Luhaga Mpina nakuombea 2025, upate nafasi ya kugombea urais kupitia CCM

Bando la wiki

JF-Expert Member
May 23, 2023
313
872
Kati ya kundi zima la wana CCM mafisadi wa kizazi hiki ni wewe tu angalau umejitanabaisha kuwa MZALENDO WA KWELI, na unaehumizwa kwa wizi na ubadhirifu uliotamalaki katika awamu hii ya sita (IBA KWA UREFU WA KAMBA YAKO)

Mama Samia ni rais wa mpito Tanzania kwa sababu kama nchi tulipatwa na msiba wa kiongozi akiwa madarakani hivyo katiba ikamtaka mkamo wa rais kushika nchi kwa kipindi cha mpito mpaka uchaguzi mkuu mwingine utakapo fanyika. Sio takwa la kikatiba kwamba rais wa mpito ahudumu kwa vipindi viwili vya uongozi (hao wanaomdaganya rais kwamba itachapishiwa fomu moja kwa ajili yake nadhani ni uchawa na kutetea matumbo yao).

2025 mchakato wa kumtafuta mgombea urais kwa tiketi ya CCM utafanyika kama kawaida na mtetezi wa watanzania hasa watanganyika atakuwa na nafasi kubwa ya kupitishwa na kamati kuu.

Hapa ndipo wazalendo wa kweli hasa Luhanga Mpina atapitia na kushangaza wengi kwa sababu watu wanataka kuona Tanganyika become great again huku mafisadi na wezi wa mali za taifa wakiwajibishwa perpendicularly.
 
Kati ya kundi zima la wana CCM mafisadi wa kizazi hiki ni wewe tu angalau umejitanabaisha kuwa MZALENDO WA KWELI, na unaehumizwa kwa wizi na ubadhirifu uliotamalaki katika awamu hii ya sita (IBA KWA UREFU WA KAMBA YAKO)
Mama samia ni rahisi wa mpito Tanzania kwa sababu kama nchi tulipatwa na msiba wa kiongozi akiwa madarakani hivyo katiba ikamtaka mkamo wa rais kushika nchi kwa kipindi cha mpito mpaka uchaguzi mkuu mwingine utakapo fanyika. Sio takwa la kikatiba kwamba rais wa mpito ahudumu kwa vipindi viwili vya uongozi (hao wanaomdaganya rais kwamba itachapishiwa fomu moja kwa ajili yake nadhani ni uchawa na kutetea matumbo yao).

2025 mchakato wa kumtafuta mgombea urais kwa tiketi ya CCM utafanyika kama kawaida na mtetezi wa watanzania hasa watanganyika atakuwa na nafasi kubwa ya kupitishwa na kamati kuu. Hapa ndipo wazalendo wa kweli hasa Luhanga Mpina atapitia na kushangaza wengi kwa sababu watu wanataka kuona Tanganyika become great again huku mafisadi na wezi wa mali za taifa wakiwajibishwa perpendicularly.
Mwambieni akomae kuchukua fomu msiishie JF.

Na mjipange kukabiliana na wapiga jaramba wa "Mama" ambao washaanza kusema mgombea wa CCM 2025 ni mmoja tu.

By the way jina lake ni Luhaga Mpina, si Luhanga Mpina.
 
Kati ya kundi zima la wana CCM mafisadi wa kizazi hiki ni wewe tu angalau umejitanabaisha kuwa MZALENDO WA KWELI, na unaehumizwa kwa wizi na ubadhirifu uliotamalaki katika awamu hii ya sita (IBA KWA UREFU WA KAMBA YAKO)
Mama samia ni rais wa mpito Tanzania kwa sababu kama nchi tulipatwa na msiba wa kiongozi akiwa madarakani hivyo katiba ikamtaka mkamo wa rais kushika nchi kwa kipindi cha mpito mpaka uchaguzi mkuu mwingine utakapo fanyika. Sio takwa la kikatiba kwamba rais wa mpito ahudumu kwa vipindi viwili vya uongozi (hao wanaomdaganya rais kwamba itachapishiwa fomu moja kwa ajili yake nadhani ni uchawa na kutetea matumbo yao).

2025 mchakato wa kumtafuta mgombea urais kwa tiketi ya CCM utafanyika kama kawaida na mtetezi wa watanzania hasa watanganyika atakuwa na nafasi kubwa ya kupitishwa na kamati kuu. Hapa ndipo wazalendo wa kweli hasa Luhanga Mpina atapitia na kushangaza wengi kwa sababu watu wanataka kuona Tanganyika become great again huku mafisadi na wezi wa mali za taifa wakiwajibishwa perpendicularly.
Ni kweli anafaa kugombea Urais kupitia CCM, lakini ni kuanzia 2030. Mwaka 2025 tayari CCM tuna Mgombea wetu!
 
Mwambieni akomae kuchukua fomu msiishie JF.

Na mjipange kukabiliana na wapiga jaramba wa "Mama" ambao washaanza kusema mgombea wa CCM 2025 ni mmoja tu.

By the way jina lake ni Luhaga Mpina, si Luhanga Mpina.
Shukran kwa correction!
Mimi sio CCM hila huyo jamaa namkubali sana kitendo cha kutokuwa mnafaki ndani CCM nakusimia hoja zake pamoja na vitisho vingi anavyopokea, nimemwelewa sana.
Katika nchi za kimaskini kama hizi, kumpata kiongozi alienyooka ni wachache sana.
 
Watanzania tuna safari ndefu sana.

Wengi tunaridhika kirahisi halafu hatufanyi homework, hatuna nuance, hatuna sophistication.

Huyo jamaa huwa anakurupuka tu.

Yani uongozi uliopo madudu, hao watu wanaoonekana wanaweza kuwa afadhali nao ni madudu.

Mpina atakuwa Magufuli mwingine tu, atakuja na kelele nyingi halafu results zero.
 
Mwambieni akomae kuchukua fomu msiishie JF.

Na mjipange kukabiliana na wapiga jaramba wa "Mama" ambao washaanza kusema mgombea wa CCM 2025 ni mmoja tu.

By the way jina lake ni Luhaga Mpina, si Luhanga Mpina.
CCM haiiendeshi Dola .

Dola inaiendesha CCM.

CCM ingeiendesha Dola, JPM ASINGEKUA RAIS .

CCM ingeiendesha Dola, Paul Makonda asingerudi tena arudi Kwa CHEO KIKUBWA HICO.

Namaanisha hivi, Rais ajaye 2025 ni Mwanaume, ambaye Ndani yake ni Magufuli Mtupu, ni Rais atakayetokea kuleee wanakoita ni SUKUMA GANG, ila ndo Ivo atakua ndio Rais .

Kuna wajinga wameachwa wapanue Midomo yaooo weeeeee na Kupewa ulaji, Kuna werevu wachache wameachwa nje ya Mfumo huku wakibezwa sanaaaa , haya yote ni makusudi.

Mjinga ajione kashinda aache kumfatilia mwerevu,

Ila 2025, Magugu yatakua Magugu, Ngano itakua Ngano.
 
Mkuu,

2025 si mbali.

Wengine tupo tangu Jamboforums hapa.

Tukumbushane tu.

Sasa unataka ku beti kiasi gani kwenye kauli yako, na mimi ni beti , barring death, Samia atapeperusha bendera ya CCM na kuwa rais 2025?

Wanyamwezi wanasema "Put your money where your mouth is".
 
Luhaga anawachotaka akili maboya kirahisi sana. Wabongo mtu akiongea kwa jazba na kuwa against kila kitu tayari mnampa urais. Smh
 
CCM haiiendeshi Dola .

Dola inaiendesha CCM.

CCM ingeiendesha Dola, JPM ASINGEKUA RAIS .

CCM ingeiendesha Dola, Paul Makonda asingerudi tena arudi Kwa CHEO KIKUBWA HICO.

Namaanisha hivi, Rais ajaye 2025 ni Mwanaume, ambaye Ndani yake ni Magufuli Mtupu, ni Rais atakayetokea kuleee wanakoita ni SUKUMA GANG, ila ndo Ivo atakua ndio Rais .

Kuna wajinga wameachwa wapanue Midomo yaooo weeeeee na Kupewa ulaji, Kuna werevu wachache wameachwa nje ya Mfumo huku wakibezwa sanaaaa , haya yote ni makusudi.

Mjinga ajione kashinda aache kumfatilia mwerevu,

Ila 2025, Magugu yatakua Magugu, Ngano itakua Ngano.

Unapata hivi vichekesho wapi? Samia hadi 2030 it's as clear as the daylight.
 
Mpina is overrated alipokua waziri alifanikisha nini? Alipokua mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya viwanda na biashara alifanikisha nini?

Huyu ni failure tatizo kwa waTanzania anayeongea sana ndio anaonekana anafaa ilihali wakipewa kazi wameonesha kufeli.

Nawahasa chadema wasije ingia huu mtego wa CCM kumchukua huyu failure kywa mgombea urais. Huyu hata ubunge hawezi kurudi maana alishakatwa NEC mkoa na kitaifa so hana ushawishi tunaomkuza nao humu.
 
Namaanisha hivi, Rais ajaye 2025 ni Mwanaume, ambaye Ndani yake ni Magufuli Mtupu, ni Rais atakayetokea kuleee wanakoita ni SUKUMA GANG, ila ndo Ivo atakua ndio Rais
You are delusional kudhani Samia anaweza achia mgombea mwingine!! Kwani naye hajaweka watu wake kwa system?

Tutarudi hapa mwakani, fomu itakua ni moja tu na hamna mtakachofanya huko CCM maana mmejaa unafiki. Ingekua Kenya hao so called sukuma gang wangekua wameanzisha chama kupambana na Samia ila nyie mmeng'ang'ania tu humo ndani.

Kama mpo serious, anzisheni chama ndio tuone sio kuwa na ndoto zisizo realistic.
 
Shukran kwa correction!
Mimi sio CCM hila huyo jamaa namkubali sana kitendo cha kutokuwa mnafaki ndani CCM nakusimia hoja zake pamoja na vitisho vingi anavyopokea, nimemwelewa sana.
Katika nchi za kimaskini kama hizi, kumpata kiongozi alienyooka ni wachache sana.
Wananchi Tanzania ubora wa uongozi tunaupima kwa vigezo vya ajabu kabisa. Mtu yoyote anapokuwa against regime, huwa tunaona ni kiongozi bora. Sikulaumu ila najaribu kuonyesha tu nchi ilivyo na wanafiki na waoga wa kusema ndiyo ndiyo kiasi ambacho anayejaribu kusema hapana tayari anachukuliwa kama kiongozi bora.
 
Safi kijana una mawazo ya kizalendo zaidi
Kwani mpina yupo kwenye wizara yoyote?
 
Back
Top Bottom