Nimeangalia clip mbalimbali zinazosambaa kuhusu hali ya majanga yanayotokana na mvua nchini
Ukiangalia clip na kuangalia maneno yanayotolewa na wahanga yanalenga zaidi kuzifuatilia mali na...
Askofu Malasusa akiwa katika sherehe ya kuingizwa kazini amesema;
"Tukio hili la kuingizwa kazini linatokea wakati Dunia inashuhudia vita mbalimbali ikiwa ni pamoja na vita kule Ukraine, sasa...
Na Bollen Ngetti
KWANZA niwape pole wanaondelea kukumbwa na madhila ya mvua jijini Dar es salaam. Hali ni mbaya sana katika baadhi ya maeneo . Nyumba zinasombwa, watu wanakufa, mali zinateketea...
Azim Dewji ameendelea kuwakalia kooni Haters wa Rais Samia Kufuatia taarifa yake aliyoitoa wiki Jana kwamba Changamoto za umeme zinatokana na mahitaji makubwa ya matumizi.
My Take
Naunga mkono...
Habari. Nina news za Mwigulu ya kuandika jamii forum. Iko hivi:
Kwa kawaida mbunge ni kiongozi ambaye anatakiwa kuwa mstari wa mbele kuvutia uwekezaji jimboni kwake.
Lakini Katika hali ya...
Tarehe.27/Novemba/2023 niliwasilisha malalamiko yangu kwa Kamishna Sekretariati ya Maadili ya viongozi wa Umma dhidi ya aliyekuwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Babati Mjini...
Akizungumza leo Januari 20, 2024 jijini Dar es Salaam wakati wa mapokezi yake baada ya kuchaguliwa kushika nafasi hiyo, Nchimbi amesema hakuna mtu asiyejua CCM ndio chama kinachoongoza Serikali...
Kwa masikitiko makubwa Wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya hakuna umeme leo ni siku ya 7.
Na uongozi wa TANESCO mkoa na Wilaya wakiulizwa wanasema ulizeni makao makuu ya Tanesco.
Mwenye namba ya simu...
Raisi Samia leo anasema kuna tofauti ya wana demokrasia na wana harakati. Hiyo tofauti kwa sasa ni wewe tu mnufaikaji na genge la watawala mnalo liona hilo. Ukweli ni kwamba kwa watu wa kawaidia...
📌📌 SIFANYI MIKUTANO YA KUJAZA WATU KWA KUTUMIA WASANII KWASABABU TUNATAKA KUONA UHAI WA CCM NA JUMUIYA ZAKE - MWENEZI MAKONDA
Asema CCM Inawapenda na Kuwajali Wasanii lakini kwasasa ni muhimu...
Ndugu wanajamvi poleni na mafuriko hapo Dar es salaam kufuatia mvua kubwa zilizonyesha.
Mvua nyingi na kubwa zimenyesha siku mbili jana na leo na kusababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Ibada Maalum ya kumuingiza kazini Mkuu Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz...
National Defense College (NDC) watembelea Wilaya ya Ludewa
Washiriki wa kozi ya Ulinzi na Usalama ambao ni wanakozi kutoka katika vyombo vya Ulinzi na Usalama na taasisi mbalimbali za mataifa 8...
Ni ombi langu kwa Watu Wote wenye Mapenzi Mema tumuombee zaidi na zaidi Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Chalamila Wakat huu anapopambana na Changamoto lukuki
Kukabili Mafuriko, Mlipuko wa...
Kwa mfano 2020 Tundu Antipas Lisu mgombea Urais kupitia Chadema alipata usumbufu usio wa lazima Wakat wa kurejesha Fomu
Kwanini mchakato usianzie Tume ya Uchaguzi Ili Watu Wenye Sifa stahiki...
Zanzibar ni nchi huru au ni sehemu ya Tanzania?
Ukinambia ni sehemu ya Tanzania nitakuuliza maswali yafuatayo:
1. Kwanini Watanganyika hawaruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar?
2. Kwanini ni ngumu...
Hivi ndivyo ilivyo maeneo ya mitaa ya Kibaha, Maili Moja Mkoani Pwani, mvua zikinyesha tu basi miundombinu hasa barabara hazipitiki kirahisi kama hivi inavyoonekana.
Mbunge wa Jimbo hilo la...
1.Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja.
2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote
3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma.
4. Rushwa ni adui wa...
Huu ndio ukweli mtupu.
Huwezi kuibuka na hoja zako za maslahi yako halafu ukataka uungwe mkono.
Watu wanataka Elimu bora na shule zinajengwa.
Watu wanataka Zahanati nazo zinajengwa.
Ajira...
Huyu alikuwa mmoja ya wasomi waliokuwa wanaaamini katika elimu waliyopata. Ni msomi ambaye alielimika na si kuishia kuwa na vyeti.
Alifariki South Africa akiwa matibabuni. Kifo chake kinahusishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.