NAMNUKUU
"Hiko chama cha ACT Wazalendo kinachojilabu mwaka huu kitachukua Serikali mashudu, kusema kitu chengine bwana. Hapa waafrika hawatawaliwi tena, bora tufe sote kiwanja kiwe hakipo lakini...
Haiwezekani TANESCO mkatuambia kwamba hizi mvua zote zinazoharibu mashamba ya miwa kufanya sukari iuzwe 5000 kilo eti haziingii kwenye bwawa la kuzalisha umeme, kweli?
Hivi mnatuonaje? Marehemu...
Katika Ukurasa wa Ubalozi wa Uingereza Tanzania,
Umeonyesha Mwenyekiti wa CHADEMA akiwa amafanya mazungumzo na Balozo huyo kuhusu Mambo kadhaa ya Mustakabali wa siasa nchini..
Huu ni muendelezo...
Kuna hoja imeibuliwa na CHADEMA kuwa kila Jimbo la Uchaguzi kuwe na Wabunge wawili yaani mmoja awe Mwanaume na mwingine awe Mwanamke.
Binafsi naona hii ni neema kwa akina mama na ile dhana ya...
MBUNGE NICODEMAS MAGANGA: NILIKUWA DEREVA WA MALORI NA MABASI, SASA NIMEKUWA MBUNGE WA JIMBO LA MBOGWE
"Nimetokea familia ya maisha ya kati sana. Baba yangu ni mkulima na Mfanyabiashara...
Iwe ni imani au kutumiwa na wana siasa itabakia kuwa ni kutojitambua.
Binadamu mwenye akili timamu huwezi kuongea maneno kama haya mbele ya jamii iliyo kuzunguka.
Tanzania huku tunako elekea...
Kiongozi wa nchi anapohangaika kufurahisha magenge na wanasiasa kwa lengo la kujinasibu kisiasa na kusahau majukumu na kazi ya kiongozi wa nchi ni yapi, si dalili njema kwa maendeleo na ukuaji wa...
Wakuu habari zenu.
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa JMT Samia SH amesema Chama hicho kikubwa na makini kitawachuja na kuwaengua Wabunge wote ambao hawawajibiki Kwa Wapiga kura wao na...
Wanabodi kama alivyopendekeza Mbunge. Naomba kusisitiza suala kuundwa tume huru tujue madudu yapoje na upigaji kwenye mnyororo mzima wa mafuta ya petrol.
Kumtoa Mjinja bado hakusaidii wameiba...
Nina taarifa za ndani kabisa watu wa karibu na Rais Samia wameshaingia Makubaliano ya awali na Kampuni kutoka Oman ya kuchukua shughuli za uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa KIA. Hata ile danganya...
Tumieni akili acheni ujinga na upuuzi.
Kila kona watu watu wanalalamika kuna dhuluma na uhuni.
Mbona hayati Magufuli alipinga haya?
Mbona alikusanya mapato na kudhibiti wizi wa mali za umma...
Hizi ni hesabu za kijinga sana kuwazuia CHADEMA kuandamana. Kwanza watazuia nini? Ni nchi ipi duniani watu hawaandamani?
WanaCCM wenzangu tutambue kuwa kama Kuna jambo CHADEMA ya Mbowe...
Huyu bwana ni msaani!
Anatumia Kodi na fedha za chama kupitia na gari Kila mkoa Kwa siku Moja!
Cha kunifurahisha Sasa , hapiti maeneo yenye matatizo mfano , maeneo ambayo hakuna maji, shule...
Hakika nyie ndiyo walimu wazuri sana kwa kizazi hiki kilichojawa na uchawa na uoga.
Mmekuwa ni nguzo muhimu sana kwenye jamii kwa kukemea maovu na kuwakemea watawala.
Hakika neno lenu ni faraja...
Huku kukiwa Tayari kumetolewa ratiba kamili ya maandamano ya Chadema na Wananchi , ili kupeleka ujumbe duniani wa kushinikiza kuondolewa kwa miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi bungeni , Tayari...
Baadhi ya Waandamanaji wanaounga mkono Palestine huko Mahakama ya Kimataifa ICJ wameipongeza Tanzania kwa kuisaidia Africa Kusini Kupata Uhuru wake
Waandamanaji hao kutoka sehemu mbalimbali...
Aliyekuwa mbunge wa Singida mjini Mohamed Dewji amesema Ijumaa ya Leo anawakumbuka Waafrika wenzake waliomuombea alivyotekwa Nyara na Kwamba atawashukuru Milele
Mo Dewji amesema ni Lazima...
Kama itapendeza Chaguzi zote zisogezwe mbele kwa muda wa miaka miwili na Rais aendelee kutawala na kumpa muda wa kuandikwa kwa Katiba Mpya ili uchaguzi uwe huru na wa haki.
Mambo yote...
Mwalimu Nyerere alianzisha vita dhidi ya maadui watatu; ujinga, maradhi na umaskini. Alikuwa na maana kwamba ikiwa Tanzania itaweza kupigana na maadui hao watatu kwa mafanikio, basi nchi hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.