Sishangai Mbowe anakutana na mabalozi wa Uingereza na Marekani kwa sababu familia yake nzima ni raia wa nchi hiyo

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,002
20,662
Watoto wa Mbowe na Lissu wote ni raia wa Marekani na Uingereza.

Mbowe kukutana na mabalozi wa nchi hizo hapa nchini sio ajabu kwa sababu watoto wa Mbowe wana utii kwa nchi ya Marekani na Uingereza, sio Tanzania.

Mbowe hata akiiharibu Tanzania kwa maandamano na vita, yeye hana cha kupoteza kwa sababu watoto eake watakuwa wanalindwa na C.I.A .

Baadhi ya wanachadema wanahoji, James Mbowe, mtoto wa Mbowe, ambaye sio raia wa Tanzania, kwanini anaruhusiwa kushiriki siasa za Tanzania na hata kupewa vyeo vya kisiasa.
 
Mbowe kukutana na mabalozi wa nchi hizo hapa nchini sio ajabu kwa sababu watoto wa Mbiwe wana utii kwa nchi ya Marekani na Uingereza, sio Tanzania.

Baadhi ya wanachadema wanahoji, James Mbowe, mtoto wa Mbowe, ambaye sio raia wa Tanzania, kwa nini anaruhusiwa kushiriki siasa za Tanzania na hata kupewa vyeo vya kisiasa.
Unao ushahidi, kama unao weka hapa vyeti vyao vya uraia wa nchi hizo. Unaamka na njaa zako unatuletea mambo ya vijiweni eti kwa sababu wewe ni manaccm tukubaliane na wewe mwenzetu! Huo ni ujinga.
 
Watoto wa Mbowe na Lissu wote ni raia wa Marekani na Uingereza.

Mbowe kukutana na mabalozi wa nchi hizo hapa nchini sio ajabu kwa sababu watoto wa Mbiwe wana utii kwa nchi ya Marekani na Uingereza, sio Tanzania.

Mbowe hata akiiharibu Tanzania kwa maandamano na vita, yeye hana cha kupoteza kwa sababu watoto eake watakuwa wanalindwa na C.I.A .

Baadhi ya wanachadema wanahoji, James Mbowe, mtoto wa Mbowe, ambaye sio raia wa Tanzania, kwa nini anaruhusiwa kushiriki siasa za Tanzania na hata kupewa vyeo vya kisiasa.
Watanzania kweli akili zetu fupi yaani badala yakuzungumzia hoja anazotoa Mbowe nakuziponda hoja zake wewe umekazania kumponda mbowe, hilo haliwezi kukusaidia wewe ungejitahidi ku crash hoja za Mbowe. Mbona SisiM kuna wasomali na wanavyeo vikubwa tu watu hawapondi hoja zao kwakuwa ni wasomali.
 
Watoto wa Mbowe na Lissu wote ni raia wa Marekani na Uingereza.

Mbowe kukutana na mabalozi wa nchi hizo hapa nchini sio ajabu kwa sababu watoto wa Mbiwe wana utii kwa nchi ya Marekani na Uingereza, sio Tanzania.

Mbowe hata akiiharibu Tanzania kwa maandamano na vita, yeye hana cha kupoteza kwa sababu watoto eake watakuwa wanalindwa na C.I.A .

Baadhi ya wanachadema wanahoji, James Mbowe, mtoto wa Mbowe, ambaye sio raia wa Tanzania, kwa nini anaruhusiwa kushiriki siasa za Tanzania na hata kupewa vyeo vya kisiasa.
Hata kama siasa chafu hii imezidi. It doesn't make any sense to smart people. Jenga hoja itakayokuwa na nguvu na si kuongea tu lolote linalokujia kichwani hata kama ni mpinzani wako.
Yeye ni kiongozi wa Chama kikuu cha upinzani nchini, Chama chake kinapata misaada kutoka kwa baadhi ya vyama vikubwa vya hizo nchi, je ni vibaya kukutana na viongozi wa hizo nchi? Au hujui kuwa pamoja na CCM kuwa madarakani lakini kinapata misaada toka kwa baadhi ya vyama vya nchi nyingine kama China, Russia and alike.....?
 
Watoto wa Mbowe na Lissu wote ni raia wa Marekani na Uingereza.

Mbowe kukutana na mabalozi wa nchi hizo hapa nchini sio ajabu kwa sababu watoto wa Mbowe wana utii kwa nchi ya Marekani na Uingereza, sio Tanzania.

Mbowe hata akiiharibu Tanzania kwa maandamano na vita, yeye hana cha kupoteza kwa sababu watoto eake watakuwa wanalindwa na C.I.A .

Baadhi ya wanachadema wanahoji, James Mbowe, mtoto wa Mbowe, ambaye sio raia wa Tanzania, kwanini anaruhusiwa kushiriki siasa za Tanzania na hata kupewa vyeo vya kisiasa.
Mkuu kwanza tukubaliane kuwa Mbowe ni mwenyekiti wa chama cha siasa cha Chadema kama alivyo Mwenyekiti wa chama cha CCM, Samia.

Kwa hivyo unataka tuamini kwamba na Samia anapokutana na mabalozi wa nchi mbali mbali naye utii wake unakuwa kwa nchi watokazo mabalozi hao?

Tuache unafiki, tujadili issues of substance!
 
Watoto wa Mbowe na Lissu wote ni raia wa Marekani na Uingereza.

Mbowe kukutana na mabalozi wa nchi hizo hapa nchini sio ajabu kwa sababu watoto wa Mbowe wana utii kwa nchi ya Marekani na Uingereza, sio Tanzania.

Mbowe hata akiiharibu Tanzania kwa maandamano na vita, yeye hana cha kupoteza kwa sababu watoto eake watakuwa wanalindwa na C.I.A .

Baadhi ya wanachadema wanahoji, James Mbowe, mtoto wa Mbowe, ambaye sio raia wa Tanzania, kwanini anaruhusiwa kushiriki siasa za Tanzania na hata kupewa vyeo vya kisiasa.
Wewe no mpuuzi!
 
Hata kama siasa chafu hii imezidi. It doesn't make any sense to smart people. Jenga hoja itakayokuwa na nguvu na si kuongea tu lolote linalokujia kichwani hata kama ni mpinzani wako.
Yeye ni kiongozi wa Chama kikuu cha upinzani nchini, Chama chake kinapata misaada kutoka kwa baadhi ya vyama vikubwa vya hizo nchi, je ni vibaya kukutana na viongozi wa hizo nchi? Au hujui kuwa pamoja na CCM kuwa madarakani lakini kinapata misaada toka kwa baadhi ya vyama vya nchi nyingine kama China, Russia and alike.....?
👍👏🆒
 
Kwa hiyo unakubali viongozi wakuu wa chadema wawe raia wa marekani au uingereza?
Acha upumbavu mkuu,sio muhimu kuwa bila ya kutoa mada kuhusu Mh. Mbowe anaona kama umenyimwa maji ,thibitisha hapa kuwa watoto wa Mh.Mbowe wana dual citizenship kinyume chake wewe ni pumbavu, na elewa pigania haki yako sio kutegemea upiganiwe wakati wewe umefyata mikia yako chini ya uvungu wa kitanda chako, family ya Mr.Mbowe ana pesa nyingi kabla hata ya wazazi wako hawajazaliwa achana naye fanya ya kwako
 
Watoto wa Mbowe na Lissu wote ni raia wa Marekani na Uingereza.

Mbowe kukutana na mabalozi wa nchi hizo hapa nchini sio ajabu kwa sababu watoto wa Mbowe wana utii kwa nchi ya Marekani na Uingereza, sio Tanzania.

Mbowe hata akiiharibu Tanzania kwa maandamano na vita, yeye hana cha kupoteza kwa sababu watoto eake watakuwa wanalindwa na C.I.A .

Baadhi ya wanachadema wanahoji, James Mbowe, mtoto wa Mbowe, ambaye sio raia wa Tanzania, kwanini anaruhusiwa kushiriki siasa za Tanzania na hata kupewa vyeo vya kisiasa.
Sasa hapa umeandika nn mkuu??
Huwa mnatafakar kabla ya kuandika kweli?? Yaani kukutana na balozi na watoto kuishi nje ya nchi vinahusiana na nn? Mtto wa mbowe kuwa raiya wa nchi fulani kosa ninini?
Ccm kuna viongozi wangapi mfano Malecela watto wake wapo ughaibuni. Mtoto wa mtemvu ni raiya wa nirway mbona hili hamsemi???
Tuache ushamba na chuki kidogo
 
Ndiyo Maana Nchi haiendelei kwasababu ya ujinga Kama Huu,, kwani Kuna Kosa Gani MTU kukutana na Balozi.. Kila kitu siasa tuuu.. KAZI IPO
 
Watoto wa Mbowe na Lissu wote ni raia wa Marekani na Uingereza.

Mbowe kukutana na mabalozi wa nchi hizo hapa nchini sio ajabu kwa sababu watoto wa Mbowe wana utii kwa nchi ya Marekani na Uingereza, sio Tanzania.

Mbowe hata akiiharibu Tanzania kwa maandamano na vita, yeye hana cha kupoteza kwa sababu watoto eake watakuwa wanalindwa na C.I.A .

Baadhi ya wanachadema wanahoji, James Mbowe, mtoto wa Mbowe, ambaye sio raia wa Tanzania, kwanini anaruhusiwa kushiriki siasa za Tanzania na hata kupewa vyeo vya kisiasa.
Siasa za maji taka hizi zitaisha lini ,nchi mzima mnataka tufanane ajili za kichawa hapana si Kila kitu kibapaswa kuungwa mkono na si Kila kitu kibapaswa kupingwa
 
Back
Top Bottom