Upepo wa Makonda umekata mapema sana

IMG_4385.jpg
 
Nchi inakabiliwa na mambo gani sa hv , CCM wote wapo Hanang , na huko unataka umsikie makonda , vyombo vya habar vyote vipo pale , daah watu mna chuki kinyama makonda vibe la media analo na hyo ni nyota haizimwi Kwa chuki
Ngoja aibukie hanang huko

Akatoe pole

Ova
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom