Huyu alikuwa mmoja ya wasomi waliokuwa wanaaamini katika elimu waliyopata. Ni msomi ambaye alielimika na si kuishia kuwa na vyeti.
Alifariki South Africa akiwa matibabuni. Kifo chake kinahusishwa...
Mbunge Ndiye kiunganishi cha Wananchi na serikali
Naomba mh Askofu Dr Gwajima fanya tathimini ya Uhalibifu uliotokea ukitushirikisha Wananchi na kuwasilsha ripoti serikalini moja kwa moja...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Balozi Nchimbi akizungumza na Wanachama na Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaan Leo amesema.
Mkiwaona CHADEMA wana Andamana Mjue wameamua kutumia Miguu Kufikiri...
Kuna njia za msingi za kidemokrasia za kufikisha ujumbe ama kudai haki iliyokanywagwa. Na njia hizo ziluzodhahiri ni pamoja na:
1) Njia ya kwanza ni ya uwakilishi. Ndiyo maana tunachagua...
Hivi wana nia ya dhati? Au ndio wanazuga watu,maana ukiingia katika kiunganishi(link) walichotoa hakifikiki,na ukiingia kupitia simu via *152*00# unatakiwa uwe faster kama unataka kuweka mkeka...
SERIKALI imewaachilia huru watuhumiwa wanne kati ya saba wanaotuhumiwa kuhusika na mauaji ya kukusudia ya Dk Sengondo Mvungi aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
Watuhumiwa...
Wana laana isiyoisha au tuseme hawajui wanachotaka Mkapa walimwita dikteta na kumtukana Kila aina ya matusi, amemaliza salama amelala!
Kikwete alipoingia alikula matusi Kila mahali yaani huyu...
Wanaukumbi.
Vyama vya siasa ambavyo muda wa ongozi wa viongozi wake unakaribia kuisha, vinakumbushwa kufanya uchaguzi wa viongozi wake kabla ya muda huo kuisha..
Majukumu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzanua, na maheshi mengune yote, yameainishwa kisheria.
Ni Amiri Jeshi Mkuu pekee ndiye anaweza kulielekeza Jeshi la Wananchi wa Tanzania kufanya shughuli...
Wakati wote, sheria hubadilishwa ili kujibu matatizo ya wakati fulani.
Sahizi mjadala mkubwa umekuwa marekebisho ya sheria ya Uchaguzi kutokana na uhuni wa kupindukia ambao umekuwa ukifanyika...
Mvua za ELNINO ni janga la Kitaifa. Hali ya miundombinu ya barabara ni mbaya kuanzia za mitaani mpaka barabara kubwa. Ningekuwa na uwezo ningefuta uchaguzi wa serikali za mitaa na kutumia pesa...
Kuna hate religious speech ya huyu anayejiita sheikh Mwaipopo ina trend hiko X (Tweeter), akihubiri Waislam watu wajenge chuki dhidi ya ukristo. Huyu anaipeleka nchi pabaya. Kuna wajinga...
SIONI taabu kwenye ishu ya kuandamana ila nataka kufahamu NANI ATAANDAMANA?
Ukiamrisha maandamano lazima uwe na mawasiliano na waandamanaji. Mawasiliano yenyewe ni nguvu ya muitishaji maandamano...
Pamoja na mikwara mbuzi ya kupiga simu lakini hakuna jipya.
Dhuluma na ufisadi bado vipo palepale.
Polisi na Mahakamani dhuluma.
Upigaji ulisharuhusiwa. Maana kila mtu anakula kwa urefu wa...
Kumbe waungaji mkono wa maandamano Wana ajenda mbalimbali siyo ile miswada ya sheria za uchaguzi pekee
Jana bwanamdogo mmoja amenihakikishia piga ua 24 January Lazima aandamane kupinga kulipwa...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amebainisha kuwa Tundu Lissu ni mjanja ndio maana ameamua kuwakimbia CHADEMA baada ya kuona hakuna haja ya...
Mambo siyo mambo mtu wao hakubaliki na wenye dunia 2025 ndiyo mwisho sasa chadema wanapashwa kufanya mapinduzi kama ya akina raila na uhuru kenyata, 2025 tuna raisi mpya.
its just too complicated...
19 January 2024
Bagamoyo, Pwani
PAUL MAKONDA AKUTANA NA UGUMU ULIOPITILIZA UNAOSHINDWA KUPATIWA UFUMBUZI NA MFUMO WA UTAWALA WA SERIKALI YA CCM
https://m.youtube.com/watch?v=om38fxu03Yc
Katibu...
Sukari bei juu!
Umeme mwaka wa 4 leo tokea aingie madarakani ni kero!
Miradi ya ki mkakati kama reli ya mwendokasi danadana kila uchwao!
Ufisadi na uzembe kwa Watumishi wa Umma umetamalaki...
Akagua muendelezo wa Ujenzi wa Barabara ya Tanga - Pangani - Sadani - Bagamoyo
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.