Tuliambiwa maji hakuna kwenye mabwawa tulikubali na mimi nimewahi kuwatetea pahala. Lakini kwa hali inavyokwenda hakuna nafuu.
Tunaamini mabwawa kina kimeongezeka hata kama si kujaa kabisa lakini umeme haupatikani shida nini jamani?
Umuhimu wa umeme mbaujua kweli ndio tumeshindwa kutatua hizo changamoto mana kwa sasa maji naamini yapo.
Kuna kipindi cha wiki moja nyuma kati ya Dec 27 to Jan 10 hakukua na shida sana yaumeme(maeneo nilipo) nikajua ndio kheri ya jumla imepatikana.
Basi tuwe tunaambiwa mara kwa mara km shida maji tujue, km mitambo mibovu tujue pia kwa kua tuna haki ya kufahamishwa.
Mjitahidi wakuu hili jambo sio la mzaha.