Ili kupaa kisiasa Tanzania inabidi umuongelee Hayati Magufuli tu

Deleted01

JF-Expert Member
Sep 28, 2018
1,420
3,473
Asalaam Aleikum,

Kama kichwa kinavyojieleza. In Tanzania currently, sio ruling party wala watu wa opposition parties, wote hao wanatafuta political mileages kupitia kumuongelea MZ. Ni kwamba sera za kuongelea na hoja za kisiasa zimeisha au ndo mvuto wa kisiasa wa hao wagombea wenu hakuna kabisa?

Its very absurd, stupid and unbelievable kwamba our foreign minister anaenda nje ya nchi kwa kodi zetu kuongelea a deceased individual badala ya kuuza sera zetu za kimataifa. You cant convice me kabisa kwamba huyo mtu ana akili timamu. That's very stupid.

Me nadhani, kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwakani, wanasiasa wajue kwamba, we need to hear them addressing matatizo yaliyopo kwenye localities zetu, Umeme wa shida, sukari hakuna, dollar hazipo, maji hayatoki, hoja za CAG are not tended at all, mazingira yetu yanaharibiwa bila kuona serikali ikikazia matumizi mbadala ya nyanzo za nishati, haki mahakamani hakuna, migogoro ya ardhi inazidi kuongezeka kila siku etc etc. We dont need to hear what a deceased man did in his ruling. Hizo history tuwaachie wajukuu wetu watakuja kuzisoma badae.

I am very disappointed na JM, mbaya zaidi anaongea haya mbele ya Mh Rais. Kule Dodoma aliongea baba yake maneno mabovu kabisa, leo anaongea yeye tena. This is absurd.
 
Sasa kuna kitu gani cha maana kimefanywa na serikali zaidi ya kuingiza sub tu na kufanya utumbo kwenye pitch for 3 good years now toka mwamba ang'ate shuka.
 
Wanapambana na Marehemu.
Hii ni ishara, uwezo wa Marehemu ulikuwa mkubwa na hawana uwezo wa kufanya Yale aliyofanya na inawezekana kinachowasumbuaa ni wivu kwa wao kushindwa kufikia hizo achievements za Marehemu.
 
Nilikuwa sijui maana halisi ya UNAFIKI but now I can understand it clearly. Hii ni baya sana.
 
Back
Top Bottom