Mnaohoji Mbowe hajakamilisha nini CHADEMA, CCM nayo bado haijakamilisha nini madarakani kwa miaka 62 mpaka sasa?

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,272
2,033
Nadhani ili twende sambamba kwa wale wanachama wa CCM wanaohoji uhalali wa Mh. Mbowe kuendelea kuwa madarakani ni vema kwanza suala hili wakawaachia CHADEMA wenyewe kwa sababu ndio waliomweka uongozini ni ndio wenye uwezo wa kumtoa madarakani.

Nadhani hawa CCM kama kweli wanauthubutu wa kuhoji nataka wahoji "Kwa nini CCM mpaka leo ina miaka 62 madarakani bado haijakamilisha nini?”

Yangepatikana majibu hayo naamini hao wangejua pia kwanini Mh. Mbowe yupo madarakani kwa ajili ya kukamilisha nini. Wanachama wa CCM Kamanda Mbowe yupo uongozini kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA na sio ya CCM.

Hvyo ni vema wakaachwa waendeshe masuala yao kwa mujibu wa Katiba yao kuwaingilia ni aina fulani ya ujinga mkubwa.
 
Andaa uchaguzi huru na WA Hali. Acha kutumia tume ya uchaguzi, acha kutumia wakurugenzi, acha kutumia polisi. Mtakuja kujua mbivu na mbivu
Unataka CCM ikuandalie Tume Huru ya Uchaguzi?

😂😂😂😂😂😂
 
Iondoeni kwa Kura kama mnaweza

Waache kuiba kwanza .....!!

CCM wanajifanya wana Demokrasia wakati mpaka chaguzi zao za ndani tu ni wizi mtupu. Yaani wao wakishamuweka Rais kuwa mwenyekiti wa chama chao tayari wanaona ni demokrasi .... tena ananyenyekewa kabisa. Siku akitoka madarakani anaanza kutukanwa na vijana wao!
 
Rais mwenyewe inatolewa FOMU 1 je hiyo ni demokrasia? Magufuli alitoa Fomu moja Membe aliposema atachukua Fomu NUSURA ACHINJWE
 
Nadhani ili twende sambamba kwa wale wanachama wa CCM wanaohoji uhalali wa Mh. Mbowe kuendelea kuwa madarakani ni vema kwanza suala hili wakawaachia CHADEMA wenyewe kwa sababu ndio waliomweka uongozini ni ndio wenye uwezo wa kumtoa madarakani.

Nadhani hawa CCM kama kweli wanauthubutu wa kuhoji nataka wahoji "Kwa nini CCM mpaka leo ina miaka 62 madarakani bado haijakamilisha nini?”

Yangepatikana majibu hayo naamini hao wangejua pia kwanini Mh. Mbowe yupo madarakani kwa ajili ya kukamilisha nini. Wanachama wa CCM Kamanda Mbowe yupo uongozini kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA na sio ya CCM.

Hvyo ni vema wakaachwa waendeshe masuala yao kwa mujibu wa Katiba yao kuwaingilia ni aina fulani ya ujinga mkubwa.
Huna akili!! Zungumzia Taasisi siyo mtu!! Bange tupu, huku Mbowe kule CCM!!
 
Mkiambiwa ni nyumbu mnakasirika, CCM ni chama cha siasa sio one man show
 
Back
Top Bottom