengi tulivyoshuhudia na mitandao mingi inavyoripoti hali ya mafuriko ni mbaya na athari kubwa ni barabara na madaraja kuharibika vibaya kiasi ya njia nyingi kufungwa kwa tahadhari...
Watoto wa Mbowe na Lissu wote ni raia wa Marekani na Uingereza.
Mbowe kukutana na mabalozi wa nchi hizo hapa nchini sio ajabu kwa sababu watoto wa Mbowe wana utii kwa nchi ya Marekani na...
Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi anazungumza na Waandishi wa Habari, leo Januari 17, 2024, Handeni-Tanga.
https://www.youtube.com/live/tgDq_QmfwgI?si=7y6tlTVhDddXkqWX
Msemaji Mkuu wa...
Tatizo ni kuwa hana hoja nimemskiliza kwenye mikutano alofanya alikuwa na haraka sana ya kuzunguka, alikuwa hana hoja zaidi ya kuwaonyesha "adui" zake kuwa nimerudi dining room! Hakuwa na hoja...
NAMNUKUU
"Hiko chama cha ACT Wazalendo kinachojilabu mwaka huu kitachukua Serikali mashudu, kusema kitu chengine bwana. Hapa waafrika hawatawaliwi tena, bora tufe sote kiwanja kiwe hakipo lakini...
Haiwezekani TANESCO mkatuambia kwamba hizi mvua zote zinazoharibu mashamba ya miwa kufanya sukari iuzwe 5000 kilo eti haziingii kwenye bwawa la kuzalisha umeme, kweli?
Hivi mnatuonaje? Marehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.