Najua ukweli ni mchungu lakini nidawa hivyo lazima tuunywe ilitupone, na yeyote anayeshiriki kumnyima au kutompa dawa mgonjwa kwa wakati ni muuwaji na msababishaji wa madhara yeyote yanayoweza...
Tanzania ya leo
Ni nchi ya amani kusifiwa inastahili. Nilitazama duniani kote kuangalia siasa za kweli, sikuona isipokuwa Tanzania.
Kwa misingi ya Ujamaa Tanzania ilijengwa. Mwalimu Nyerere...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema chama hicho kitaingia kwenye awamu nyingine ya Maandamano yatakayofanyika kwenye makao makuu yote ya mikoa nchini, maarufu kama wiki ya Maandamano...
Hii ndio Taarifa Mpya iliyosambazwa kwa dharula na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoka huko Mtwara .
Endelea kubakia hapahapa JF kwa taarifa kamili
========
Maandamano kufanyika...
Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amejitokeza kama mwanadiplomasia bora, akisimamia uongozi wa kimataifa kwa ustadi na ufanisi wa hali ya juu. Tangu kuchukua...
Kero zipi nyingine anataka kusikiliza umeme kukatika ni kero maji kukatika ni kero jobless wengi mtaani ni kero Barabara ni kero wizi na ufisadi Wa serikali yake ni kero viongozi Wa serikali yake...
Ndugu zangu Watanzania,
Mkurugenzi Mkuu wa bandari yetu ya Dar es salaam Ndugu Mrisho amekanusha taarifa za uzushi na uongo mkubwa ulioenezwa na watu kuwa wafanyakazi wa bandari ya Dar...
Vyama vichanga vinataka malezi marefu hadi vikomae na kujengeka vizuri. Waanzilishi wa vyama ndiyo wabeba maono ya vyama na pindi waondokapo kwenye nafasi zao kabla ya chama kukomaa basi chama...
Haya wajuba wazee wa siasa za Bongo muje munieleze vizuri. Zitto Kabwe alikuwa na nyadhifa gani ACT Wazalendo?
Wanahabari wetu wanaishia tu kutuambia kuwa alikuwa kiongozi wa chama.
Dorothy Semu amechaguliwa kuwa Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo akichukua nafasi ya @zittokabwe ambaye amemaliza muda wake wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama hicho
Katika uchaguzi huo...
Wakuu,
Kikao cha Kamati Kuu ndiyo kimeisha muda huu, na taarifa zilizopo ni kwamba kambi ya PM7 imevunjwa rasmi baada ya viongozi wake kuvuliwa vyeo vyote walivyo navyo ndani ya chama...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kutenga siku moja kwa kila mwezi ili kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi kero za mwananchi mmoja mmoja
"Amefanya hivyo...
Wasalaam,
Upendo Peneza najua unapita hapa au wasaidizi wako wanapita hapa, kuna Mbinu chafu kuzuia ushindi wako Kesho na haya yanafanywa na msimamizi wa uchaguzi Geita Mjini akushirikiana na...
Wakuu,
Nilipochaguliwa kuwa Mjumbe wa Baraza Kuu la Wazazi Taifa, Chama cha Mapinduzi niliamini kwamba ningetoa mchango wangu chanya kwaukuaji wa jumuiya hii. Hili sasa ni baraza langu la pili...
Hayati mzee Mwinyi alitenda mengi mazuri na mema kwa nchi, japo nae kama binadamu anamapungufu yake. Huu ni wakati wa maombolezo lakini kuna jambo lilifanywa na Samia miaka miwili iliyopita kwa...
Salaam Wakuu,
Nimeshangaa kuona Paul Makonda kubadili gia angani. Alipoanza kujitangaza, alikuwa akiwasimamisha Mawaziri watoe ufafanuzi na Wengine alikuwa akiwapigia simu akiwa majukwaani huku...
Rais mtaafu Mzee ALI HASSAN MWINYI ambaye nadhani ki historia ni mmoja ya watu wachache sana duniani ambao waliwahi kuwa rais wa nchi mbili tofauti. Al Hajj Mwinyi aliwahi kuwa Rais wa Zanzibar na...
CDEOKATE MWEGELO KUZUNGUMZA NA WATANZANIA KUPITIA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI
Ndugu Jokate Urban Mwegelo (MNEC), Katibu Mkuu wa UWT, anatarajiwa kuzungumza na Watanzania kupitia Mkutano na...
Leo hii watu wengi washangazwa na namna nchi za Ghuba ya Uajemi, kama Emirati, Kuweit, Oman na Qatar zilivyopiga hatua kubwa, ambapo miaka ya sitini hadi sabini nchi hizi zilikuwa nyuma na maskini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.