Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,812
- 11,987
Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi anazungumza na Waandishi wa Habari, leo Januari 17, 2024, Handeni-Tanga.
Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi amesema Mkazo wa Serikali ni kuelimisha wananchi wa Ngorongoro na kuwahamisha kwa hiari wananchi hao kuacha eneo la hifadhi libaki likikaliwa na wanyama.
Amefafanua kuwa gharama za ujenzi wa Nyumba z wamasai huko Msomera, Tanga, haipungui wastani wa Tsh. Milioni 15 kwa kila nyumba na gharama halisi itatolewa baada ya kukamilika kwa mradi huo. Hata hivyo, amebainisha kuwa gharama hizi zinabadilika kila mara ha haiwezi kubaki ileile kila siku.