Siasa za upinzani huendeshwa kwa Kiki, hivyo James Mbatia na Zitto Kabwe ndio hatutawasikia tena!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,121
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu aliwahi kusema bila jukwaa la kufanyia siasa kama Kiongozi huwezi kuwa maarufu

Kwaherini Zitto Kabwe na James Mbatia

Ili msikike tena karibuni nyumbani CCM πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lisu aliwahi kusema bila jukwaa la kufanyia Siasa kama Kiongozi huwezi kuwa maarufu

Kwaherini Zitto Kabwe na James Mbatia

Ili msikike tena karibuni nyumbani CCM πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯
Zitto Kabwe ameahidiwa ubunge Ujiji Kigoma, halafu huyo Mwami anajifanya ni Putin aliyepooza, atarudi tena hapohapo kuwa Ayatollah.
 
Zitto Kabwe ameahidiwa ubunge Ujiji Kigoma, halafu huyo Mwambie anajifanya NI Putin aliyepooza, atarudi tena hapohapo kuwa Ayatollah.

CCM wamemuingiza Choo cha Kike .... Na Chama rasmi kakikabidhi kwa Wazenji ....!!

Maalimu alijua kuwa wao kujiunga na CDM wangetengeneza Chama chenye nguvu zaidi ... ila Wanzenji wasingekuwa na influence kwenye chama. Hivyo akaona bora ACT ambako with time watakiendesha wao ... Lakini hii vilevile ni Blessing kwa CDM.
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu aliwahi kusema bila jukwaa la kufanyia siasa kama Kiongozi huwezi kuwa maarufu

Kwaherini Zitto Kabwe na James Mbatia

Ili msikike tena karibuni nyumbani CCM πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯
na chadema akiingia kibaraka tu inasambaratika vizuri sana πŸ’
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu aliwahi kusema bila jukwaa la kufanyia siasa kama Kiongozi huwezi kuwa maarufu

Kwaherini Zitto Kabwe na James Mbatia

Ili msikike tena karibuni nyumbani CCM πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯
Zitto huenda akapata lobbying ya kurudi Bungeni !
Time will tell !
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kama alishindwa Shujaa Magufuli simuoni mwingine wa kukisambaratisha
kibaraka ni nuksi ana kiupupu flani hivi cha kuchokwa haraka na kile kiherehere na kimbelembele chake wastaarabu na wasomi wengi hasa wa kaskazini, watakimbia wote na kujitenga nae πŸ’
 
CCM wamemuingiza Choo cha Kike .... Na Chama rasmi kakikabidhi kwa Wazenji ....!!

Maalimu alijua kuwa wao kujiunga na CDM wangetengeneza Chama chenye nguvu zaidi ... ila Wanzenji wasingekuwa na influence kwenye chama. Hivyo akaona bora ACT ambako with time watakiendesha wao ... Lakini hii vilevile ni Blessing kwa CDM.
Wapemba wamefanikiwa rasmi kuidhibiti ACT na kuiweka kwenye himaya Yao.
 
Back
Top Bottom