Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Zitto Kabwe kwanini anakwepa kuchambua uzembe, ubadhirifu na upigaji mkubwa uliofanywa kwenye Wizara ya Nishati, Wizara ya Mawasiliano, Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Maji. Ripoti ya CAG imeibua...
8 Reactions
38 Replies
2K Views
Waziri wa Kilimo mh Bashe amesema kwa msimu wa 2022/23 uzalishaji wa mahindi ulikuwa Tani million 8.1 na mahitaji ya ndani hayazidi Tani million 6 Business partners wetu kwa mahindi ni Kenya...
1 Reactions
10 Replies
933 Views
Umofia kwenu wakuu. Juzi kati kuna uhamisho mkubwa sana umefanyika kwa hasa wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa halimashauri na pia kwa wakuu wa Mikoa. Kama mjuavyo report ya CAG iko ukingoni na...
2 Reactions
7 Replies
765 Views
Huwa najiuliza sana kuhusu nini hasa kimesababisha neno Mapinduzi kutamalaki bara na visiwani.Historia ya bara hakuna tukio lolote la kisiasa lililohusisha Mapinduzi tangu wakati wa TAA,TANU na...
4 Reactions
16 Replies
914 Views
Waziri wa TAMISEMI huyu mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru akishirikiana na personal secretary(PS) wake wanawanyanyasa sana watumishi hasa walimu. Huyu PS anaficha barua ya mtumishi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Thomas Nkola maarufu kama Mkulima afungua kesi 5 ambazo zimesikilizwa jana tar 29/5/2023 katika mahakam ya hakimu Mkazi Kisutu, dhidi ya viongozi mbalimbali ikiwemo Mwigulu, Mkurugenzi PCCB...
5 Reactions
18 Replies
3K Views
Kipenga cha UCHAGUZI MKUU kitakuwa kimepulizwa kimya kimya dalili za kuchukuliana FOMU tumeziona. TAHADHALI kwa VIJANA wataka UBUNGE Kuna aina 2 za wataka Ubunge ambao watawatesa Vijana Wasomi...
2 Reactions
1 Replies
534 Views
Na Mwl Udadis, Nyamagana Kitendo cha serikali chini ya uongozi wa Rais Samia kutenga kiasi cha zaidi ya bilioni 11 kwa ajili ya kuboresha mazingira ya wavuvi moja kwa moja ni kitu cha kihistoria...
0 Reactions
0 Replies
491 Views
Wakuu kwema? Ndio nimeingia sasa kutoka safari mikoa ya Kaskazini mwa Tanzania. Nilivyofika pale mto Wami imebidi nishuke kwenye gari na kupiga magoti chini kumshukuru Mungu kwa maisha ya Rais...
23 Reactions
51 Replies
3K Views
Mnatuaminisha kuwa anaupiga mwingi, anakubalika sana na ameleta maendeleo na hali bora ya maisha. Lakini mbona wakubwa wenu wanatumia nguvu kubwa kuwashawishi wananchi kwa makongamano, makicheni...
12 Reactions
22 Replies
2K Views
Mti wenye Matunda ndio hutupiwa mawe Walioalikwa ni wengi lakini wateule wachache Wewe ndiwe Petro na Juu ya Mwamba huu nitalijenga Kanisa langu Ramadan Kareem 😄🔥
5 Reactions
16 Replies
922 Views
Tatizo kubwa makamanda wenzangu huwa wanawaza pesa tu. Mahesabu sasa ni kurudi mjengoni. Kisa tu ukiwa mbunge kuna pesa lukuki za bure. Badala ya kuwekeza kwa kuanza kujenga imani kwa wanannchi...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Nabii wa Mungu , ambaye pia ndio mbunge ajaye wa Arusha Mjini , Godbless Lema atakuwepo Clouds FM kwenye kile kipindi chao kinachoitwa Power Breakfast . Nabii Lema ambaye hakuna unabii wake ambao...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Mamlaka ya udhibiti wa usafiri ardhini(LATRA), imefanya mabadiliko ya nauli kwa mabasi na daradara siku chache zilizopita, huku ikiwa ni miezi kazaa tangu wafanye hivyo, kitendo kinacho onesha ni...
32 Reactions
121 Replies
11K Views
Suala la ukosefu wa ajira Tanzania ni matokeo ya kazi nzuri iliyofanywa na chama cha mapinduzi ya kuboresha elimu ili vijana wengi wapate elimu” FAKII LULANDALA – KATIBU MKUU UVCCM TAIFA. Kuhusu...
1 Reactions
1 Replies
920 Views
Kwasababu wanatuoana sisi ni nyani
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika wana Mbeya hawakukosea wala kufanya makosa katika kumpa kura za ndio Mheshimiwa spika na Rais wa IPU na msomi Nguli wa sheria kuwahi kutokea nyanda za juu...
1 Reactions
10 Replies
924 Views
Anaandika Sam Ruhuza kukosoa mfumo wa Teuzi kuwatenga Wananchi wa Wilaya ya Ngara. Ndugu zangu Wanangara! Nimetafakari sana hizi teuzi serikalini, kuna sehemu sizielewi, mnisaidie! Ngara...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Nawasalimu Kwa Jina la mwenyezimungu mwingi wa kusamehe, najaribu kutafakali kuhusu tabia za watanzania najaribu kulinganisha na mataifa mengi ya wazungu au wachina au wajapani kuhusu uzalendo...
1 Reactions
8 Replies
718 Views
Ni kweli suala la mchakato wa ujenzi wa jengo la abiria uwanja wa ndege Mwanza limechukua muda mrefu na sasa wananchi waliahidiwa Mwezi February 2024 mkataba ungesainiwa hapahapa Mwanza. Tuliamini...
0 Reactions
0 Replies
437 Views
Back
Top Bottom