Mzee wa Kizanzibari: CCM hakijaumbwa kushindwa, kwa njia zote anachukua nchi. Adai haiwezekani kupika na kupakua halafu ashibe mwingine

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,446
7,822
NAMNUKUU

"Hiko chama cha ACT Wazalendo kinachojilabu mwaka huu kitachukua Serikali mashudu, kusema kitu chengine bwana. Hapa waafrika hawatawaliwi tena, bora tufe sote kiwanja kiwe hakipo lakini hatutawaliwi, hamuwezi kutufanyia upuuzi huu.

Eti kusema mwaka huu tutashinda ACT wazalendo, nipike mie, nipakue mie, nilishe halafu wewe ije ushibe mimi nikae na njaa, maneno haya yametoka wapi. Hivi kweli hiyo! Tisha toto tu hiyo. Ikifika kweli chama cha Mapinduzi kitanyanyua makucha, kila mmoja hataiona kali yake.

Chama cha CCM hakijaumbwa kushindwa kwa njia zote. Piga, chinja, nyanyua, akinyanyuka anasonga mbele anachukua nchi. Tulifanya mapinduzi kwa hilo"

==========For English Audience Only===========
CCM Has No Chance of Losing Any Election Over ACT Wazalendo.

Recently, a representative of the Chama Cha Mapinduzi (CCM) party passionately declared that the ACT Wazalendo party's aspirations to take over the government this year will be met with so much resistance. The speaker adamantly asserted that Africans will no longer be governed in such a manner, with a strong assertion that CCM, the ruling party, is not created to be defeated by any means.

The speaker invoked the historical context of the CCM, emphasizing its resilience and ability to overcome challenges. The narrative portrayed the ruling party as unyielding, using metaphors such as "Piga, chinja, nyanyua" (Fight, conquer, rise) to highlight the party's determination. The speaker concluded by reminding listeners of the revolutionary roots of CCM, suggesting that the party's legacy is deeply rooted in the ability to triumph against all odds.

The statement reflects a confident and defiant stance from the CCM, rejecting any notion of yielding power and emphasizing its historical significance in shaping the nation's destiny.

However, the prevailing sentiment underscores a steadfast belief in the Chama Cha Mapinduzi's (CCM) since 1977. Advocates for CCM assert that the party, having led since the revolutionary era, will not permit ACT to seize power. The statement reflects a confidence in CCM's ability to secure victory through any means necessary, bolstered by a history of resilience despite challenges from the National Electoral Commission (NEC). Overall, these viewpoints underscore the complex dynamics and historical context surrounding CCM's continued political dominance in Tanzania.

Hata sijaelewa kitu
CCM haiwezi kuruhusu ACT kushinda uchaguzi Zanzibar, ilifanya mapinduzi kutawala na sio kumuachua mwingine madaraka. Wanaoongea kwa sasa kuwa watachukua madaraka(ACT) ni maneno lakini mwenye makucha ya kuchukua utawala ni CCM pekee.

Watashinda kwa njia yeyote ile.
 
Hilo lipo wazi maana CCM tangu 2005 haijawahi kushinda tena zaidi ya kushindishwa na NEC
 
NAMNUKUU

"Hiko chama cha ACT Wazalendo kinachojilabu mwaka huu kitachukua Serikali mashudu, kusema kitu chengine bwana. Hapa waafrika hawatawaliwi tena, bora tufe sote kiwanja kiwe hakipo lakini hatutawaliwi, hamuwezi kutufanyia upuuzi huu.

Eti kusema mwaka huu tutashinda ACT wazalendo, nipike mie, nipakue mie, nilishe halafu wewe ije ushibe mimi nikae na njaa, maneno haya yametoka wapi. Hivi kweli hiyo! Tisha toto tu hiyo. Ikifika kweli chama cha Mapinduzi kitanyanyua makucha, kila mmoja hataiona kali yake.

Chama cha CCM hakijaumbwa kushindwa kwa njia zote. Piga, chinja, nyanyua, akinyanyuka anasonga mbele anachukua nchi. Tulifanya mapinduzi kwa hilo"

N

Next time, ukiona mzee amevaa sare za namna hii, usisumbuke kusema ni wa wapi, wewe sema tu " MZEE WA CCM" wanasemaga ni 'ile ile' Huyu mzee nakumbuka ailwahi kunyang'anywa kadi ya CCM, na yule Ali Karume kama sijakosea.
 
NAMNUKUU

"Hiko chama cha ACT Wazalendo kinachojilabu mwaka huu kitachukua Serikali mashudu, kusema kitu chengine bwana. Hapa waafrika hawatawaliwi tena, bora tufe sote kiwanja kiwe hakipo lakini hatutawaliwi, hamuwezi kutufanyia upuuzi huu.

Eti kusema mwaka huu tutashinda ACT wazalendo, nipike mie, nipakue mie, nilishe halafu wewe ije ushibe mimi nikae na njaa, maneno haya yametoka wapi. Hivi kweli hiyo! Tisha toto tu hiyo. Ikifika kweli chama cha Mapinduzi kitanyanyua makucha, kila mmoja hataiona kali yake.

Chama cha CCM hakijaumbwa kushindwa kwa njia zote. Piga, chinja, nyanyua, akinyanyuka anasonga mbele anachukua nchi. Tulifanya mapinduzi kwa hilo"

Upuuzi
 
Kwa kauli hizo anaweza kuwakaribisha akina WAGNER bila kujua.
Watu wanachoka bhana
 
CCM wameanza kupanic angalia sura ya huyo Babu.

Kwanza aliyewakomboa ni Mganda Okelo nyie akina "yakhe" hata vita hamuwezi mnachoweza ni fitina na kunywa kahawa.
 
John-Okello-1.jpg

Aliyekukomboa ni huyu 👆 sasa kwanini weye ung'ang'anie na kurejesha Usultani Mweusi?.

Sasa ni wakati wa ACT WAZALENDO
 
NAMNUKUU

"Hiko chama cha ACT Wazalendo kinachojilabu mwaka huu kitachukua Serikali mashudu, kusema kitu chengine bwana. Hapa waafrika hawatawaliwi tena, bora tufe sote kiwanja kiwe hakipo lakini hatutawaliwi, hamuwezi kutufanyia upuuzi huu.

Eti kusema mwaka huu tutashinda ACT wazalendo, nipike mie, nipakue mie, nilishe halafu wewe ije ushibe mimi nikae na njaa, maneno haya yametoka wapi. Hivi kweli hiyo! Tisha toto tu hiyo. Ikifika kweli chama cha Mapinduzi kitanyanyua makucha, kila mmoja hataiona kali yake.

Chama cha CCM hakijaumbwa kushindwa kwa njia zote. Piga, chinja, nyanyua, akinyanyuka anasonga mbele anachukua nchi. Tulifanya mapinduzi kwa hilo"

Ama Jecha huyooo🤔
 
Back
Top Bottom