Zanzibar will not sustain itself without Union –Sitta: Says currently Mainland meets most of cost in | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zanzibar will not sustain itself without Union –Sitta: Says currently Mainland meets most of cost in

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Jul 10, 2011.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  * Says currently Mainland meets most of cost in running Z'bar

  By Tobias Nsungwe,
  Dodoma
  [​IMG]

  A senior Cabinet minister, Samuel Sitta yesterday said in Parliament here that people calling for a three-government system are only explaining a good way of killing the Union.

  Samuel Sitta who is Sitta, who is currently acting leader of Government business of the House this week, said at the moment the Union is financed by one part only.

  He said:"Now if we allow a three Government system, the Union will automatically die because the Tanganyika government might refuses to share running costs of the Union government which will be by then a toothless bulldog. The idea of three governments is irrelevant," he said amid mixed reactions from legislators.

  He sais the Union of Tanganyika and Zanzibar will be engulfed in a black cloud of uncertainties and close to collapse if the proposal to have a three-tier of government system is to be endorsed.

  Sitta was responding to queries from various MPs who contributed in the debate on the Budget off the Vice President's office for the year 2011/12 and warned that allowing the Tanganyika government to emerge would automatically kill the Union.

  Sitta said the best way of preserving the April 1964 Union was to remain with the current system of two governments. He said if the Tanganyika and the Union governments are to be formed Zanzibar will be required to share the costs hence more competition on the Isles part.

  Under the current system Zanzibar enjoys free supply of electricity whereas the Union government owes Tanesco over 50bn/-.

  Sitta who is also the Minister for East Africa Cooperation in the Union Cabinet, explained about the Vice President's post saying the post was removed from the Zanzibar President to avoid the possibility of Tanzania having the Union President, the VP and the Zanzibar president all coming from the Isles.

  He said there was a possibility of the Union president to come from Zanzibar and having foreseen that the VP post was taken and that the situation doesn't undermine the Zanzibar president's power.

  Sitta also spoke about the oil exploration in the Isles saying the matter was mutually agreed to include in the Union list because the sedimentary rocks within the Indian Ocean lie on the boundary between the two sides.

  The former Speaker said the area where oil is said to be found, lie between Tanga and Pemba.

  Sitta also said minerals could be shared because economy was not part of the Union matters. Most of the Zanzibar MPs who contributed to the debate on Wednesday and yesterday complained that Union was favoring one side. They said the prevailing social, economy and cultural call for change.

  CUF and Chadema legislators are calling for a federation.
   
 2. M

  Mwambao Member

  #2
  Jul 10, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani kabla ya muungano Zanzibar ilikuwa inajiendeshaje ? mpaka waziri aseme muungano ukifa znz nayo itashindwa kujiendesha kama ndio hivyo mbona wanataka muungano uvunjwe ? tuache maneno mengi rekebisheni kero za muungano
   
 3. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Something is very wrong na hii statement ya Mh Sitta. Essentially anashauri Zanzibar ibakie kwenye Muungano maan nje ya Muungano hawataweza kujiendesha (watakufa njaa), wakati huo huo anashauri Tanganyike ibakie kwenye Muungano ili TU kuwasadia Zanzibar (charity gesture?).

  Pengine ni vizuri sasa wananchi aina, faida, kasoro na umuhimu wa muungano maana kwa maelezo kama haya ya Mh.Sitta inaonekana kama hakuna hasa sababu za msingi za muungano apart from Charity...!
   
 5. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Bila Muungano Zanzibar will do better than now tuangalie facts
  • The smaller the country the easier managed, tunaona hata Rwanda sasa, tatizo la nchi za Africa ni Uongozi mbovu lakini nchi ikiwa ndogo tatizo hili linaweza kupungua
  • Free Port ya Zanzibar inaweza kuifanya Zenji iwe Business Hub ya East Africa, we might all need not go to Dubai kufata bidhaa zetu
  • Karafuu na Tourism inaweza ikasustain Wanzanibar for Free Education, Health and even manage to pay the homeless
  Kwahiyo wakuu Zanzibar ikijitenga na kupata uongozi bora inaweza ikaprosper na kuwa one of the rich countries
   
 6. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Sita ni manafiki mkubwa anayetaka kupata urais kwa kuwadanganya WaTanganyika wenzake.

  kama kweli yeye ana uchungu na rasilimali za tanganyika kwanini asivunje muungano? kama anaona Zanzibar ni mzigo kwao.

  haiingii akili hata kidogo lijiinchi kubwa kama tanganyika linalalama kuwa linaonewa bila kuchukua hatua za kuvunja muungano.

  Mimi labda namtupia suala je ni kwanni mpaka leo Tanganyika wanaulilia na kuulazimisha kwa nguvu zote na Zanzibar? Je kulikoni hapo? Aweke wazi wanafaidika nini mpaka wailee zanzibar.


  Ingawa kwa wachambuzi wa Siasa wapo wazi kabisa kuwa kilichotokea SUdan na Tanganyika kipo njiani kama utavunjika muungano . Na sababu zile zile zilizoigawa sudan na tanganyika zitawasibu yaani Udini na Ukabila.

  Zanzibar kwa hilo inawabeba.
   
 7. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Hamuangalii Dini inaweza kudhoofisha Maendeleo kama kuwa FreePort? Most FreePorts Like Dubai zinapitisha bidhaa kadhaa za Anasa ambazo ni Against the Pillars of Islam.

  Misaada Mingi itakuwa inatoka nchi za kiarabu na Mingi ina Masharti ya kutoruhusu Uhuru wa Watalii kuwa Uchi Kandokando ya Bahari; hakuna Nchi yoyote ya GULF inayoruhusu Utalii wa Aina ya Zanzibar kufurahia Ufukwe wa Zanzibar (IT AFFECTS ALL OAC MEMBERS)
   
 8. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Kenya wana Ukabila Mkubwa na Mbaya Zaidi ya Tanganyika, Umeiona Kenya Imegawanyika?

  Pemba secessionists give up
  One day after President Shein declared his new cabinet the group of 12 elders from Pemba who have been calling for secession of the island from Zanzibar said their demands had been met. Four years ago they submitted a petition to the UN and foreign diplomatic missions in Dar es Salaam, complaining that people of Pemba were denied their basic rights by the governments of Zanzibar and Tanzania. Coordinator of the group, Ali Makame said Zanzibar can now teach democracy to other African countries. He said the Pemba elders were now willing to collaborate with the unity government – Mwananchi.
   
 9. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Nje ya muungano Zanzibar ni Somalia nyingine.
   
 10. N

  Nonda JF-Expert Member

  #10
  Jul 10, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,222
  Likes Received: 1,957
  Trophy Points: 280
  Haya maelezo yako yanakubaliana na malalamiko ya wazanzibari kuwa wanabanwa na muungano.
  Inaonekana Zanzibar,wananchi wameamka katika hili suala la muungano.
  Sitta aliishiwa na maneno pale mswada wa katiba mpya ulipochanwa kule Zanzibar.Alionekana kuchanganyikiwa.
  Na kauli hizi anazotoa sasa, haisaidii serikali ya Kikwete katika ile nia yao ya kuweka mjadala wa Muungano off-limit.

  Kwa maelezo haya ya Sitta ni kuwa Muungano wa Tanzania haukuweka nafasi ya nchi ya tatu au zaidi kujiunga na Muungano wa Tanzania.

  Hii inawezekana ni sababu ya Burundi, Rwanda kwenda moja kwa moja EAC badala ya kutaka Muungano na Tanzania.
   
 11. N

  Nonda JF-Expert Member

  #11
  Jul 10, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,222
  Likes Received: 1,957
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  Unasahau kuwa Zanzibar sio Gulf.
  Kuna sehemu nimesoma hapa JF kuwa siasa sasa zimeingia misikitini huko Zanzibar kwa sababu ya kubanwa kwao na muungano, hiyo ndio italeta extremism lakini hizi hisia unazozitoa hapa hazina mashiko. Zanzibar as a country has been a moderate country even as if the majority of its inhabitants are muslims.
  Uganda na Mozambique zinapokea misaada ya OIC, je nazo zinapewa masharti ya kuendesha utalii katika nchi zao?

  Kama Dubai inazo bidhaa za anasa ambayo ni nchi ya kiarabu, Gulf state hivi kweli unataka kutuaminisha kuwa over-night Zanzibar itakuwa kama Iran? au Saudia?
   
 12. N

  Nonda JF-Expert Member

  #12
  Jul 10, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,222
  Likes Received: 1,957
  Trophy Points: 280
  Mkuu.
  Somalia wana clan system, hii ndio inawatafuna. Uwezekano wa Libya kuwa kama Somalia ni mkubwa zaidi, wao pia wana system ya tribal clans.
  Zanzibar ukisoma historia ukabila na kubaguana kunalazimishwa kwa mirengo ya kisiasa.
  CCM wameitumia hii mbinu dhini ya Zanzibar na vyama vya upinzani kwa jumla kwa miaka mingi sasa.

  Lakini katika siku za karibuni kuundwa kwa GNU inayosua sua kwa sasa, iliwaletea vision mpya wazanzibari kama taifa. Hilo litaweza kuendelea kama watampata kiongozi anayeweka maslahi ya Zanzibar na wazanzibari mbele.

  CCM walilazimisha waongoze GNU kwa kuchakachua matokeo ya uchaguzi mkuu, vyenginevyo leo tungekuwa tunazungumza masuala ya muungano kivyengine kabisa. Hizi kauli za Somalia au Nchi ya al-shabab lisingejitokeza.
  Zanzibar wanataka maendeleo na sio siasa za chuki au islamic laws...kuna watu wanapenda tuamini kuwa Zanzibar itakuwa nchi ya fujo.
  CCM walijua kuwa ikitengenea Zanzibar chini ya GNU inayoongozwa na CUF, sisi pia huku "Tanganyika" tungetaka uwajibikaji kwa viongozi wa serikali. Hili waliliogopa na wanaliogopa.

  Kwa ujanja na mizengwe ,walimsimika Dr. Shein ili kuendeleza "ufisadi" Tanzania. Na huku Lewis Makame akawatangaza washindi ili waendeleze mazingaombwe yao.

  Let us not be blinded!
   
 13. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #13
  Jul 10, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,897
  Likes Received: 2,317
  Trophy Points: 280
  Kabla ya 1964 Zanzibar ilikuwa inaendeshwa na waarabu.
  Wengine wote walikuwa watwana na vijakazi.
   
 14. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #14
  Jul 10, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  What I'm Saying is FreePort will have a lot of difficulties to create as because of Zanzibar Rule of Law which follows 5 pillars of Islam

  Misaada inayopokea sio tu itakuwa ya OIC; Most of Rich Islamic Nations Aid comes with strict restrictions right now Zanzibar does not receive those kind of Aid.

  Yeah umesema kuwa Islamic Fanatism it only happening in Zanzibar just because of the Union With Tanganyika?
  [TABLE]
  [TR]
  [TD="class: sqtdq, colspan: 2"]The tendency to claim God as an ally for our partisan value and ends is the source of all religious fanaticism[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 15. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #15
  Jul 10, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Siyo over-night lakini lengo litakuwa ni kuzifikia iran au saudia. Huu muungano ni wa kulinda utu na heshima ya mtu mweusi at any cost, la sivyo waarabu, wamanga, wamangakoko na wahindi watashika dola na kurudisha dhuluma unyanyasaji na uonevu na mateso kwa watu asilia. Hili ndo chimbuko la mapinduzi na muungano. Tatizo watu asilia wanadanganywa kwa kete ya uislam lakini watajuta pale watakapo kabidhi dola kwa mabwana zao na kuuvaa utwana. Wajifunze ya Sudan, hakuna haki kati ya waafrika na waarabu, wasitegemee uislam hata Dafur ni jimbo la waislam weusi to be honest uislam unahalalisha utumwa na mtu mweusi kwa kiarabu anaitwa abdi au abdu na maanake ni mtumwa. Mwarabu anapomwona mtu mweusi anaona mtumwa, salama ya mtu mweusi ni kutomkabidhi madaraka hata kama anatumia ile silaha ya uislam
   
 16. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #16
  Jul 10, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  …Atoboa siri nzito kuhusu Muungano
  Saturday, 09 July 2011 18:35 newsroom


  * Awaponda viongozi CHADEMA kwa kumkashifu Nyerere

  Jane Mihanji na Theodos Mgomba, Dodoma

  KAIMU Msimamizi wa Shughuli za Serikali Bungeni, Samuel Sitta, amesema wanaotaka kuwepo Muungano wa serikali tatu, wajue wanataka njia rahisi ya kuuvunja uliopo. Amesema inashangaza kuona baadhi ya watu, wakiwemo wabunge wakichangia kuwepo kwa serikali tatu kama moja ya njia za kuimarisha Muungano wa sasa. Sitta, ambaye ni Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, alitoa kauli hiyo bungeni jana, alipojibu hoja za wabunge akiwa kiongozi wa serikali bungeni. Alisema kelele kuhusu Muungano na hoja za kupunjwa au kunyanyaswa Wazanzibari hazina msingi. Waziri Sitta alipinga hoja za baadhi ya wabunge, wakiwemo wapinzani waliodai upande mmoja wa Muungano unanyonywa, huku Zanzibar ikinyimwa fursa katika mpango wa Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC). Alisema katika mipango yote ya EAC, Zanzibar imekuwa ikishirikishwa moja kwa moja.
  "Pande zote mbili hukaa na kuweka msimamo, ambapo mikutano mingi imefanyika na hakuna hata mmoja uliofanyika kuhusu Afrika Mashariki ambao SMZ haikuhusishwa," alisema. Alitoa mfano kuwa, kutokana na ushiriki wa Zanzibar, wameibua miradi mingi, ukiwemo wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Karume, ulioko Pemba, ambao unatafutiwa fedha ili ujengwe kwa kiwango cha kimataifa.

  Kwa mujibu wa Sitta, mradi mwingine ni wa ujenzi wa chelezo na kuongeza: "Tunataka ikiwezekana mtu akitoka Zanzibar na gari aingie feri na kwenda hadi Mombasa."

  Sitta alisema mazungumzo yameanza na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ili wasaidie miradi hiyo.

  "Tunapozungumzia serikali tatu, hiyo ni njia nyepesi ya kuua Muungano. Kwa mfano, wale wenzetu hawalipii umeme, ambapo wanadaiwa sh. bilioni 50 na serikali ya Tanzania imekaa kimya, ingekuwa serikali ya Tanganyika ingedai," alisema.

  Awali, Halima Mdee (Kawe- CHADEMA), alisema viongozi katika Muungano wamekuwa wakikutana kwa nadra na kutaka sheria iwepo kikatiba, na kuwapangia muda maalumu wa kukutana na kujadili masuala ya Muungano.

  Halima alidai upande mmoja wa Muungano, ambao ni Zanzibar umekuwa ukinyonywa na maslahi ya Wazanzibari hayatafutiwi ufumbuzi.

  Sitta alisema mawazo ya baadhi ya wanasiasa kuwa waasisi wa Muungano walikuwa na ajenda binafsi na kumtaja Mwalimu Julius Nyerere kuwa dikteta ni ya kupuuzwa.

  "Kumdharau Mwalimu Nyerere, sijui niseme nini, huyu ni mwanasiasa maarufu wa fikra, alikuwa anaheshimika, kumwita dikteta ni upuuzi mtupu," alisema.

  Alisema si kweli kwamba hata hayati Abeid Amani Karume, alikuwa akiburuzwa na Nyerere na hakuwa na mamlaka ya maamuzi.

  Kwa mujibu wa Sitta, Karume alishawahi kumkatalia Nyerere kutoa fedha za kigeni baada ya kuonekana hali ya uchumi imeyumba.

  "Alimfuata na kumwambia huku uchumi wenu mzuri na kumekuwa na pesa za kigeni zilizotokana na uuzaji wa karafuu, lakini Karume alimkatalia Mwalimu na kumwambia sitoi hata senti tano," alisema na kuhoji, "Sasa huyu ndiye alikuwa akiburuzwa?"

  Akizungumzia kuongezeka kwa masuala ya Muungano kutoka 11 hadi 22, Sitta alisema mengine yaliongezwa kutokana na kuvunjika kwa iliyokuwa Jumuia ya Afrika Mashariki mwaka 1977.

  Waziri Sitta alisema licha ya mambo mengine kuridhiwa kuingia katika masuala ya Muungano na Bunge, yapo pia ambayo Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar iliomba yaingizwe.

  Sitta alisema suala la kuwepo Elimu ya Juu katika masuala ya Muungano liliombwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na barua ya kufanya hivyo ipo.

  Alisema tafsiri ya sasa ya baadhi ya watu kudai eti mambo hayo yameongezwa kinyemela si kweli, kwani kila kitu kilifuata taratibu katika kukiingiza katika hati ya Muungano.

  Kwa mujibu wa Sitta, hakuna anayetaka kuongeza mambo hayo kinyemela, kwani ni gharama kubwa kwa Serikali ya Muungano.

  "Hii kauli ya kusema eti serikali ya Muungano ndiyo imeyaingiza haya mambo mengine si kweli, haya mengine yametuangukia tu baada ya kuvunjika kwa Jumuia ya Afrika Mashariki na yapo yaliyopitishwa na Bunge hili na theluthi mbili ya wabunge walipiga kura," alisema.

  Akizungumzia uwepo wa Nyerere pekee katika kuchanganya mchanga siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, bila Karume kuonekana, Sitta alisema hayo ni makubaliano kati ya viongozi hao wawili.

  Sitta alisema baada ya Baraza la Wawakilishi na Bunge kwa nyakati tofauti kukaa na kukubaliana kuhusu suala la Muungano, maamuzi yalitoka kuwa atakayechanganya mchanga atakuwa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano, ambaye alikuwa Julius Nyerere.

  Alisema licha ya kufikia uamuzi huo, walikubaliana pia kuwa, vijana wawili kutoka Zanzibar ambao ni wakike na wa kiume na wengine wawili kutoka Tanganyika washiriki katika shughuli za kuchanganya mchanga.

  "Jamani, naona hakukuwa na sababu ya kuitwa Mheshimiwa Karume kutoka Zanzibar kuja hapa kuchanganya mchanga, wakati wenyewe walishakubaliana na vijana wawakilishi walikuwepo, huku ni kutojua mambo," alisema.

  Sitta alisema inashangaza baadhi ya Watanzania, wakiwemo hata wabunge wanabeza uamuzi huo, huku wengine wakimwita hayati Baba wa Taifa kuwa dikteta, kwani jambo hilo ni matusi kwa viongozi.

  Alisema hayati Karume alimuomba Rais wa Tanzania, Nyerere kuunda serikali ya pamoja na yeye awe makamu, lakini Nyerere alikataa wazo hilo na kumtaka Karume aunde serikali yake Zanzibar naye ataunda yake Tanzania Bara.

  "Hiyo ni moja tu ya mifano, kama angekuwa dikteta si angekubaliana na hilo na kuunda serikali. Hilo halitoshi, ilifikia hatua aliwaomba Waingereza kuchelewesha uhuru wa Tanganyika ili Kenya ipate uhuru na baadaye nchi hizo ziungane na kuwa moja, na kutoa wazo kuwa Kenyatta angekuwa rais," alisema.

  Wabunge wengine walioubeza Muungano ni Tundu Lissu, John Mnyika na Musa Haji Kombo, ambao walitaka kuwepo mjadala kuhusu Muungano, ili Watanzania waamue ama uendelee kuwepo au la, na kama uendelee uwe wa aina gani
   
 17. Msema hovyo

  Msema hovyo Senior Member

  #17
  Jul 10, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Acheni blabla, kama Zanzibar haina uwezo wa kujiendesha nyie kinawauma nini? Hata wakoloni walikuwa wanamwambia hivyohivyo Nyerere lakini mwisho wa siku Tanganyika ikajiongoza. Wapeni wazanzibari nafasi wajiongoze. Tunaamini tunaweza.
   
 18. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #18
  Jul 10, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Mimi sisemi haiwezi kujijenga kwa Tourism itself it can make Zanzibar self sufficient... Ni kwa kusema Muungano wa Bara na Visiwani kumeidhalilisha Zanzibar ua kusema bara ina matatizo kwahiyo inaing'ang'ania Zanzibar sababu ya Mali Zake.
   
 19. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #19
  Jul 10, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Usiwe pongo wa kisiasa.

  Elewa kuwa Kwa Sudan kilichowagawanya kwanza ni UDINI kwa maana kaskazi wapo waislam na Kusini ni Wakristo. Sasa kinachofuata soon ni makabila huko Kusini, wanubi wamesoma sanaaa kuliko makabila mengine manne makubwa ya huko. sasa je unafikiri wataweza gawana keki sawa.

  Subiri uoneeeeee. Na Tanganyika the same mkivunja muungano mtapita humo humo. Udini utawameng'enya. dalili nathani unaziona wazi hivi sana.
  Ok Mwenye macho haambiwi ................
   
 20. takashi

  takashi JF-Expert Member

  #20
  Jul 10, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 909
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kama tanganyika mumeshindwa kuongoza nchi yenu...msiwe na mawazo ya kuwa na zanzibar watashindwa vile vile...huko ndio kufiliska kimawazo ...huu muungano ni kuambukizana umasikni wa kujitakia na sio kitu kingine.
   
Loading...